Tuesday, August 18, 2015

MIAKA 50 MNAWALETE WATU MFEREJI MOJA KIJIJI KIZIMA KWENYE NYUMBA ZENU MUNA MIFEREJI MINGAPI....??


Balozi Seif Ali Iddi balozi mdogo wa nchi ya Tanganyika akiwadanganya watu atii mradi wa Maji safi na salama wa Wananchi wa Shehia ya Jongwe iliyomo ndani ya Jimbo la Kiwani, Wilaya ya Mkoni, Mkoa wa Kusini Pemba mfereji moja kijiji kizima kwenye nyumba zako unamifereji mingapi.....?? miaka 50 mnawaletea watu mfereji moja wa maji wakati vyo vya kisasa pia vinachemuwa maji mnamdaganya nani nyinyi huu sio mwaka 1960 huu ni 2015



Miaka 50 kuwalete wananchi maji mfereji moja katika kijiji kizima je kufanya maji kuwa ni pambo la mjii itawachukuwa mpaka kiyama kisimame au......???



Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Shein akifungua Mfereji ikiwa ni ishara ya kuzindua atii Mradi wa maji safi na Salama wa Jimbo la Kikwajuni leo katika viwanja vya Mnara wa Mbao Kilimani Wilaya ya Magharibi A Unguja (katikati) Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni  Hamad Yusuf Masauni


endeleani tu kujidanganya nafsi zenu ulimwengu unawacheka na kuwaona wapumbavu kabisa


Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Shein akimtwisha ndoo ya maji Fathiya Khamis Husein (Suza)baada ya kuzindua atii Mradi wa maji safi na Salama wa Jimbo la Kikwajuni leo katika viwanja vya Mnara wa Mbao Kilimani Wilaya ya Magharibi A Unguja, mle ikulu mnamtwikana maji.....??


KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment