Assalaam alaykum warahamtullahi ndugu Wazanzibari popote pale mulipo, tunaomnba tumuombe Allah kwa kuisoma dua hii kwa sana, na huu ndio wakati wake kuliko kipindi cha uchaguzi uliopita wa Okt 25.
Dua hii lengo lake ni kumshitakia Allah, na kumkabidhi maadui zetu, wanaotakabari na kufanya jeuri, sisi hatuna nguvu isiokuwa yake yeye, tunaomba isambazwe kwa whatsapp group zote na tunaomba watakaofanikiwa kuiprint waisambaze kwa ndugu jamaa na majirani.
No comments:
Post a Comment