Tuesday, October 1, 2013

PICHA ZA KUMBUKUMBU KUWA KWELI ZANZIBAR NI NCHI


Rais Abeid Amani Karume wa nchi ya Zanzibar akiwa na Rais Gamal Abdel Nasser wa Misri mara baada ya kiongozi huyo kuwasili nchini Zanzibar kwa ziara rasmi tarehe 24 Septemba, 1966. Kushoto kwa Mzee Karume anaonekana Brigadier General Yussuf Himid hii ndio NCHI YA ZANZIBAR NANI ASIYEITAKA NCHI HII KURUDI..?

Malkia Elizabeth II wa Uingereza akiwa ameambatana na mwenyeji wake Rais wa nchi ya Zanzibar Sheikh Aboud Jumbe mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa nchi ya Zanzibar kwa ziara rasmi katika visiwa hivi mwaka 1979.

Hadi wakati huo zilibakia angalau alama kama hizo za Muungano wenye heshima, haki na usawa kati ya nchi ya Zanzibar na Tanganyika.

Sasa mambo yamegeuka. Badala ya Wakuu wa Madola ya kigeni kutembelea nchi ya Zanzibar, kupokelewa rasmi kwa gwaride na kupigiwa mizinga 21 huku Wimbo wa Taifa wa nchi ya Zanzibar na ule wa nchi ya Mkuu anayetutembelea zikipigwa kwa heshima, sasa Rais wa nchi ya Zanzibar na wasaidizi wake hufunga safari kwenda Tanganyika kuwapokea Wakuu wa Nchi za Nje na kufanya nao mazungumzo yanayoihusu nchi ya Zanzibar huko huko kwa MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA.

Nchi ya Zanzibar kudhibiti na kuendesha wenyewe Mambo ya Nje si suala jipya. Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ilikuwa na Wizara ya Mambo ya Nje na pia ilikuwa na Mabalozi wake waliokuwa wakiwakilisha nchi ya Zanzibar nje ya nchi. Pichani ni Balozi wa nchi ya Zanzibar nchini Misri, Salim Ahmed Salim, akiwasilisha khati zake za ubalozi kwa Rais Gamal Abdel Nasser mwaka 1964.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China, Chou En-Lai akiwa ameambatana na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume anakagua gwaride rasmi la kijeshi kwenye Uwanja wa Ndege mara baada ya kuwasili nchini Zanzibar kwa ziara rasmi tarehe 5 Juni, 1965.

FREE ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI TUNA SEMA ASNTE SANA (Ismail Jussa)KWA KUZIHIFATHI PICHA HIZA NA SISI KUWEZA KUZIPATA SANTE SANA.

4 comments:

  1. abedi amani karume, the UNEDUCATED IDIOT, and the leader of the ASP, had absolutely NO right nor any legitimacy to proclaim himself as the president of Zanzibar after the revolution since he was NOT even born in Zanzibar!
    abedi amani karume is said to have been born in Nyasaland (Malawi) and thus had neither the right nor any legitimacy of being a president of Zanzibar.

    abedi amani karume was thus an ILLEGITIMATE leader of Zanzibar!

    Thousands of innocent men, women and children were killed during and after the revolution in Zanzibar in 1964. May the curse of ALLAH be upon abedi amani karume and his associates for murder of these innocent people simply in order to grab power and perpetrate more injustice to the people of Zanzibar.

    ReplyDelete
  2. Wewe acha kudanganya watu mzee karume alikufa miaka 1972 leo una danganya watu kamdanganye mama yako mshenzi wewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. MSHENZI WEWE NA MAMAKO KHANISI WEWE UNAFIRWA!

      Delete
  3. Salamu Aleikum tujaribu kuwa waungwana na tuchangie maneno ambayo ya kiungwana sio kutukanana mama na mababa na familia haturuhusu hapa mukiendelea tuta delete comment zenu zote.pianeni hoja za maana zitakazo saidia nchi ya zanzibar na watu wa zanzibar kwa ujumla sio kutukanana. mukitaka matusi anzisheni blog zenu mutukanane mpaka muchoke. asanteni.

    ReplyDelete