
TAARIFA MAALUM
Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu, Zanzibar
(JUMIKI), inawataarifu waislamu wote na wapenda haki
kwa ujumla kuwa Sheikh Azzan Khalid Hamdan amelazwa
hospitali ya mnazi mmoja kitengo cha mahabusu baada ya
kuumwa kwa muda sasa akiwa kizuizini.
JMIKI, inawaomba waislamu kumuombea shifaa sheikh
wetu ili tuendelee na harakati kwa maslahi ya Dini yetu.
No comments:
Post a Comment