MIAKA 50 YA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA NCHI YA ZANIBAR MAJI 20% UMEME 20% ELIMU 0% HOSPITALI 1% MADAWA 0% MLO MOJA KWA SIKU TAFAKARI SANA.CCM MNASHANGA LOWASSA KUPANDA DALADALA HAMSHANGAI TWIGA KUPANDA NDEGE.VIONGOZI WA CUF WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI 2015 WAKIONYESHA SHAHADA ZAO ZA USHINDI ZILIZO SAINIWA NA KUPIGWAMUHURI NA ZEC CCM HAYA HAMUNA,AIBU HAMUINI,FEDHEHA HAMUHISI,UBINADAMU UMEWATUKA,M.MUNGU HAMUMUOGOPI HEBU JIULIZENI NYINYI VIUMBE WA AINA GANI...?????
Thursday, October 3, 2013
KUMBUKUMBU ZA PICHA ZA NCHI YA ZANZIBAR NA PICHA YA MWAKA 1885 TANGANYIKA HAITABULIKI DUNIANI KAMA NI NCHI BALI NI PORINI NA MISITU TU
HII NDIO NCHI YETU YA ZANZIBAR TOKA ENZI NA ENZI NI NCHI SIO PORI NA MWITU
TRANI YA KWENDA BUBUBU TOKA ENZI HIZO WAZEE TUNA TRANI ZANZIBAR
HAPA NDIO DARAJANI NCHINI ZANZIBAR
HII NDIO BUBUBU RAILWAY STATION, NCHINI ZANZIBAR
HII NDIO TANGANYIKA MIAKA YA 1885 ALIKUWA SIO NCHI BALI NI PORI NA MISITI WAZUNGU WAKIJA WAKIFANYA WANAVYOTAKA WAKICHOKA HUJIFANYA KUWABATIZA WATANGANYIKA LEO WATANGANYIKA MUMEJUWA KUVA SUTI MNATUTUKANA WAZANZIBARI AMAKWELI ALIYE LALA USIMUAMSHE UKUMUAMSHA BASI UTALALA WEWE NA NI KWELI WAZANZIBARI TUMELALA FOFOFO NCHI YA ZANZIBAR IMEKUWA MKOA WA PWANI WA TANGANYIKA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ata wewe uliyetoa hii historia unaishia kujitambia vitu vya mkoloni kwa kuwa ata nyinyi mnaojiita wanzanzibari mlikuwa vubara wala amna nyadhifa zozote na ata amkupelekwa shule zaidi ya kujivunia miti ya minazi aliyo iacha mwarabu. Ningekuomba usijivunia vitu vya miaka 100 iliyopita wewe mwenyewe ni shaidi kuwa zamani inchi kama ugiriki, misri, iran na rome zilikuwa ndio wababe wa wadunia ila kwa sasa ni amerika na china ambayo miaka 50 tu iliyopita ilikuwa ni maskini na yenye poli kubwa kama la tanganyika, wewe endelea kujivunia historia sisi tunajivunia jinsi tulivyo sasa kwa kuwa tuna nguvu kubwa na tumeweza ata kuwatawala kwa kuwazidi nguvu na ata kielimu. Mimi nakushauli wewe zidi kujivunia historia iliyo kufa na ya miaka 100 sisi tunajivunia ya sasa amabayo ndiyo imeifanya nchi kama china, marekani, ,malasyia, singapore na india
ReplyDeletekama kweli munajivunia Tanganyika yanu mbona hamutaki kuvunja muungano..? kama kweli muna ilimu bora mbona hamutaki kuwa na elimu yenu peke yanu na Wazanzibari wakawa na yao nyinyi hamujaitawala Zanzibar na wala hamutaitawala nchi ya zanzibar iko Tanganyika iko wapi hebu jiulize..? sawa sisi tumetawaliwa na muarabu sindivyo munavyo pandikiza chuki mika yate kuwa muarabu hivi muarabu vile unafumba macho kuwa mjerumani aliwatawala na kuwauza bagamoyo kama kuku nyinyi watanganyika kisha akaja muengereza nae akawauza kama kuku huyajuwi haya au hutaki kusema kweli kwa kuwa ukweli unauma..?
ReplyDeletekutawaliwa sio mpaka nikuuze, kaa ukumbuke ata viongozi wenu tunawaweka sisi na wanachaguliwa na tanganyika, kwa upande wa elimu ukweli nyie mnatia haibu kwa kuferisha sana kidato cha nne na sita na pia zanzibar aina chuo bora vyuo vyenu ni kama madarasa ya kata uku bara kwa kuwa nilishakuja uko pia amna ata chuo kimoja kutoka kwenu kilichoingia kwenye list ya vyuo bora balani afrika sisi tuna udsm ambacho ni cha 12 na helbert kairuki cha 45 nyie mmekazania vyuo vya dini na historia ya zamani ambayo aina faida kwa sasa kwa kuwa mnaumaskini mkubwa kwa mfano, bajeti ya zanzibar ni billion 800 ila bajeti ya ulinzi ya tanzania (tanganyika) ni Trillion 1 na billion 800
ReplyDeleteMmmmh achana nae huyo
ReplyDeleteMwache akijifunze kiswahili kwanza ajue ipi ni R na ipi ni L
Deletehuyo anajifanya mtanganyika ht mimi ni mtnganganyika lkn sipendi govament inavyoidhulumu zanzibar inshaalah aza wa jala atashusha hukum
ReplyDeleteWazanzibar mmelala fofofo. Chukueni hatua. Mtaendelea kulalamika hadi lini?
ReplyDelete