MIAKA 50 YA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA NCHI YA ZANIBAR MAJI 20% UMEME 20% ELIMU 0% HOSPITALI 1% MADAWA 0% MLO MOJA KWA SIKU TAFAKARI SANA.CCM MNASHANGA LOWASSA KUPANDA DALADALA HAMSHANGAI TWIGA KUPANDA NDEGE.VIONGOZI WA CUF WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI 2015 WAKIONYESHA SHAHADA ZAO ZA USHINDI ZILIZO SAINIWA NA KUPIGWAMUHURI NA ZEC CCM HAYA HAMUNA,AIBU HAMUINI,FEDHEHA HAMUHISI,UBINADAMU UMEWATUKA,M.MUNGU HAMUMUOGOPI HEBU JIULIZENI NYINYI VIUMBE WA AINA GANI...?????
Friday, October 31, 2014
WAMISRI,WATUNISIA,WALIBYA,WAYEMEN,WAUKRAINA,WAHONGKONG WAMEAMUWA SISI BADO TUNABURUZWA NA WAHAFIDHINA NYUMA YA PAZIA LA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA MPAKA LINI....????
VIJANA BURKINA FASO HAWATAKI MCHEZO RAISI KAJIDAI KULETA ZA KULETE WAMEMUWEKA SAWA YEYE NA BARAZA LAKE LA WAWAKILISHI
HUYU NDIE RAISI ALIYEKUWA WA BURKINA FASO KWA MUDA WA MIAKA 27 MADARA MATAMU HATAKI KUONDOKA KATIKA KATIBA AKATAKA KUJIPENYEZEA ULAJI ILI AZIDI KUBAKI MADARAKANI VIJANA WAMEMSHTUKIA WAMEWASHA MOTO MPAKA SASA NCHI HAITAWALIKI SHABAASHIIII
VIJANA BURKINA FASO WAMELICHUKUWA BARAZA LA WAWAKILISHI
WAWAKILISHI NA WABUNGE WAMELAZA VIJANA BURKINA FASO WAMECHUKUWA BARAZA LA WAWAKILISHI
VIJANA WA BURKINA FASO WAKILITIA MOTO BARAZA LA WAWAKILISHA MAANA WASHAJUWA SIO BARAZA LA KUNUFAISHA WANANCHI BALI NILAKUNUFAISHA MAWAZIRI NA WABUNGU NA MATUMBO YAO NA WAKE ZAO NA WATOTO WAO PIGA MOTO TUKOSE WOTE SHAABASHIII
MAGARI YA WAWAKILISHI BURKINA FASO PIGWA MOTO HAPENDI MTU HAPA
VIJANA BURKINA FASO HATA JESHI HAWALIOGOPI
WANAJESHI WAWAUNGA MKONO WANANCHI WAMECHOSHWA NA UHANATHA WA RAISI NA WABUNGU NA WAWAKILISHI WASAKA TONGE WASIO JALI MAISHA YA RAI WENGI NA KUJALI MATUMBO YAO TU NA WAKE ZAO NA WATOTO WAO
KITUWO CHA TV CHA BURKINA FASO PIA WAMEKICHUKUWA KWA MAWE TU NA PAIPU
CHEKI JAMAA ALIVYO TUNA YUKO TAYARI TAYARI KUWAPA KIBANO NA MAGWANDA YAO HAKUNA CHA KUOGOPA WAO WANA ROHO KAMA SISI TUSIOGOPE MAGWANDA KAMA WANAMPENDA RAISI WAO PIA WATOLEWE WAKIWAUNGA MKONO RAI BASI NCHI IKITULIA WAO NDIO MAJESHI YUTE WAKILETA NOMA TUNAWAPA NOMA
VIJANA BURKINA FASO WAMEIKWANYWUWA KWENYWEWA MIC ZA BARAZA LA WAWAKILISHI ZINAZO WALAGHA SIKU ZOTE NA KUWAPA AHADI ZA UWONGO
CHEKI UMATI WA WABURKINA FASO WALIVYO AMUWA HAKUNA CHA MUWAKILISHI WALA MBUNGE WALA DIWANI UMMA UMEAMUWA BILA YA WOGA
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
Thursday, October 30, 2014
LUKUVI ALISEMA WAZANZIBARI %95 NI WAISLAMU TUNATAKA WAJITANGAZEYE SEREKALI YA KISLAMU KULE..? MNAJUWA MADHARA YAKE..? WALE WAARABU WATARUDI WATAZALISHA SIASA KALI KULE WATAKUJA KUTUSUMBUWA AMII LUKUVI YAKHEE WACHA UCHEEPE UKO OMAN SASA WALA KUKU AU HUKO NI ARUSHA..?
LUKUVI WAARABU HAWAKURUDI NAONA UMEWAFUATA MWENYEWE SHAABAASHI
LUKUVI AMIII USHAKULA HARUWAAA NA CHAI YA MAZIWA........?
FANYA MCHEZO NA HELA WEYE MAKINDA KAVA BUIBUI MWENYEWE NA MTANDIO
WILLIAM Lukuvi ambaye ni Waziri wa Nchi ya Tanganyika na Aduwi mkumbwa wa Wazanzibari na Uislamu amejikuta akikolewa na utamu na kujikuta ananyenyekea kama mbwa aliye ruwa na mvua,Lukuvi pia ni Ofisi ya Waziri Mkuu (Uratibu na Bunge), ametokea kuwa mtu mwenye sura mbili kisiasa! Sura ya kwanza ni unafiki wa kisiasa na sura ya pili ni woga unaotokana na adui asiyekuwapo.
Mtazamo huu juu yake unaanzia pale alipoamua kuhutubia (kanisani) na kuonesha wasiwasi wake juu ya wale wanaodai serikali tatu wakati Bunge Maalum la Katiba (BMK) lilipokuwa linaendelea Giningi Dodoma nchini Tanganyika.
Tarehe 12 April, 2014; mjini Giningi Dodoma nchini Tanganyika, Lukuvi alimwakilisha Waziri Mkuu kwenye hafla ya kutawazwa Askofu wa Kanisa la Methodist, ndipo alipotumia nafasi hiyo kutimiza na kutowa chuki zake,uwaduwi wake,uhasidi wake fikra zake katika kuonesha sura yake ya kwanza, yaani wasiwasi, woga na hofu kuu!!! iliyo mjaa ndani ya moyo wake
Pamoja na mambo mengine, Lukuvi akihutubia kwenye hafla hiyo alisema: Wazanzibari kule waliko asilimia 95 ni Waislamu, tunataka wajitangazie serikali ya kiislam kule..?? Mnajua madhara yake..?? Wale Waarabu watarudi, watazalisha siasa kali kule, watakuja kutusumbua..!!
Lukuvi alionesha hofu kuu (phobia) juu ya madai ya serikali tatu zilizodaiwa na baadhi ya wananchi na maoni hayo kuratibiwa na tume ya mabadiliko ya katiba (TMK) na kuwekwa kwenye rasimu ya katiba (2013).
Alidai kwamba, lazima waing’an’anie Zanzibar kwa kuwa ni kisiwa na visiwa vinasumbua sana kwa kuwa haiwezekani kujua kitu gani kitaingia na kitaweza kufika bara (maana yake, Tanganyika). Huu ni wasiwasi, woga na hofu kuu kwa mtu aliyepoteza mizania halisi kiakili na kimantiki..!!!
Kwa dhana hii; wasiwasi, woga na hofu kuu (phobia) kwa Lukuvi ni juu ya kurudi kwa Waarabu nchini Zanzibar...!!! Inaweza kuwa ni kichekesho; lakini, chambilecho waswahili, acha tuweke akiba ya maneno.
Lukuvi anawaogopa Waarabu ati watarudi nchini Zanzibar..!!! Ndio hoja yake..!!! Baada ya shutuma, zilizotolewa na baadhi ya wajumbe wa BMK hususan kutoka kwa kundi la Ukawa juu ya hotuba aliyoitoa kanisani, tarehe 17 April 2014, Mwenyekiti wa BMK alimpa Lukuvi takriban dakika 32 kujibu yalioitwa mapigo..!!!
Katika majibu yake, Lukuvi alionesha sura ya pili, japokuwa aliahidi angalitumia nafasi aliyopewa kurasmisha aliyoyasema mtaani (kanisani). Hata hivyo, Lukuvi alisahau alichosema kule mtaani..!!! Kanisani alionesha wasiwasi, woga na hofu kuu. Lakini, kwenye BMK alisema; kwa tabia yake yeye huwa haogopi na sio mnafiki kama walivyozoea watu wengine kwa ahadi kwamba atasema vilevile ili siku nyingine watu wamkumbuke kwamba alivyosema ni kweli..!!!!!
Hapa, kwa mantiki Lukuvi alisahau kwamba tayari alishatanguliza wasiwasi, woga na hofu kuu juu ya serikali tatu; kurudi kwa Waarabu; na kuporomoka kwa serikali ya muungano na madhara yatakayotokana na hali hiyo.
Huu ni wasiwasi, woga na hofu isiyokuwa na ushahidi wowote wa kiakili na kiintelijensia..!!! Uko wapi ushahidi wa visiwa kusumbua duniani, kama tukichukua nchi zinazopaka na bahari kuu! Kwani nchi za Rwanda na Burundi kulikotokea sintofahamu na songombingo iliyotuhatarishia amani yetu na usalama wetu miaka ya 1990, ni visiwa....??
Pamoja na woga na hofu kuu aliyokuwa nayo Lukuvi juu ya kurudi kwa Waarabu nchini Zanzibar; hususan wale waliyoitawala nchi hiyo kabla ya mapinduzi, ushahidi umeonesha dhahiri kwamba Lukuvi alikuwa na sura mbili zisizokuwa na mashiko.
Katika mazingira ya kuonesha ushahidi wa hili, ndani ya mwezi wa Oktoba, 2014 yeye na baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika walikwenda Oman kwa ziara maalum kiofisi.
Lukuvi, akiwa miongoni mwa wajumbe wa ziara hiyo, alikuwa mstari wa mbele hata kuvaa kanzu (kama wavaavyo Waislam)! Huyu ndiye yule aliyetangaza wasiwasi, woga na hofu juu ya kurudi kwa Waarabu...!!!!! Je, Lukuvi kwa kwenda kwake Oman kama waziri ni busara kudhani kwamba alikwenda kuwafuata watawala wa zamani wa Zanzibar ili warejee.....?? Kama anawaogopa sana Waarabu juu ya siasa kali, alifuata nini Oman.....???
Hizi ni sura mbili za mtu mmoja...!!! Na kwa mujibu wa falsafa ya sura mbili, ni kwamba; mtu huyo ni mwovu lakini anajifanya mwema na rafiki (mnafiki au mzandiki)! Unafiki ni sifa mbaya kwa kiongozi wa umma.
Kama Lukuvi anawaogopa Waarabu waliotawala Zanzibar, kisha yeye anakwenda huko huko walipo na kuwacheza shere hata kwa kuvaa mavazi yanayofanana na Wao Waoman; huu ni nini kama sio unafiki...???
Katika kulitazama hili, na yale yaliyotokea Dodoma kwenye BMK, hadi pale wajumbe waliyo wengi walipopitisha katiba inayopendekezwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni dhahiri kwamba Lukuvi alikuwa na dhana hasi iliyojificha hata kufika kutumia hafla ya kutawazwa kwa askofu kuitimiza hofu kuu (phobia) kwa mambo yasiyokuwa na mashiko ya kiakili na au kimantiki.
Lukuvi alikuwa na agenda ya siri na iliyoratibiwa kimkakati na sio wasi wasi, woga na hofu ya kurudi kwa Waarabu..!!! Kama ingalikuwa hivyo, angaliogopa kwenda Oman hata kama kulikuwa na ulazima huo.
Kinyume chake, Lukuvi alikuwa anatumikia mkakati uliyompeleka kwenye hafla ya kidini katika kutafuta uungwaji mkono wa itikadi ya uhafidhina na ukiritimba wa chama chake katika kufanikisha mchakato wa kupitisha serikali mbili kwa utashi wa CCM Chukua Chako Mapema.
Na kwa vyovyote viwavyo, wasi wasi, woga na hofu kuu kwa Lukuvi ilikuwa ni undumilakuwili ulioatamizwa kwa unafiki na uzandiki katika kutafuta uungwaji mkono na kundi la kiitikadi kwa mtazamo wa kimaslahi zaidi kuliko ujenzi wa jamii ya watu waliyo sawa na huru.
Lukuvi ni mbaguzi mwenye maslahi binafsi zaidi kuliko utumishi wa umma uliyotukuka. Ni kiongozi hatari kwa jamii ya watu wenye mitazamo tofauti ya kiimani. Viongozi wa aina hii hawafai kwa mustakabali wa taifa, kwa kuwa wanasababisha mpasuko wa jamii!
WAJINGA NI SISI WAZANZIBARI TULIO TIWA SUMU NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA TUWACHUKIE DUNGU ZETU WA OMAN WAKATI WAO WATANGANYIKA SIKU HIZI WAKIWASHWA OMAN WAKIUMWA NA UPELE OMAN WAKISIKIA KIU OMAN HAWATOKI SISI TUMO TU MUARABU WEEE JEMSHI WEEE MAJUHA WAKUBWA.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
WAJINGA NI SISI WAZANZIBARI TULIO TIWA SUMU NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA TUWACHUKIE DUNGU ZETU WA OMAN WAKATI WAO WATANGANYIKA SIKU HIZI WAKIWASHWA OMAN WAKIUMWA NA UPELE OMAN WAKISIKIA KIU OMAN HAWATOKI SISI TUMO TU MUARABU WEEE JEMSHI WEEE MAJUHA WAKUBWA.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
WAMEONA KUJA KWA MELI WANACHELEWA SASA WANATAKA KUJENGA DARAJA KABISA MUUNGANO WA DARAJA UNAINYEMELEA NCHI YETU YA ZANZIBAR
DAR ES SALAAM NCHINI TANGANYIKA MPAKA NCHINI ZANZIBAR
JENGENI VIWANDA NA MAOFISI MUWAJIRI HAWA WAACHE KUJIUZA
WATUHUJENGA NYUMBA ILI RAI WAO WAISHI VIZURI SIO DARAJA ILI MUJE ZANZIBAR
BAADA YA ndoto ya kuziunganisha nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar kuwa zina fifia sasa wanakuja na mbinu mpya ya jiji la Dar es Salaam na Kigamboni kwa daraja lenye umbali wa mita 680, Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), linaangalia uwezekano wa kujenga daraja atii la kihistoria zaidi, litakalounganisha Dar es Salaam na bandari ya Malindi nchini Zanzibar. Kwa sasa, uongozi wa shirika hilo upo katika mazungumzo na wataalamu mbalimbali ili kuangalia uwezekano wa kujenga daraja hilo kutoka bandari ya Dar es Salaam kwa upande wa Tanganyika na Unguja nchini Zanzibar.
Umbali kati ya Dar es Salaam nchini Tanganyika na nchi ya Zanzibar ni kilomita 74.43 sawa na meli 45.62 hivyo kuwepo kwa mradi huo ni jambo linalowezekana, kwani kuna madaraja marefu zaidi duniani yanayounganisha upande mmoja wa bahari na mwingine chajabu rai wao hali zao tabani hata mlo moja unawashinda na pahali pa kuishi kwa nini wasiwajenge nyumba za kuish rai wao wa Tanganyika wanakimbilia kujenga dara kutoka dar nchini Tanganyika mpaka nchini Zanzibar kwa nini...?mifuko ya sementi na mchanga na kila kitu vitakavyotumika kujenga daraja hilo kwa nini wasiwajenge rai wao wakawa na nyumba za kuishi.
Kwa sasa, daraja refu zaidi duniani ni lile la Danyang-Kunshan, lililopo nchini China, ambalo linaumbali wa kilomita 165, sawa na meli 102.4. Daraja hilo lilifunguliwa mwezi wa Juni, mwaka 2011. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk Ramadhan Dau wakati alipokuwa akijibu swali la Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, Said Mtanda ambaye alitaka kufahamu, kama kuna matarajio ya kujenga daraja kubwa zaidi, ikiwezekana kati ya Dar es Salaam nchini Tanganyika mpaka nchini Zanzibar. Akijibu swali hilo alisema wapo katika mazungumzo na wataalamu mbalimbali ambapo mazungumzo hayo yakienda sawa, ujenzi wa daraja hilo huenda isiwe ndoto, bali ukweli.
“Hilo wazo lipo mheshimiwa na tayari tumeshaanza mazungumzo ya awali…kwa hivyo hilo wazo lipo na sisi tulilifikiria,” alisema Dk Dau. Kamati hiyo ilifanya ziara katika miradi mikubwa mitatu ya shirika hilo ambayo ni daraja la Kigamboni, ujenzi wa nyumba za Mtoni Kijichi na ‘Dege-Eco village’ ambao una nyumba zaidi ya 7,000. Akizungumza wakati wa kuhitimisha ziara hiyo, Mtanda alisema kamati yake imeridhishwa na miradi ya NSSF ambayo inaendelea, huku akitaka kuongezwa kwa kasi ili watanganyika waanze kunufaika na miradi hiyo. “Muangalie na hilo la ujenzi wa daraja la kutoka Dar es Salaam nchini Tanganyika hadi nchini Zanzibar alisistiza na mradi wa makazi bora na salama ambao utaweza kubadili taswira ya jiji la Dar es Salaam,” alisema Mtanda.
Alisema kamati yake isingependa kuona changamoto zozote ambazo zinaweza kukwamisha miradi hiyo na kwamba serikali kupitia Wizara ya Ujenzi, itaangalia namna ya kuunganisha miundombinu karibu na miradi hiyo.“Lakini pia tumesikia kuwa serikali inadaiwa na mifuko ya hifadhi…tunashauri serikali kulipa mifuko hii ili kuifanya kuwa na nguvu na kuweza kuleta maendeleo,” alisema Mtanda..
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
Monday, October 27, 2014
SHEIN HATA MWENYEZI MUNGU BASI HUMUOGOPI......???
Rais wa Kisonge na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, jana alihutubia mkutano wa hadhara mjini hapa huku akiwataka Wazanzibari kuipigia kura ya ndiyo Katiba mpya inayopendekezwa na CCM wasaka tonge.
Dk. Shein ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, alihutubia mkutano huo uliofanyika katika uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti na kuhudhuriwa na wanachama wa CCM na kusema kuwa katiba hiyo inabeba maslahi ya Wazanzibari.(tunakuliza maslahi yapi ya kuifanya Zanzibar isiwe nchi tena...???)
Alisema katiba hiyo ni nzuri,...!!!!!!!!! kisha ya waliosusa Bunge Maalum la Katiba bila ya sababu za msingi na kudhani kuwa kususa kwao katiba haitapatikana. “Walidhani tukiwa peke yetu tutashindwa mawe, tumeweza tena kwa ufanisi mkubwa sana na kusifiwa na nchi za nje jinsi tulivyofanikiwa,” alisema Dk Shein.(tutajie hizo nchi zilizo wasifia usisema tu nchi kila nchi ina jina taja majina basi) kisha ati unaswali wewe astahafiruh allah.
Alisema katiba hiyo haina walakini wala mushkeli, ni katiba safi na nzuri kabisa kilichobaki kwa wananchi ni kuipigia kura ya ndio. ((hahahahahaahhahahahahahahahaahaha unaumwa na akili nini wewe..?)) Alisema mambo yote ya Zanzibar kuhusu Muungano na yasiokuwa ya Muungano ikiwemo kero za Muungano yameelezwa katika katiba hiyo na kupatiwa majawabu kama koti ndo limevuliwa na wala halibani tena.
Alisema anashangazwa na wanaosema katiba hiyo ni ya CCM wakati rasimu imeandikwa na Tume ya Jaji Joseph Warioba na chama hicho tawala kilikuwa na mapendekezo yake ya serikali mbili. “Nawashaangaa CUF wanaosema katiba hawaitaki, mimi napata mashaka ndo tunataka kuendelea hivyo, wezetu bara wanachimba gesi wanaingiza fedha nyingi, leo wanasema katiba hawaitaki hivyo kweli mafuta tutayachimba na tutapata maendeleo?” alihoji na kuongeza: “Lazima tukubaliane tupige kura ya ndio katiba hii ili kuweza kupata maendeleo.
”(( miaka 50 na sasa munawadanganya wananchi munaleta maendeleo wakati maendeleo munayo leta ni yenu nyinyi na wake zenu na mahawara wenu na watoto wenu wa halali na waharamu pia ndio wanao pata maendeleo wananchi wanaumia tu ndio leo muanalete maendeleo na katiba mkoloni mweusi....?))
“Nataka niwahakikishieni katiba hii itapigiwa kura za ndiyo na nimwambie Katibu Mkuu wa CUF (Maalim Seif) aseme na wanachama wake na siyo Wazanzibari wote, mimi ndiye nina mamlaka ya kuwaambia Wazanzibari wote kwani mimi ndiye waliyenichagua niwambie wanachama wake wa CUF,” alisema.
Swali: Kwa maana hiyo unataka kusema kuwa Karume alikupigia simu ukazungumze na Maalim Seif kwa kuwa Dk. Shein hakushinda uchaguzi?
Jibu: Ndiyo maana yake, wewe ni mtumzima umeniuliza swali la kiutu uzim, ndiyo maana yake.
Swali: Je, Dk. Shein naye hakukuita?
Jibu: Ndiyo maana yake, wewe ni mtumzima umeniuliza swali la kiutu uzim, ndiyo maana yake.
Swali: Je, Dk. Shein naye hakukuita?
Jibu: Ndiyo maana nilitaka nikuonyeshe picha. (Anaonyesha picha akiwa anateta jambo na Dk. Shein huku upande mwingine akionekana mkewe Dk. Shein, Mwanamwema na nyuma yao ni maafisa wengine wa Serikali).
Hapa Bwawani (hotel) tumekwenda kusikiliza matokeo ya urais. Usiku walikuja askari wa Polisi wakasema, mzee unatafutwa uende Bosnia (kule kwa Maalim Seif, Maisara). Kumbe kule wameshaambiwa kuwa matangazo ya urais yasitangazwe mpaka Mzee Moyo awepo.
Hapa Bwawani (hotel) tumekwenda kusikiliza matokeo ya urais. Usiku walikuja askari wa Polisi wakasema, mzee unatafutwa uende Bosnia (kule kwa Maalim Seif, Maisara). Kumbe kule wameshaambiwa kuwa matangazo ya urais yasitangazwe mpaka Mzee Moyo awepo.
Nikaendea mimi kule Maisara, nikakuta vijana wa Usalama wa Taifa wakanipokea na magari mawili tukaongozana mpaka Bwawani. Tumefika na kukaa, huyu mimi, yeye na mkewe.
Unaona hapo kwenye picha tunanong’onezana? Kila nikiiangalia hii picha namshukuru sana mpiga picha huyu amefanya kazi kubwa.
Alikuwa akiniuliza. Leo nasikia Rais Karume alikupigia simu asubuhi akasema utazungumza na Maalim Seif. Nikamwambia ni kweli alinituma na matokeo ya mazungumzo yetu utayasikia hapa.
Unaona hapo kwenye picha tunanong’onezana? Kila nikiiangalia hii picha namshukuru sana mpiga picha huyu amefanya kazi kubwa.
Alikuwa akiniuliza. Leo nasikia Rais Karume alikupigia simu asubuhi akasema utazungumza na Maalim Seif. Nikamwambia ni kweli alinituma na matokeo ya mazungumzo yetu utayasikia hapa.
Mimi ni Mngoni, siogopi kitu. Basi yakatangazwa matokeo pale akawa ameshinda. Akatoa hotuba pale na wakasema ushindi huu ni wetu sote. Halafu anasema leo hanitambui!
Chaguzi ngapi zimefanywa hapa Zanzibar mimi nilikwenda? Lakini siku ile Amani alisema lazima Mzee Moyo awepo. Kwa sababu anajua kazi yangu, nchi hii imetulia kwa sababu ya uongozi wangu.
Chaguzi ngapi zimefanywa hapa Zanzibar mimi nilikwenda? Lakini siku ile Amani alisema lazima Mzee Moyo awepo. Kwa sababu anajua kazi yangu, nchi hii imetulia kwa sababu ya uongozi wangu.
Hii picha unayoiona ni kamati yetu ya maridhiano ambayo tulikwenda Ikulu kumtembelea Rais Shein. Hapa bado alikuwa akiitambua. Uchaguzi umefanyika hakuna mtu hata aliyevunjiaka ukucha.
Nilimwambia hii ndiyo kamati ya maridhiano, je tuivunje maana iliundwa na marais wengine. Akasema kwa nini muivunje na kazi mmeshafanya? Basi tukaondoka.
Nilimwambia hii ndiyo kamati ya maridhiano, je tuivunje maana iliundwa na marais wengine. Akasema kwa nini muivunje na kazi mmeshafanya? Basi tukaondoka.
Mara ya pili tukaenda tena kupeleka taarifa ya kamati yetu. Akasema vizuri nitaisoma. Hajatuita mpaka leo. Mpaka katangaza hadharani kuwa haitambui kamati yetu… kasema hadharani, mimi mtu mzima siwe kumsingizia rais wangu.
Basi sisi hatuna haja naye, tunakwenda upande wetu na yeye upande wake, tutakutana tu.
Basi sisi hatuna haja naye, tunakwenda upande wetu na yeye upande wake, tutakutana tu.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano feki wa mkoloni mweusi Tanganyika), Samia Suluhu Hasan, alisema endapo katiba iliyopendekezwa kama haitapigiwa kura ya ndiyo, Wazanzibar wataendelea kunung’unika katika mambo ya Muungano.((ahaa msaka tonge unajitahidi kumfurahisha mkoloni mweusi Tanganyika kwa kuipigia debe katika feki endelea tu)) Wanachama hao na wapenzi wa chama tawala walitoka maeneo mbalimbali ya mikoa minne ya Zanzibar ambao waliaanza kukusanyika asubuhi.
Mkutano huo ambao ni wa kwanza CCM kufanyika Zanzibar hapa baada ya Bunge Maalum la Katiba kupitisha Katiba hiyo ya CCM inayopendekezwa, ulihudhuriwa na viongozi wakuu wa Chama hicho na waliokuwa wajumbe wote wa bunge hilo kutoka Zanzibar waliopiga kura ya ndiyo wasaka tonge.
Miongoni mwa Wasaka Tonge waliohudhuria ni Makamu wa Pili wa Rais wa Kisonge pia ni balozi mdogo wa nchi ya Tanganyika, Balozi Seif Ali Iddi; Spika wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameri kificho; Mwenyekiti wa CCM mkoa wa mjini Magharibi, Borafya Silima; Shamsi Vuai Nahodha; Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai; Ali Ameri Muhammed na wajumbe wote wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) na mke wa Rais wa Kisonge, Mwanamwema Shen.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
SHEIN NA BOOK LAKE LA UBATIZO HII NI ZANZIBAR HABATIZWI MTU HAPA UTABATIZWA WEWE NA WASAKA TONGE WENZAKO
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar na Rais wa Kisonge na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi wa Zanzibar wasikubali kugawiwa kutokana na mchakato wa Katiba unaoendelea
Akihutubia maelfu ya wana CCM na wananchi wa Zanzibar katika Mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika viwanja vya Demokrasia Kibandamaiti mjini Unguja, Dk. Shein alisema wananchi wote waliridhia na kushiriki mchakato huo hivyo hakuna sababu ya kugawanyika baada ya Bunge la Katiba kupendekeza Katiba Mpya.
Alisisitiza kuwa mchakato wa Katiba kamwe usiwagawe wananchi wa Zanzibar na badala yake waendelee kudumisha amani na utulivu uliopo na kamwe wasikubaliane na viongozi wasioitakia mema Zanzibar.
Dk. Shein aliwaeleza wananchi hao kuwa anashangazwa na viongozi wa Chama cha Wananchi-CUF kwa kuikataa katiba wakijua kuwa kufanya hivyo ni kwenda kinyume na maslahi ya Zanzibar na watu wake.
“Napata mas
haka na viongozi wa CUF kama kweli wanataka maendeleo ya Zanzibar kwa kuwa tulipigania wote suala la mafuta na gesi liondolewe katika mambo ya muungano na Katiba inayopendekezwa imefanya hivyo sasa wanachokataa ni nini?”Alihoji Dk. Shein.
“Napata mas
haka na viongozi wa CUF kama kweli wanataka maendeleo ya Zanzibar kwa kuwa tulipigania wote suala la mafuta na gesi liondolewe katika mambo ya muungano na Katiba inayopendekezwa imefanya hivyo sasa wanachokataa ni nini?”Alihoji Dk. Shein.
Katika mnasaba huo aliwataka wananchi kuwa makini na viongozi wa chama hicho wanapokwenda kwao kuzungumzia suala la Katiba mpya kwa kuwa hoja zao zimekwisha ilichobaki ni kuwadanganya na kamwe wasikubali jambo hilo.
Alisema wananchi wa Zanzibar wana kila sababu za kuipigia kura ya ndio Katiba hiyo wakati utakapofika kwa kuwa inaunga mkono jitihada zote zinazofanywa na serikali yao katika kuiletea nchi maendeleo ikiwemo suala hilo la kuendeleza wa sekta ya mafuta na gesi.
Dk. Shein aliwaeleza wananchi hao kuwa Katiba inayopendekezwa imezingatia maslahi ya Zanzibar kwa ukamilifu wake na kufafanua kuwa masuala yote yaliyokuwa yakiitwa kero za muungano yamepatiwa ufumbuzi.
Aliwapongeza viongozi mbalimbali waliotoa maelezo ya vifungu mbalimbali vya Katiba hiyo ambavyo vinaonesha jinsi maslahi ya Zanzibar yalivyozingatiwa katika Katiba hiyo ikiwemo fursa mbalimbali itakazopata Zanzibar endapo Katiba hiyo itapitishwa. Alimpongeza piaMzee Hamid Ameir kwa kuvunja ukimya na kueleza juu ya Mapinduzi ya Januari 12, 1964
Dk. Shein alisema kuwa mchakato wa kuundwa kwa Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa tanzania si jambo la kukurupuka bali ni suala la muda mrefu ambapo yeye pamoja na Rais Jamhuri wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete walishauriana wakati wote na kuwakumbusha wananchi kuwa suala hilo mwanzoni lilitakiwa na upinzani wenyewe.
Katika mkutano huo Dk. Shein aliwahakikishia tena wananchi hao kuwa Zanzibar ilishirikishwa na kushiriki kikamilifu katika mchakato huo tangu mwanzo hadi hatua iliyopofikia sasa kwa kuzingatia sheria ya mabadiliko ya Katiba pamoja na taratibu nyingine zilizowekwa.
Rais wa Kisonge na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi aliwataka wanachama wa Chama cha Mapinduzi kutembelea kifua mbele kutokana na Serikali yake kutekeleza kwa mafanikio makubwa Ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010.
Alirejea kauli yake kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyo chini mfumo wa Umoja wa Kitaifa inatekeleza Ilani ya CCM ambayo ndio iliyoshinda uchaguzi na kuwa masuala yote hayo ikiwemo mchakato wa Katiba umewashirikisha vingozi wote katika Serikali hiyo.
Dk. Shein aliwahakikishia wana CCM na wananchi wa Zanzibar kuwa chama hicho kitashida uchaguzi wa Mkuu ujao kwa kishindo na kuongeza kuwa huo ndio utakuwa mwisho wa chama cha CUF.
“Ushindi wa CCM uchaguzi ujao hauepukiki na huo ndio utakuwa mwisho wa CUF na hawatakuwa na kisingizio” alisema Dk. Shein na kuwahakikishia wananchi kuwa uchaguzi ujao utakuwa wa kidemokrasia zaidi kuliko chaguzi zilizopita.
Nae Balozi Seif Idd alimshangaa kiongozi mkubwa wa chama cha CUF kumwita msaliti na kusema kuwa msaliti ni yeye ambaye amewatoa Wajumbe wa Katiba hiyo ambayo ilikuwa inawatetea Wazanzibari.
Alisema kuwa Wajumbe wa CCM wa Bunge la Katiba lililopita wamemtetea Rais wa Zanzibar ambapo kwenye Ibara ya 96 inaonesha wazi Rais wa Zanzibar kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nayo risala ya WanaCCM wa Mikoa minne ya Kichama ya Unguja ilitoa shukurani kwa Wajumbe wote wa CCM katika Bunge la Katiba na kueleza kuwa kazi kubwa na ya thamani wameifanya viongozi hao katika kuimarisha Muungano pamoja na kuenzi Mapinduzi ya Januari 12, 1964.
Risala hiyo, ilieleza kuwa licha ya kuwepo kwa wapinga Mapinduzi hapa nchini ambayo kila siku wamekuwa wakiaandaa mbinu mpya za kuyahujumu Mapianduzi hayo kamwe hawatofanikiwa.
Aidha risala hiyo ilieleza kuwa kazi ya kuyalinda Mapinduzi ya Januari 12, 1964 ni endelevu na inamuhusu kila mwana chama CCM na kumpongeza Dk. Shein pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete na kusisitiza kuwa Muungano utaendelea kuwa imara.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
Thursday, October 16, 2014
VIDE-MANSOUR YUSSUF HIMID-WALIACHA RASIMU WAKAMJADILI JUSSA-MJI MKONGWE
PART 1
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
VIDEO-MANSOUR YUSSUF HIMID-HAKUNA KURUDI NYUMA-MJI MKONGWE
PART 2
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
VIDEO-DELETE FUTA KABISA !!! DELETE KABISA FUTA KABISA 2015 VIONGOZI WASAKA TONGE
MPAKA KIELEWEKE ZANZIBAR KWANZA MPAKA NDANI YA RAP GAME PIA TUNATAKA NCHI YETU YA ZANZIBAR
KITOPE DELETE FUTA KABISA
KIEMBESAMAKI DELETE FUTA KABISA
MAKUNDUCHI DELETE FUTA KABISA
WALIO TUTISHI VIFARU DELETE FUTA KABISA
ALIYE SEMA MAMLAKA KAMILI PEPONI DELETE FUTA KABISA
ALIYESEMA ZANZIBAR SIO NCHI DELETE FUTA KABISA
WANAO TAKA KUIYUWA KATIBA YA ZANZIBAR DELETE FUTA KABISA
WANAO TAKA KUIGAUZA NCHI YA ZANZIBAR KUWA MTAA KTK NCHI YA TANGANYIKA DELETE FUTA KABISA
ALIYESEMA KATIBA HAIKO KIBANDA MAITI DELETE FUTA KABISA
MADALALI WOTE NA WAKATA MAUNO DELETE FUTA KABISA
WANAO GAWA JAZI,TV,MAJEMBE,UPANDE WA KANGA,VITENGE,MASHOKA WAKATI WA KARIBU YA UCHANGUZI DELETE FUTA KABISA
WALIO TUTISHI VIFARU DELETE FUTA KABISA
ALIYE SEMA MAMLAKA KAMILI PEPONI DELETE FUTA KABISA
ALIYESEMA ZANZIBAR SIO NCHI DELETE FUTA KABISA
WANAO TAKA KUIYUWA KATIBA YA ZANZIBAR DELETE FUTA KABISA
WANAO TAKA KUIGAUZA NCHI YA ZANZIBAR KUWA MTAA KTK NCHI YA TANGANYIKA DELETE FUTA KABISA
ALIYESEMA KATIBA HAIKO KIBANDA MAITI DELETE FUTA KABISA
MADALALI WOTE NA WAKATA MAUNO DELETE FUTA KABISA
WANAO GAWA JAZI,TV,MAJEMBE,UPANDE WA KANGA,VITENGE,MASHOKA WAKATI WA KARIBU YA UCHANGUZI DELETE FUTA KABISA
VIDEO-KAMATI YA MARIDHIANO SIX PART 2/5 CUF KIBANDAMAITI 12 OCTOBER 2014 KATIBA HATULITAKI ZANZIBAR TUNAKATIBA YETU
PART 2
PART 3-5
PART 4-5
PART 5-5
HATUTAKI KATIBA ZANZIBAR INAKATIKA YAKE HATUTAKI KURA YA MAONI KWANI TULIPO UNGANA TULIPIGA KURA..? SITULIUNGANA TU BASI NA SASA HATUTAKI TENA HAKUNA CHA KURA MAANA WANAJUWA TUKIPIGA KURA SIWATAZICHAKACHUWA TU
HATUTAKI TUNATAKA NCHI YETU YA ZANZIBAR.
KATIBA NAWATUMIYE WAO WASIO NA KATIBA.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
Tuesday, October 14, 2014
NCHINI ZANZIBAR WANASHERIA NA WANASIASA NA WANANCHI WA NCHI YA ZANZIBAR WAMEUNGA MKONO MSIMAMO WA MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD
Nchini Zanzibar: Wanasheria na Wanasiasa na Wananchi wa nchi ya Zanzibar, wameunga mkono msimamo wa Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad wa kupiga kampeni ya hapana kupinga Katiba iliyopendekezwa kupitishwa na wananchi kwa sababu imelenga kufuta hadhi ya Zanzibar kuwa nchi.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti jana mjini nchin Zanzibar, wanasheria na wanasiasa hao walisema hatua ya Maalim Seif kupinga Katiba hiyo ni haki yake kwa mujibu wa sheria kama kiongozi au mtu binafsi.
Rais wa Chama cha Wanasheria wa nchi ya Zanzibar (ZLS), Awadh Ali Said alisema anaunga mkono msimamo wa Seif kwa sababu Katiba inakuja kuondoa hadhi ya nchi ya Zanzibar kuwa nchi na mamlaka ya kikatiba ya Rais wa nchi ya Zanzibar ya kugawa mipaka ya wilaya na mikoa yake.
“Bahati mbaya tangu kupatikana kwa Uhuru, Watanganyika na Zanzibar watu wa nchi hizi mbili hawajawahi kuwa na Katiba inayotokana na wananchi bali wamekuwa wakiongozwa na Katiba zinazotokana na watawala wa Zanzibar na Tanganyika,” alisema Awadhi.
MH MANSOUR YUSSUF HIMID ANGURUMA KIBANDA MAITI NCHINI ZANZIBAR
ZANZIBAR KWELI NI JEMAA NDIO MAANA MAHASIDI WANATKA KUIFISIDI
MAELFU YA WAZANZIBARI WALIO HUDHURIA MKUTANO WA KIBANDA MAITI NCHINI ZANZIBAR
Mjumbe wa kamati ya maridhiano na mshauri wa katibu mkuu wa Chama cha wananchi CUF Mh.Mansour Yussuf Himid amesema ataendelea kuitetea nchi ya Zanzibar kwa hali na mali mpaka ahakikishe nchi ya Zanzibar inapata mamlaka yake kamili kitaifa na kimataifa.
Mansour aliyasema hayo katika mkutano mkubwa wa aina yake wa Chama cha wananchi CUF uliofanyika viwanja vya kibanda maiti mjinu Unguja nchini Zanzibar.
Mansour alieleza kwamba ataendelea na msimamo wake wa kupinga muungano huu uliopo mpaka siku ya kiama kwani ni aina ya muungano uliojaa ukatili kwa wananchi wa nchi ya Zanzibar.
Aliwataka Wazanzibar kuelewa kwamba kwa mujibu wa vitabu mbali mbali vya dini ni wazi kabisa kuwa kila mmoja wetu atakufa hivo hakuna haja ya kuogopa kwa kuitetea nchi yao.
Pamoja na hayo aliwata wananchi wote wa nchi ya Zanzibar bila ya kujali itikadi zao kuikataa katiba iliopitishwa na Bunge maalumu la katiba kwani haikukidhi vigenzo wala matakwa ya wananchi wa nchi ya Zanzibar kufuatia maoni yao waliotoa kwenye tume ya Jaji warioba.
Mkutano huo wa CUF uliofanyika kibanda maiti nchini Zanzibar hudhuriwa na maelfu ya watu wa mikoa yote ya Unguja walihudhuria kuja kujuwa hatma ya nchi yao wanayo ipenda ya Zanzibar.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
ZANZIBAR TUTAIPATA TUKIACHA UBAGUZI NA CHUKI BINAFSI
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
VIDEO-SHEIKH KHALID YASIN-YOU WILL BE JUDGED. CCM ENDELEANI KUJITIA HAMNAZO ILA MKAE MKIJUWA MUTAIWACH DUNIA NA MTAULIZWA
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
VIDEO-SHEIKH KHALID YASIN-DONT SAY NO ONE TOLD ME HASWA NYINYI CCM MULIO LEWA NA RAHA ZA DUNIA
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
VIDEO-THE HOUSE NEGRO AND THE FIELD NEGRO THE HOUSE NEGRO WA ZANZIBR NI CCM
MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA ASHAJUWA KUWA KUNA WAZANZIBARI
WANA NJAA NA HAWAWEZI KUJIZUI NDIO KAWA WEKA KUWA NI WATUMWA
WAKE ANAKULA YALIYO BAKI MAKUMBO ANAWAPA WAO WALE HAWA NDIO
HOUSE NEGRO
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
Monday, October 13, 2014
WAZANZIBARI HAWATAKI KUIONA KATIBA YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA MWISHO MSASANI
WAKINA MAMA NA WAKINA DADA KIBANDA MAITI KUIKATA KATIBA YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA ILIYO PEWA BARAKA ZA WASAKA TONGE CCM NA KIBARAKA MATARI HAMAD RASHID.
WAZANZIBARI WAFUNIKA KIBANDA MAITI
KINA BABA NA KINA KAKA A KIBANDA MAITI KUIKATA KATIBA YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA HAMAD RASHID UBAKI HUKO HUKO GININGI DODOMA NA WENZIO WASAKA TONGE.
Chama cha Wananchi (CUF) kimesema hakiikubali Katiba inayopendekezwa kwa kuwa haina maslahi ya wananchi wa Zanzibar.Badala yake chama hicho kimewataka Wazanzibari waikatae Katiba iliyopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba (BMK).
Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa CUF ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa nchi ya Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, wakati akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Demokrasia vya Kibanda Maiti, nchini Zanzibar.
“Wananchi, Katiba haikubaliki kwa Wazanzibari, mimi mwenzenu siikubali, sijui nyinyi wenzangu...??” alihoji Maalim Seif na wananchi kuitikia kuwa nao hawaikubali kabisa.
Alisema kuwa miongoni mwa mambo yanayoipokonya Zanzibar hadhi yake ni Katiba inayopendekezwa kumpokonya Rais wa Zanzibar mamlaka ya kugawa mikoa, tofauti na Katiba ya nchi ya Zanzibar ya sasa.
Alisema kwa maana hiyo Rais wa Muungano anachukua mamlaka ya Rais wa nchi ya Zanzibar na anaweza kuteuliwa wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya wa Zanzibar.
“Kwa mabadiliko hayo ya rasimu ya Chenge, Rais wa Muungano anaweza kututeulia Sheha wa Shehia ya Mtoni Zanzibar kutoka Bukoba,” alisema Maalim Seif huku akishangiliwa na wanachama na wafuasi wa CUF na Wazanzibari kwa ujumla.
Maalim Seif alisema Katiba ya nchi ya Zanzibar na marekebisho yake ya mwaka 2010 iko sahihi kabisa na inazingatia matakwa ya Makubaliano ya Muungano.Alisema hayuko tayari kuona rasimu hiyo inakubalika na kwamba Wazanzibari hawataki kuiona.Alisema hakubaliani na kauli za baadhi ya watu waliosema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) inaridhishwa na mchakato wa Katiba mpya.
“Nataka kuwambia hakuna kikao chochote cha SMZ kilichokaa na kusema tunaijadili rasimu, kama kuna mtu anataka kusema eti Smz imeridhishwa aseme mwenyewe binafsi na siyo Serikali ya Umoja wa Kitaifa,” alisema Maalim Seif.
Maalim Seif aliisifu Rasimu ya Jaji Joseph Warioba ambayo ndiyo ilizingatia matakwa ya Watanganyika na Wazanzibari walio wengi na kwamba pamoja na awali Wazanzibari kupendekeza muundo wa Muungano wa mkataba, lakini kwa busara ya tume hiyo waliikubali muundo wa serikali tatu.
Maalim Seif alisema anahutubia mkutano huo akiwa na furaha kubwa kutokana na umma ulioteremka katika viwanja vya Kibandamaiti, na hiyo ni sababu tosha na ujumbe kuwa hawaitaki Katiba inayopendekezwa.
“Ndugu yangu, rafiki yangu Ali Mohammed Shein ufahamu kuwa umma huu uliohudhuria Kibandamaiti ni ujumbe tosha kuwa Katiba hiyo hawaitaki, na mwambia Rais Kikwete kuwa Katiba hii hatuikubali,” alisema Maalim Seif.
Maalim Seif alisema Katiba bora ni ile inayozingatia maoni ya wananchi. “Lakini Rais (Rais Jakaya Kikwete), Katiba yenu mmeweka upande maoni ya wananchi, mmejifungia wenyewe, mmeipitisha wenyewe na mmeichezea ngoma wenyewe”, alisema.
Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Nassor Ahmed Mazrui, alisema wajumbe saba wa Bunge Maalum la Katiba waliopiga kura ya Hapana hadharani kukataa rasimu hiyo ni mashujaa wa nchi ya Zanzibar na Wazanzibari wote wanapaswa kuwapa heshima kubwa.
Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa CUF, Salum Bimani, alisema wananchi wa Zanzibar wameshaamua na hawatarejea nyuma zaidi ya kuiondoa CCM mwaka 2015 na kuipa nchi ya Zanzibar mamlaka kamili. Bimani alisema msiwape kura viongozi wa CCM ambao wanauza nchi ya Zanzibar huku wakicheza ngoma.
“Kwa Shilingi 300,000 watu hawa wanadiriki kuuza nchi, hawa waliopiga kura za ndiyo ni madalali wa Zanzibar, hata wale waliopiga kura za siri pia ni madalali,” alisema Bimani. Alisema wanasheria wawili wameitetea Zanzibar na wakafikwa na masahiba mazito. Aliwataka wanasheria hao kuwa Jaji Walfgong Dourado na Mwanasheria Mkuu wa Serikali aliyefutwa kazi, Masoud Othman Masoud.
Bimani alisema Wazanzibari wapo pamoja nao katika kuhakikisha Zanzibar inabaki na wale wenye nia mbaya wajue kwamba Zanzibar wataitapika watake wasitake. Mansour alisema naendelea kuwa muumini wa Maridhiano ya Zanzibar. Katiba hii ni yao wenyewe si ya Wazanzibari. “Baada ya kuona umma huu uliohudhuria katika mkutano huu tunapaswa kumhofia Mwenyezi Mungu,” alisema.
“Naendelea kumuunga mkono Maalim Seif Sharif Hamad, ni kiongozi asiyekuwa mnafiki anajitambua na hatawaliwi na utawala wa Dodoma, anatawaliwa na Wazanzibari wenyewe na matakwa na matumaini yao,” alisema na kuwataka Wazanzibari wasiwe na hofu kwani hawawezi kufungwa wote wako wengi sana, wakati umefika.
“Tumeungana kwa hiari yetu, tukakubali kwa hiari yetu, sisi si watumwa wa mtu yoyote, tumefungwa tumefukuzwa makazini kwa sababu ya nchi hii, hatuwezi kurudi nyuma,” alisema. Alieleza kuwa watu wasishangae kumuona Mwenyekiti wa Kamati ya Maridhiano, Mzee Nassoro Moyo, amesimama kwenye jukwa anatetea nchi yake. Mzee Moyo alisema Wazanzibari hawakubali kuona watu wanataka kuichukua nchi yao ovyo ovyo.
Mkutano huo ambao ni wa kwanza kuhutubia na Maalim Seif tangu BMK limalize kazi yake na kuwasilisha rasimu kwa Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Maskani ya Kisonge, Dk. Ali Mohammed Shein, ulihudhuriwa na maelefu ya wananchi huku baadhi yao wakibeba mabango. Baadhi ya mabango hayo yalibeba ujumbe usemao “Wapige mabomu rasimu yao hatuitaki, Hongera Othman Masoud, Katiba ya vijisenti (Chenge) hatuitaki”.
Katika hatua nyingine, Maalim Seif alikanusha taarifa kwenye mitandao kuwa hatajiuzulu wadhifa huo na ataendelea kukiongoza CUF kushika madaraka na kushika Serikali ya Umoja wa Kitaifa katika uchaguzi mkuu wa mwakani, akiwa kwenye nafasi hiyo.
Maalim alisema taarifa zilizoenezwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa baada ya kufukuzwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Masoud Othman Masoud, naye amejiuzulu Umakamu wa Kwanza ni uzushi mtupu.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
THELUTHI MBILI ZA NCHI YA ZANZIBAR HAZIKUTIMIYA SITTA,WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA NA WASAKA TONGE CCM WA ZANZIBAR MSHASHEREHEKEA SASA JITARISHENI KULIA NA MSIBAA MLIO JITAKIYA
HAWA WASHEREHEKEA KUIYUWA NCHI YA ZANZIBAR NA KUIGEUZA KUWA MOJA KATIKA MITAA YA NCHI YA TANGANYIKA.
NA SISI TUNASEMA MUTAITOWA NCHI YETU YA ZANZIBAR MUKITAKA MUSITAKE MPAKA KIELEWEKE ZANZIBAR KWANZA ZANZIBAR KWANZA ZANZIBAR KWANZA
TUACHIWEE TUPUMUWEEE TUACHIWEE TUPUMUWEEE TUACHIWEE TUPUMUWEEE
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba (BMK), Samuel Sitta,Saba,Nane na Tisa ameendelea kubanwa baada ya Jukwaa la Katiba (Jukata), kudai kura nyingine iliyopigwa kwa ajili kuhalalisha theluthi mbili za nchi ya Zanzibar ilichakachuliwa kutokea kwa wajumbe wa bara.Mwishoni mwa wiki, mmoja wa wajumbe wa bunge hilo kutoka Zanzibar, ambaye ni Makamu Mwenyekiti Taifa wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Haji Ambari Khamis, aliwaambia waandishi kwamba hakupiga kura lakini jina lake lilichomekwa ili kulazimisha upatikanaji wa theluthi mbili ya Wazanzibari.Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam nchini Tanganyika jana, Mwenyekiti wa Jukata, Deus Kibamba, alisema wakati wakifanya uchambuzi linganifu wa katiba iliyopo ya mwaka 1977, rasimu ya pili ya Katiba ya Jaji Joseph Warioba na Katiba pendekezwa, walibaini mjumbe wa BMK, Zakia Meghi mwenye namba 149 amepiga kura kama mjumbe wa nchi ya Zanzibar wakati ni kutoka nchi ya Tanganyika.
“Baada ya Rais Jakaya Kikwete kutoa majina ya makundi yote ambayo yatashiriki BMK na baadaye tangazo la gazeti la serikali la Februari kuweka bayana makundi hayo…mjumbe Zakia Meghi jina lake lilikuwa upande wa nchi ya Tanganyika na ndiko anakofanyia shughuli za siasa.“Katika Katiba pendekezwa namba 149, Zakia Meghi amesaini kupigia kura ya nchi ya Zanzibar wakati yeye ni mjumbe wa nchi ya Tanganyika, anatuambia kuwa amepiga kura feki …kapiga pasipo husika kwa kuwa kila mfuatiliaji wa masuala ya siasa anafahamu kuwa mwanasiasa huyu yuko nchini Tanganyika muda mrefu hata kutambuliwa na Rais Kikwete hivyo,” alisema.Kibamba, alisema kutokana na udanganyifu huo uliofanywa na Sitta kumruhusu Meghi kupiga kura upande usio wake na wakati huo huo mjumbe NCCR-Mageuzi kutoka nchi ya Zanzibar, Haji Ambar Khamis kulieleza mbele ya waandishi kuwa alisingiziwa kupiga kura nambari 39 katika ukurasa wa 209 zote ni feki.
Aidha, Mwenyekiti huyo, alisema Jukata imesikitishwa na vitendo vya wajumbe wa BMK na viongozi wake kuvunja maadili ya Kitanganyika na ya Kizanzibari kwa mujibu wa katiba iliyopo, waliposerebuka kwa kukata viuno na kubanana wanaume na wanawake kusherehekea ushindi wa kupata theluthi mbili ya nchi ya Zanzibar.“Bunge lolote likiwa katika vikao linakuwa katika sehemu muhimu ya kufanya maamuzi ya wananchi, lakini tulisikitika pale tulipoona wajumbe wanaserebuka hata kupoteza maana ya maadili kwa wajumbe wa kike na kiume kukata viuno na kubanana hadharani …Jukata tumesikitishwa sana na tukio hilo,” alisema.Akizungumzia yaliyomo katika Katiba pendekezwa, Kibamba alisema kilichofanywa na wajumbe wa BMK katika siku zote walizokaa bungeni, walitoa masuala muhimu na kufifisha hoja zilizobaki, ambazo alidai ziliandaliwa kwa umakini katika rasimu ya Jaji Warioba.
Alisema kazi ya kufifisha hoja hizo, ilifanywa na genge la watu wachache kwa maslahi yao, ambao mara nyingi ndiyo humpotosha Rais na kuwachanganya Wananchi ili washindwe kufanya maamuzi magumu ya nchi kwa ajili ya Watanganyika na Wazanzibari kwa ujumla na Taifa kwa jumla.Kibamba, alikwenda mbali zaidi na kusema, genge hilo hilo ndilo sasa linalomshawishi Rais Kikwete afikirie na kutangaza ndani ya siku 84, tarehe ya kupiga kura ya maoni kukubali au kukataa Katiba inayopendekezwa ili waweze kunufaika zaidi.“Watanganyika na Wazanzibari wote tunajua kuwa kura ya maoni ya kupitisha Katiba pendekezwa itapigiwa kura mwaka 2016… hii ni kwa mujibu wa makubaliano kati ya Rais Kikwete na Viongozi wa Kituo cha Demokrasia Nchini (TCD), walipokutana hivi karibuni,” alisema.Mwenyekiti huyo wa Jukata, alisema genge hilo kama litaendelea kumlazimisha Rais Kikwete akubali Waatanganyika na Wazanzibari wapige kura tofauti na makubaliano, atakuwa analazimisha machafuko yasiyo ya lazima.
Aidha, alisema Katiba pendekezwa imeongeza ukubwa wa serikali hususan tume, kutoka nne kwa katiba ya sasa hadi 12 na kuweka uwezekano wa kuanzisha tume za kisekta zisizo na idadi, hivyo kufanya mzigo wa uendeshaji wa serikali kuwa mkubwa.Kuhusu uwiano wa kijinsia, Kibamba alisema Katiba inayopendekezwa imeondoa matumaini ya kufikia usawa kamili wa kijinsia kwa mfumo wa uwazi kama ilivyokuwa katika Katiba ya 1977 ambao ni asilimia 30. Rasimu ya Jaji Warioba ilipendekeza 50/50 kuingia jimboni.Alisema kwa sasa hakuna mfumo rasmi na kuondoa fursa za uteuzi wa Rais wa wabunge 10 huku watano wakiwa wa kike, kuondoa uteuzi wa wawakilishi watano kutoka Zanzibar, ambako wawili ni wa kike na fursa zingine za kijinsia kubanwa.
“Natoa rai kwa wanawake wote nchini, ambao walidhani wamepewa pipi na BMK walambe kwa kuwekewa 50/50, kumbe hakuna walichowekewa…nawaomba watenge muda wao, watulie na kusoma Katiba pendekezwa, iliyopo ya 1977 na rasimu ya Jaji Warioba kisha washangilie,” alisema. Alisema mwonekano wa Watanganyika na Rais Kikwete wa kuwapo kwa Katiba mpya ambayo ingeondoa kero za Watanganyika na Wazanzibari na kuifanya idumu kwa mika 50 au 1000 ijayo bila kuhitaji marekebisho makubwa au katiba nyingine, limeshindwa kutimia. Hata hivyo, Kibamba alisema ili kufanikisha uelewa wa wananchi kuhusu Katiba pendekezwa, Jukata linaiomba serikali na wadau wengine kuchapisha nakala za kutosha ili kila mtanganyika anayetaka kuifahamu Katiba pendekezwa, aweze kufanya hivyo bila kikwazo.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
Subscribe to:
Posts (Atom)