Wednesday, March 16, 2016

MKITULAZIMISHA KUPIGA KURA BASI NA KURA ZA KUMPIGIA POMBE MAGUFULI NA LOWASSA PIA TUPIGE TANA JE MTAKUBALI



NI SIKU MOJA TULIO PIGA KURA YA RAIS WA ZANZIBAR NA RAIS WA MUUNGANO FEKI WAKULAZIMISHANA KWA MTUTU NA MABOMU NA KUTESA WATU IWE TAREHE 20 MWEZI HUU TUPIGE YA RAIS WA ZANZIBAR TU BILA YA RAIS WA MUUNGANO FEKI WAKULAZIMISHANA KWA MTUTU NA MABOMU NA KUTESA WATU NA HATA KUWAUWA ILI TU MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA NA CHAMA CHAKE CHA KIKOLONI CCM KIENDELE KUBAKI MADARAKANI NA VIBARAKA WAKE WACHACHE WENYE MARADHI YA BT.


KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

Tuesday, March 15, 2016

VIDEO-KUMBUKUMBU ZA MZEE AMAN THANI AKIELEZEA ALICHOKIONA NA YALIOMFIKA KATIKA MAPINDUZI 1964 KUNATAFAUTIGANI NA HAYA YANAYOENDELEA 2016 YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA

KUMBUKUMBU ZA MZEE AMAN THANI AKIELEZEA ALICHOKIONA NA YALIOMFIKA - 2
 KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU



ILIKUWA HAPA KAZI TUU KWA WATANGANYIKA SASA KWA WAZANZIBARI NI HAPA UKOLONI TUU NA KUTESWA TUU


 KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

JIBU ALILO JIBIWA ALI KARUME

TUmekusikia Ali Karume lakini ungekishauri chama chako mukapiga marufuku mfumo wa vyama vingi, ikiwa watu hawana mawazo mgando kama yako unawaona ni vibaraka. Vipi punde mpinduzi mwenyenu Ibrahim Aman ameshafukiwa kwahiyo atakwenda kujibu wale wote aliowadhulumu kwa kisingizio na kibwagizo kama hicho kilichokuganda katika ubongo unaoelea alcohol. Wakati wazanzibari wanaangalia jinsi gani ya kuendeleza nchi yao wewe unakuja na mawazo hasi, hao mulio wadhulumu Allah anawasubiri si leo japo mwakani na vyote mutavikuta.
Ali karume ungesema tu kwamba unaogopa CCM isiondoke madarakani kwakuwa wewe mwenyewe ulimuuwa mwanamke kwakuwa tu alikukataa, naona ile damu ndio inayokusumbua kichwani mwako na utaendelea hivyo kwani damu ya mtu sio jambo dogo. Zanzibar inatawaliwa kimabavu kwa kutumia vibaraka ambao vichwa vyao vimejaa usaha na damu chafu za kuuwa watu wasio na hatia na kudhulumu watu, mapinduzi yalipangwa na kufanywa na Nyerere na Okello nyie mupo tu kama vikaragosi. Baada ya kuliona koloni lao linawatoka huoni wameleta majeshi ili kulinda utawala wao wa kimabavu we umechwa upige tarumbeta kwa kutumia chupa za pombe unajimaliza mwenyewe. Ama kweli unaweza kwenda shule lakini usifahamu na watu wengi vifuu tundu kama wewe wamebebwa na kupata hadhi ya kibalozi lakini maneno yao bora mgonjwa wa hospitali yaa kidongo chekundu anaweza kukueleza kitu kikakusaida.
Hao unaowataja walioko huko ni raia na wala hawabaguliwi kama munavyowabagua watu hapa watu ambao wamezaliwa ukisema machotara we umetoka wapi, japo umefuata umalawi halisi lakini bado ni chotara acha kulewa na dunia mauti hayako mbali. Huna tofauti na sanamu la baba ako pale kisiwandui ambalo linaonesha mueleeo wa marikiti lakini kumbe ziko nyengine mpya na wewe utaendelea kuwa vile mpaka siku utafungwa kama mfungo wa pipi tena kwa nguo nyeupe japo kama unaichukia lakini utaivaa.Dhulma si njema hata uitetee itakuangamiza tu bila mwenyewe kujijua, ndio maana unaongea kama uko kwenye ndoto, hao wote muliowapa mashamba na majumba ya kuiba leo wameuza na wamekuwa masikini kuliko mwanzo na kesho hukumu inawasubiri, na wewe jifunze kutoka kwa kaka ako Amani alikuwa na muelekeo wa kuondosha chuki wewe ndio unazipepea lakini utavuna unachokipanda.
 KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

VIDEO-ASANTE POMBE MAGUFULI KWA KUTHIBITISHI ULIMWENGU KUWA WEWE NI MUENDELEZAJI WA UKOLONI KATIKA NCHI YA ZANZIBAR KWA KUTUMIMINIA RUNDO LA MAJESHI


IKIWA WAKUU WA MIKOA TAKRIBANI WOTE NI MAJESHI SEREKALI ILIYO MADARAKANI ITAITWA SEREKALI YA KIJESHI AU SERIKALI YA KIDEMOKRASIA...???
KUNA TAFAUTI GANI WAKATI HUO NA SASA HAPA ZANZIBAR...??

KUMBUKUMBU ZA MZEE AMAN THANI AKIELEZEA ALICHOKIONA NA YALIOMFIKA

IMG-20160314-WA0029
KUMBAKA GADDAFI,IDDI AMINI,HUSSINI MUBAROUK WALIKUWA MAJESHI NA KUTUMIA GUVU ZA KIJESHI LEO WAKO WAPI......???
SIO MUUNGANO HOYEEE NI UKOLONI HOYEEE SIO KAZI TUU BALI NI UKOLONI TUU
Jumuia za kimatafa ziko wapi....? U.N. MPO A.U. MPO E.U. MPO au mpaka watuee hawa wakamba ndio muje kusaidiaa kuokota maiti. Maana hivi sasa imekua kama vile kuna vita. Jee hii ndio ridhaa ya wazanzibari ya Muungano....?? wa Hakuna faida na kuwa na Muungano wa kijeshi. Hatutaki wazanzibari kutumiwa maguvu tumechoka tumechoka jamani wala hatuwezi kusalimu amri tukauza utu wetu Dini yetu na nchi yetu inatosha jamani inatosha hilaki hii. Hii inanikumbusha kipindi cha komandoo salmin Amour alipeleka askari pemba kutembeza mkong’oto kama hivi sasa na watu wa pemba wakawaita askari hawa kuwa ni melody maana wamekuja kutumbuiza, si kwamba hawaumii lakini wapemba tumo katika shida zaidi ya miaka hamsini hivyo hujifariji na shida tunayoipata. Mfano enzi za Rashid Abdalla Mamba akipiga watu hadharani wakaja na msemo pia ni salama kupigwa usifungwe. Sasa katika kipindi cha komando aliahidi tutakula zabibu lakini tukala vigongo kama pweza, sasa wakati melody walipoletwa pemba kutufunza kuupenda mwani, basi kulikuwa na rafiki yangu mmoja alikuwa ni ccm walipotokea melody kwa kipindi hichi MAZOMBI Yule rafiki yangu walipotokea akajinadi ya kuwa yeye ni ccm, lakini wapi na yeye alichezea vigongo huku wakimwambia Ccm wa pemba bora Cuf wa unguja. Kwahiyo ndugu zangu wala musijinadi mukajiona ni ccm wakati muko pemba lengo lao ni kupiga wapemba ili kutia chuki baina ya wapemba na waunguja, hii inafanywa kwa makusudi kutugawa tuone wa unguja wanatuchukia. Nimeona baadhi ya wachangiaji wameweza kunaswa na mtego huu. Tujihadhari adui yetu hawapendi waunguja wala wapemba isipokuwa anajaribu kufanya tabaka ni mfano wa wafungwa. Askari huachagua baadhi ya wafungwa wakawa kama wasimamizi wa wenzao ambao hujulikana kwa jina la “Kofia nyeusi” japo wenyewe hujiona lakini wote ni wafungwa. Kwahiyo wazanzibar sote ni wafungwa na tuko jela moja.
10403380_1176212549064460_3513601701457600691_n10464141_1176213469064368_2876723535492258797_n
Yarabii simama utuokowe na mazalimu hawa .

 KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU 


KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

MLIAMBIWA ZAMANI NCHI IKIHARIBIKA BASI HATA NYINYI HAMUTAISHI KWA SALAMA HAMKUSIKIA


Mripuko mkubwa umetokea katika nyumba ya Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame jana saa 5 usiku maeneo ya Kijichi. Kamishna mwenye amethibitisha tukuo hilo ambalo amesema limeathiri paa na dari ya nyumba yake. Na huko Pemba watu 31 wamekamatwa na polisi wakidaiwa kuhusika na matukio mbaou mbali ya kihalifu ikiwemo kuchoma maskani.

ATII MGOMBEA WA URAIS KISHA ANASEMA MANENO KAMA HAYA TUNAKUJUWA KIBARAKA WA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA


Mgombea wa urais kwa tiketi ya AFP Said Soud anasema wasitaka kupiga kura watajuta kama walivyojuta kususia vitambulisho na pia Pemba kuwa shuwari na anayepigwa anataka kupigwa na asiyetaka hapigwi.