Thursday, December 18, 2014

MOJA KATIKA MAJAMBAZI YALIO IBAA MMILLIONI YA ESCROW FREDERICK WEREMA LAAMUWA KUJIUZULU ILI SASA LIKATUMIYE HIZO PESA VIZURI


Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu.
Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema amesema kuwa ameomba kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana na suala ya Akaunti ya Tegeta Escrow hakueleweka na umechafua hali ya hewa.
Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji Werema kwa utumishi wake ulioongozwa na uaminifu na uadilifu.


NAMNUKU...Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji Werema kwa utumishi wake ulioongozwa na uaminifu na uadilifu.

bora nicheke kwanza hahahaha uaminifu na uadilifu uko wapi na jitu lishaibaa mpaka linadhrika kisha wewe unamuita muaminifu na muadilifu......?

HATA AKIJIUZULU WASHTAKIWE PIA NA PESA WARUDISHE ILI LIWE SOMO KWA WENGINE WASHAZOEA HAWA MAJAMBAZI

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

Thursday, December 11, 2014

VIDEO-PEMBA ISLAND-MKATA KWAO MTUMWA HATA MKIJIPUBAZA HUKO MLIKO

TUHIMIZANE TUKAJENGE KWETU SIO TUNAJENGA NCHI ZA WATU TU

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

HATA MJITIA HAMNAZO MKAE MKIJUWA UKWELI NDIO HUU NA WALA HAUTAFUTIKA MPAKA KIYAMA

HIBU SOMA HAYA MAJINA TU KISHA JIULIZE NDIO MAJINA YA WAARABU YALIVYO..??
HII NDIO SIKU YA KWELI YA UHURU WA NCHI YETU YA ZANZIBAR
12-JAN-1963 HII NI SIKU YA CHINJA CHINJA AU SIKU YA MAUWAJI YA DUGU ZETU,BABA,AMII,ANTI,DADA,BABU NA BIBI NA WENGINE WOTE WALIO ULIWA NA WATANGANYIKA WAKATA MAKONGE WALIO PANDISHWA VIBOTI KUTOKEA TANGA NA KUJA ZANZIBAR KUJA KUUWA.
             
HAWA NDIO WAKATA MKONGE KATIKA MASHAMBA YA MKONGE AL MARUFUU 

MANAMBA WALIO LETWA KUJA KUUWA WAZANZIBARI.
WAZANZIBARI HALISIA MAKUREISHI WA ZANZIBAR
WAUWAJI NDIO HAWA WALIO WAUWA WAZANZIBARI OKELLO MWENYE KOFIA NA WENZAKE
OKELLO AKIJINATA NA KUWATUKANA WAZANZIBARI NA MACHOGO WA TANGANYIKA
OKELLO BAADA YA KUMALIZA KUUWA NA KIFUA MBELE MZEE KARUME NA BABU WANAMCHEKI TU WANAONA HILI FALAA LISHATURAHISISHIA SISI KUKA MADARAKANI.
OKELLO AKIMKABITHI RASMI MADARAKA MZEE KARUME AKAFIKIRI YEYE ATAPEWA MADARAKA YA JUU KUMBE ATAPIGWA CHANGA LA MACHO NA MZEE KARUME
OKELLA BAADA YA KUMALIZA KUUWA WAZANZIBARI NA MACHOGO YA TANGANYIKA NA KUMKABITHI MZEE KARUME NCHI NA BABU NA HANGA WAKAMGEUKA OKELLO WAKAMUAMBIA UNAITWA TANGANYIKA NA NYERERE ALIPOFIKA NYERERE AKASEMA TIA PINGU FUKUZA NJE YA NCHI YANGU YA TANGANYIKA KWISHA UJABARI WAKE ALIONA SIJUWI ATAKUWA MAKAMO WA RAISI WA ZANZIBAR AMEULA NA CHUYAA
WAHAFIDHINA WA ENZI HIZO UTAMU WA MADARAKA HATA HAWAJALI DUGU ZAO WAMEULIWA KWA UTAMU WA MADARAKA

NYERERE NAE AZIDI KETE KARUME AMWAMBIA TUNGANE AU NACHUKUWA MACHOGO WENZANGU KISHA UTAJIJUWAMWENYEWE MZEE KARUMA AUVAA MKENGE MPAKA LEO MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA ANATUMALIZA KWA NJIA YA MUUNGANO.
WAZANZIBARI TUNATAKA NCHI YETU TU BASI

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

Tuesday, December 9, 2014

VIDEO-INSIDE KENYA'S DEATH SQUADS-KENYA WANAUWA TU-TANGANYIKA WANALAWITI NA KUTIA CHUPA NA MAJITI



KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

Sunday, December 7, 2014

SHEIN AKEMEA UDHALILISHWAJI WA WANAWAKE YEYE MWENYEWE ANAWATHALILISHA WANAUME UMEWAPELEKA WAZANZIBARI NCHINI TANGANYIKA WAMELAWITIWA,WAMETIWA CHUPA NA MAJITI HUO SHEIN UNAUTAJE....???????


HUYU ALIYE SIMAMA KATIKATI NDIE YULE ALIYESEMA HAITAMBUWI KAMATI YA MARIDHIANO HAPA KWENYE PIC ANAFANYA NINI NA YEYE HAWATAMBUI...?

UMEWASAFIRISHA KUTOKA ZANZIBAR MPAKA NCHI YA TANGANYIKA WAMETHALILISHWA NA WAKE NA WATOTO WAO WAKO HAPA ZANZIBAR HAWAJUWI WAUME ZAO,BABA ZAO,AMI ZAO,KAKA ZAO,SHEMEJI ZAO VIPI JE HUWO SIO UTHALILISHAJI SHEIN....?? 

Rais wa Maskani ya Kisonge nchini Zanzibar,Shein, amesema ni aibu kubwa Zanzibar kukithiri vitendo vya udhalilishaji kwa wanawake na watoto kutokana na asilimia kubwa ya wananchi wake kuwa waumini wa dini. Alisema dini zote zinapingana na vitendo vya udhalilishaji dhidi ya wanawake na watoto na asilimia ya wananchi wake ni waumini wa dini ya Kiislamu. Alisema hayo alipokuwa akizindua kampeni ya kupambana na ukatili na udhalilishaji wa wanawake na watoto. Alisema ni lazima jamii ikubali kuwa na mahusiano mema katika kurejesha mapenzi ndani ya familia zao kwa kuzingatia mafunzo na maamrisho ya dini. Alisema imekuwa ni kawaida kwa baadhi ya binadamu kuwaachia ulezi akinamama pekee jambo ambalo linachangia kwa kiasi kikubwa kuongezeka kwa vitendo vya udhalilishaji.Shein alisema akinamama wasaidiwe katika suala hilo na itambulike kwamba ulezi ni wa mama na baba. Alisema kuwa utafiti wa mwaka 2013 uliofanywa na Wizara ya Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Vijana, Wanawake na Watoto, umebaini kuwa kiwango cha ndoa kuvunjika kimefikia asilimia 31. Alisema hali hiyo inaleta matokeo mabaya katika familia na ndiyo chanzo kinachochangia udhalilishaji. Waziri wa Uwezeshaji, Zainab Omar Mohammed, alisema kuwa wanawake, watoto wa kike na wakiume wameendelea kuathirika na vitendo vya udhalilishaji hali inayosababisha kuishi kwa hofu.Aliongeza kuwa ni imani yake kwamba kampeni hiyo ya miaka miwili ya kupambana na vitendo vya ukatili na udhalilishaji wa wanawake na watoto itasaidia kulinda haki zao.Akisoma risala katika uzinduzi huo, Hadiya Makame, kutoka Mkoa wa Kaskazini alimuomba Shein kuwekwe mikakati madhubuti ya kumuondolea vikwazo mtoto mwenye ulemavu hasa wa akili, uoni na usikivu, yatakayowawezesha kupata haki zao.Alisema kumekuwa na wimbi kubwa la kesi za udhalilishaji wa kijinsia hasa kwa watu wa makundi hayo ambao watu hutumia udhoefu wa ulemavu wao katika kuficha ushahidi.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

Saturday, December 6, 2014

JE UCHANGUZI 2015 NCHINI ZANZIBAR NA DOZI YA CCM YA USULTANI WA WAARABU UTARUDI NA MPEMBA HATAWALI ITAWAFAA...?


Hayo si maneno yangu. Ni maneno yaliyotoka kinywani mwa mmoja wa rafiki zangu wa kambi ya ''walioufyata'' ndani ya Bunge Maalumu la Katiba Dodoma. Nilimuuliza sahibu yangu huyu: ''Ilikuwaje nyinyi mliokuwa mkitoa cheche za moto vinywani na kunguruma kama Simba hapa Zanzibar kulalamikia mfumo uliopo wa Muungano, lakini mara mlipofika Dodoma mkageuka vipanya vilivyojikunyata kwa hofu ya mlio tu wa paka?''

Jibu alilonipa ni hili: ''Sikiliza bwana, sisi hatuko tayari kurudia kosa lililofanywa na waliotutangulia.'' Nikamuuliza kwa udadisi mkubwa: ''Kosa gani hilo?'' Akasema: ''Ni kosa la kuchonga mdomo mbele ya Watanganyika kwa kujifanya watetezi wa Zanzibar na wapinzani wa Muungano uliopo.Umesahau wewe yaliyomfika Aboud Jumbe mwaka 1984 na waliomuunga mkono akina Brigedia Ramadhan Haji, Aboud Talib na Hafidh Suleiman (Sancho) ambao wote walilazimika kujiuzulu baada ya yeye kupelekwa machinjioni na kusulubiwa Dodoma? Umeyasahau yaliyomfika huyo Seif Sharif mwaka 1988 huko huko Dodoma na wenzake kadhaa, akiwemo marehemu Shaaban Khamis Mloo, Ali Haji Pandu, Hamad Rashid Mohammed, marehemu Sudi Yusuf Mgeni, marehemu Maulid Makame na wengineo? Ya karibuni tena ya kina UAMSHO na Mansour nadhani umeyaona mwenyewe,'' aliendelea sahibu yangu huyo na kumalizia kwa kunambia: ''Kwa hivyo sisi hatuko tayari kupoteza ulua wetu.''

Nikamwambia: ''Ina maana nyinyi mko radhi muendelee kuwa watumwa wa Tanganyika na kuiacha Zanzibar iendelee kuwa koloni lake?'' Akacheka na kusema: ''Watumwa tu? Haidhuru na tuwe hata watwana kwa Watanganyika, la muhimu kwetu ni kuendelea kuwa mabwana kwa Wazanzibari. Tukiwaridhisha hao unaosema mabwana zetu wa Tanganyika na kuendelea kuwa hewalla bwana kwao, tutaendelea milele kutawala na kubaki madarakani Zanzibar na kuwa mabwana kwa Wazanzibari. Na tukiondoka sisi watarithi watoto wetu, na ndio maana hatuko tayari kuukubali mfumo wa serikali tatu kwa sababu ingawa ni kweli utakuwa na maslahi kwa Zanzibar, lakini unahatarisha ulua wetu.''

Mimi sikukomea hapo nikaendelea kumhoji: ''Sasa huku kuitwa wasaliti wa Zanzibar, wasakatonge na vibaraka wa Tanganyika hakuziumizi wala kuzisononesha nyoyo zenu?'' Akaniambia:''Wacha watuite watakavyo, ni maneno tu hayo, sawa na kelele za mlango.'' Nikajaribu kumbana zaidi kwa kumwambia: ''Lakini hata wanaokuungeni mkono nao pia wamejua kuwa mnachojali zaidi ni matumbo yenu, kwa hivyo na wao pia washaamka, mnaweza mkapoteza nafasi zenu au hata kushindwa katika uchaguzi wa mwakani.''

Nilitarajia hilo litamgusa na kumshtusha, lakini badala yake alicheka sana na kunambia: ''Watu wetu sisi wanahitaji dozi ndogo tu kuwaweka sawa na kuwarejesha kwenye msimamo. Nikamhoji: ''Dozi gani hiyo?'' Sahibu yangu akanambia: ''Ni ileile ya kasumba ya ''Usultani wa Waarabu utarudi na Mpemba hatawali. Tukishawapa dozi hiyo hawaelewi chochote, watakuwa radhi sisi tuendelee kuvimbisha matumbo yetu na wao waendelee kula dongo. Isitoshe madamu tumewatii hao unaosema mabwana zetu wa Tanganyika, hatuna hofu tena kwa ajili ya uchaguzi wa mwakani. Wewe mwenyewe si unajua, wakati ukiwadia, mbali na Polisi ya Muungano, ikilazimu hata jeshi la JWTZ litatinga hapa Zanzibar kuja kulinda ushindi wetu.'' Kwa kweli jibu lake liliniacha kinywa wazi nikabaki nayatafakari na kuyawaza yote aliyonieleza.


KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

WALIO FANYA KWELI MAPINDUZI YA ZANZIBAR WANAJUTA NA HAWATAKI HATA WAJULIKANE SHEIN,BALOZI,VUAI,ASHA BAKARI,SHAMSI,SAMIA,BORAFYA, NA KATHALIKA WA KUFYATA MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU


Victor Mkello Kama Alivyokuwa mwaka 2003

Untold Story,
Mimi nitakupa fikra zangu binafsi kuhusu jambo hili.

Ziko dalili nyingi sana kuwa wazee wetu waliokuwa katikati ya siasa
wakati ule walijua mpango wa kupindua serikali ya Sheikh Mohamed Shamte. Lile ambalo hawakulijua ni kuwa kulikuwa na kambi ya mamluki Sakura na Kipumbwi iliyokuwa imetayarishwa pale ili kuvamia Zanzibar.Wazee wetu walikujapata na mshtuko pale iliowadhihirikia kuwa kuna mauaji mengi sana yametendeka bila sababu na mauaji hayo ni baada ya serikali ikiwa imeshaanguka. Ndiyo maana mtu kama Ali Mwinyi Tambwe katika maisha yake yote hakutaka kunasibishwa na mapinduzi ya Zanzibar ingawa yeye alikuwa katika ya mipango ile. Nimelitaja jina la Ali Mwinyi Tambwe kwa kuwa lilikuja kuwa dhahir katika kitabu cha Dk. Harith Ghassany na katika kuadhimisha miaka 50 ya mapinduzi kapewa nishani. Lakini wako wazee wetu wengine bado wahai na waliujua mpango wote wa mapinduzi na inajulikana kuwa walihusika lakini hadi leo wamepiga kimya.

Hivi juzi tu nimepokea nakala ya barua kutoka kwa sahib yangu aliyeko Northwestern University, Marekani barua inayotoka kwa Abdulwahid Sykes kwenda kwa Aboud Jumbe. Huyu sahib wangu tulifahamiana nilipokwenda kuzungumza Northwestern University na nilimpa nakala ya kitabu cha Sykes. Kwa kujua utafiti nilokwushafanya kuhusu maisha ya Abdul Sykes ndiyo akaniletea barua hii. Barua hii imeandikwa mwaka 1967. Ukisoma barua hii inaonyesha ule ukaribu waliokuwanao hawa watu wawili. Hii inaonyesha kuwa udugu wao una historia ndefu kwa hiyo wana
mengi. Issa bin Nasser Al-Ismaily alipata kumuuliza Abdul Sykes miaka mingi baada ya yale mauaji kutokea kuwa ilikuwaje ikawa vile. Jibu la Abdul Sykes ni kuwa alimsihi Sheikh Issa wasizungumze habari za Zanzibar kwani huenda zikavunja udugu wao. Kisa hiki Sheikh Issa kakieleza katika kitabu chake ''Zanzibar: Kinyan'ganyiro na Utumwa.''

Dk. Ghassany halikadhalika kutokana na umuhimu wake na yeye kakitaja katika kitabu chake.
Sasa swali la kujiuliza ni hili, kwa nini Abdul Sykes alijibu vile? Nini alikuwa anatakakuficha na hakupenda Sheikh Issa akijue? Alipokufa David Kimche magazeti mengi Ulaya yaliandika taazia
yake. Ukitaka kumjua Kimche ni nani ''google,'' sina uwezo wa kumueleza mtu huyu. Kwa ufupi huyu alikuwa Mossad na akifahamiana na mmoja wa wazee wetu kipindi kile cha kupanga mapinduzi ya Zanzibar. Hivi sasa si siri tena kuwa Waisraeli pia walihusika katika mapinduzi ya Zanzibar. Huyu mzee wangu inajulikana ingawa yeye mwenyewe anaficha kuwa alihusika katika mipango ya mapinduzi na alikuwa karibu sana na Wayahudi. Baada ya kusalimiana nikamwambia kuwa Kimche amefariki.
Jibu lake, ''Ala! sikuwa na habari.'' Alionyesha kushangaa lakini nadhani kwa kunijua akajua ''I was in
the know,'' kama wasemavyo Waingereza hakuniliza kitu zaidi.

Nyerere mwenyewe hakutaka ijulikane kuwa alihusika katika njama
zile.

Hii ndiyo hali ilivyo.

Kubwa la hawa wote nilioeleza habari zao ni kuwa hawakutaka wahusishwe na mapinduzi ya Zanzibar kwa sababu ya yale mauaji yaliyotokea na inasadikiwa mauaji mengi yalifanywa na Wamakonde kutoka katika Mashamba yale ya mkonge ya Sakura. Ilimchukua Victor Mkello takriban miaka mitatu hadi siku moja alipoamua kutoa yake ya moyoni kuhusu mchango wake katika
mapinduzi ya Zanzibar na hapo ndipo alipomweleza Dk. Ghassany nini kilipitika.Dk. Ghassany akienda Muscat na kurudi Tanga kwa subira kubwa akisubiri siku Mkello atakapofunguka. Ingawa mmoja wa washirika wake Mzee Mohamed Omar Mkwawa tayari alikuwa keshaeleza mpango mzima lakini kauli ya Mkello kutoka
kinywani kwake mwenyewe ilikuwa muhimu kusadikisha lile tayari lililokuwa wazi.

Baada ya mapinduzi yale kufanikiwa si Nyerere wala Karume sasa walikuwa hata kwa chembe wanawahitajia hawa wazee wetu kwa hiyo Karume alifanya hayo yote aliyofanya bila ya kuwepo mtu hata mmoja wa kumzindua au kumshika mkono kumtanabaisha hata kwa mbali na kumwambia, ''Muogope Allah.'' Kwa kukhitimisha ni kuwa hili jambo la roho za watu waliodhulumiwa bure
halitakwisha na litakuwa linaturejea miaka nenda miaka rudi mpaka pale tutakapokubali ukweli kuwa limetokea na yalikuwa ni makosa, watu wakaa wakalizungumza wakataka msamaha kwa Allah na ikapigwa fatha.

Hanga kabla hajafa alijuta kwa yale yalotokea katika mapinduzi na akataka
msamaha kwa Allah na kaacha usia khasa kuhusu hatari ya ubaguzi.

Atakae kujua zaidi kuhusu habari hizi na akisome kitabu cha Dk. Ghassany
mimi nimepita mle mle alimopita yeye.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.