Ali karume ungesema tu kwamba unaogopa CCM isiondoke madarakani kwakuwa wewe mwenyewe ulimuuwa mwanamke kwakuwa tu alikukataa, naona ile damu ndio inayokusumbua kichwani mwako na utaendelea hivyo kwani damu ya mtu sio jambo dogo. Zanzibar inatawaliwa kimabavu kwa kutumia vibaraka ambao vichwa vyao vimejaa usaha na damu chafu za kuuwa watu wasio na hatia na kudhulumu watu, mapinduzi yalipangwa na kufanywa na Nyerere na Okello nyie mupo tu kama vikaragosi. Baada ya kuliona koloni lao linawatoka huoni wameleta majeshi ili kulinda utawala wao wa kimabavu we umechwa upige tarumbeta kwa kutumia chupa za pombe unajimaliza mwenyewe. Ama kweli unaweza kwenda shule lakini usifahamu na watu wengi vifuu tundu kama wewe wamebebwa na kupata hadhi ya kibalozi lakini maneno yao bora mgonjwa wa hospitali yaa kidongo chekundu anaweza kukueleza kitu kikakusaida.
Hao unaowataja walioko huko ni raia na wala hawabaguliwi kama munavyowabagua watu hapa watu ambao wamezaliwa ukisema machotara we umetoka wapi, japo umefuata umalawi halisi lakini bado ni chotara acha kulewa na dunia mauti hayako mbali. Huna tofauti na sanamu la baba ako pale kisiwandui ambalo linaonesha mueleeo wa marikiti lakini kumbe ziko nyengine mpya na wewe utaendelea kuwa vile mpaka siku utafungwa kama mfungo wa pipi tena kwa nguo nyeupe japo kama unaichukia lakini utaivaa.Dhulma si njema hata uitetee itakuangamiza tu bila mwenyewe kujijua, ndio maana unaongea kama uko kwenye ndoto, hao wote muliowapa mashamba na majumba ya kuiba leo wameuza na wamekuwa masikini kuliko mwanzo na kesho hukumu inawasubiri, na wewe jifunze kutoka kwa kaka ako Amani alikuwa na muelekeo wa kuondosha chuki wewe ndio unazipepea lakini utavuna unachokipanda.
KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU
No comments:
Post a Comment