Baadhi ya Waislamu wa Zanzibar katika sala ya kuwaombea ndugu na jamaa zao waliokufa kutokana na ajali ya meli ya Mv Spice Islander. Sala ilifanyika leo Jumatatu katika viwanja vya Maisara, mjini Unguja
Miongoni mwa makaburi 46 yaliyochimbwa kwa ajili ya kuwazika baadhi ya watu waliokufa kwenye ajali ya meli ya Mv Spice na makaburi mengi mengi sana yaliyo chimbwa sehemu tafauti ila serekali inataka kuficha na
kufanya mambo yasahaulike haraka iwezakanavyo kama waliokufa sio watu
No comments:
Post a Comment