Thursday, December 12, 2013

KUMBUKUMBU YA UHURU WA NCHI YA ZANZIBAR 10-12-1963

Bendera ya Zanzibar ikipandishwa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa 10-12-1963
MKIUMIYA UMIYENI LAKINI HUU NDIO UKWELI WA MAMBO  BENDERA YA NCHI YA ZANZIBAR IKIPANDISHWA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA MATAIFA 16-12-1963 SWALI LA KUJIULIZA NI JE TANGANYIKA ILIKUWA ISHAJIUGA KAMA BADO ILIKUWA WAPI...??? AU NDIO MULIKUWA MUKISUBIRI MUPEWE UHURU NA MGEREZA KISHA MKAJITA TANZANIA BARA...????

Licha ya kuwa siasa ina nafasi yake lakini na historia ina umuhimu wa pekee kwa wananchi wake kwa hivyo kama Wazanzibari hatuwezi kuzungumzia Siku ya Mauwaji ya Wazanzibari ya Januari 12 na tukasahau Disemba 10 siku ya uhuru maana bila ya Uhuru wa Disemba 10 kusingefanyika Mauwaji ya Wazanzibari Januari 12. Ifuatayo ni hotuba ya kukaribishwa UN Waziri Mkuu wa nchi ya Zanzibar mwaka 1963.
Draft of Secretary-General’s speech on Flag-Raising Ceremony
Mr. President, Your Excellencies, and Friends, We meet again this afternoon to raise the flag of two new Members of the United Nations – Zanzibar and Kenya. The ceremony is symbolic of the emergence of these two countries out of the shadow ofcolonial existence into the full daylight of independence and sovereign equality.
Henceforth the peoples of Zanzibar and Kenya are the masters of their own destiny.
Together with their independence, they have acquired the right to make their own history and the heavy responsibility that goes with that right, of giving an account – to their own peoples, to the peoples of other countries and to their neighbouring peoples of Africa in the first place, and also to generations yet unborn – of giving an account of how they have discharged their responsibility to make their own history and also to contribute to the history of the world community. But the flag-raising ceremony is symbolic of something else. It is symbolic of the progress of the world organization, the United Nations, towards the goal implicit in the Charter of universality of membership. Each new admission brings us closer to this goal. Today we can take pride in the admission of Zanzibar and Kenya and in the advance of the United Nations towards the ideal of  the world community.
May I congratulate the peoples of Zanzibar and Kenya and their respective Governments on this historic occasion, May I also congratulate the Government and people of the United Kingdom for the high statesmanship they have displayed in making possible the orderly and peaceful transition of Zanzibar and Kenya from colonial dependence to full sovereign statehood.

To the Governments and peoples of Zanzibar and Kenya we express our honestwishes for progress prosperity and happiness and we look forward to thecontribution, which we know they will bring, to the development and strengthening of the goals of international peace and co-operation enshrined in the Charter of the United Nations.
Waziri Mkuu wa Zanzibar Ndugu Mohammed Shamte, akiwa kwenye mkutano wa Umoja wa Mataifa, 1963
WAZIRI MKUU WA NCHI YA ZANZIBAR NDUGU MOHAMMED SHAMTE, AKIWA KWENYE MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA, 1963.
TANGANYIKA JE MULIHUTHURIA MKUTANO HUU NI NANI ALIYE WAWAKILISHA 1963 KATIKA MKUTANO WA UMOJA WA MAITAIFA..?OOOH NIMESAHAU NYINYI SIO TANGANYIKA NI TANZANIA BARA HAYA JE MULIHUTHURIA SIKU HII....?

No comments:

Post a Comment