MIAKA 50 YA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA NCHI YA ZANIBAR MAJI 20% UMEME 20% ELIMU 0% HOSPITALI 1% MADAWA 0% MLO MOJA KWA SIKU TAFAKARI SANA.CCM MNASHANGA LOWASSA KUPANDA DALADALA HAMSHANGAI TWIGA KUPANDA NDEGE.VIONGOZI WA CUF WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI 2015 WAKIONYESHA SHAHADA ZAO ZA USHINDI ZILIZO SAINIWA NA KUPIGWAMUHURI NA ZEC CCM HAYA HAMUNA,AIBU HAMUINI,FEDHEHA HAMUHISI,UBINADAMU UMEWATUKA,M.MUNGU HAMUMUOGOPI HEBU JIULIZENI NYINYI VIUMBE WA AINA GANI...?????
Tuesday, March 15, 2016
ATII MGOMBEA WA URAIS KISHA ANASEMA MANENO KAMA HAYA TUNAKUJUWA KIBARAKA WA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA
Mgombea wa urais kwa tiketi ya AFP Said Soud anasema wasitaka kupiga kura watajuta kama walivyojuta kususia vitambulisho na pia Pemba kuwa shuwari na anayepigwa anataka kupigwa na asiyetaka hapigwi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment