Monday, August 24, 2015

MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD AMECHUKUWA FOMU KUGOMBE URAISI WA NCHI YA ZANZIBAR



Mgombea Urais wa nchi ya Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Shariff Hamad akiwa na mgombea wa Urais wa nchi ya Tanganyika Mh Edward Lowassa leo katika ukumbi wa Salama  Bwawani..Mh Lowassa alimsindikiza Maalim Seif Shariff Hamad kwenda kuchukua fomu.

 Viongozi,wananchi na wageni maalum walimsindikiz Mgombea Urais wa nchi ya Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Shariff Hamad kwenye hafla ya uchukuwaji fomu.Kutoka kushoto ni Bi Fatma Fereji, Mhe Abubakar Khamis Bakary, Mzee hassan Nassor moyo, Mgombea mweza wa Urais wa nchi ya Tanganyika, Mhe juma Duni na mgombea urais wa nchi ya Tanganyika kupitia UKAWA mhe Edward Lowassa.
DSC01631
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchi Zanzibar MH. Jecha Firauni Jecha kwa makini akionesha fomu ya uteuzi kwa wananchi kabla ya kumkabidhi mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Wananchi CUF MH Maalim. Seif Shariff Hamad. Leo tarehe 23/08/2015 Salama Hall Bwawani Zanzibar.
DSC01635
Makamo wa Kwanza wa Rais ambae pia ni Mgombea wa Urais wa nchi ya Zanzibar kupitia Chama Cha Wananchi CUF, MH Maalim. Seif Shariff Hamad akipokea fomu za Uteuzi kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini Zanzibar MH: Jecha Firauni Jecha tarehe 23/08/2015 katika ukumbi wa Hoteli ya Bwawani Malindi Mjini nchini Zanzibar

 Mgombea Urais wa nchi ya Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Shariff Hamad akionesha fomu za kugombea Urais mara alipokabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi hapa nchini Zanzibar

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini Zanzibar MH: Jecha Firauni Jecha akitoa ufafanuzi kuhusu fomu za kugombea uchaguzi kabla ya kukabidhi kwa Mgombea wa CUF , Maalim Seif Shariff Hamad
Mgombea Urais wa nchi ya Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Shariff Hamad akizungumza na wanahabri baada ya kuchukua fomu za kugomea Urais wa nchi ya Zanzibar.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment