Sunday, October 12, 2014

VIDEO-MUUNGANO NI JINA TU LA KUPAMBA UKOLONI WA TANGANYIKA KWA KUWATAWALAA WAZANZIBARI.

MSEMA KWELI MPENZI WA MUNGU
MZANZIBARI AMKAA AMKAA

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment