Viongozi wa muungano wa vyama vya siasa uitwao Umoja wa Rufaa za Wananchi Kutoka nchini kwa Wakoloni Weusi Tanganyika mipumbavu hii sijuwi imesoma nchi gani atii wamewaomba Wazanzibari kukamilisha haki yao ya kupiga kura katika uchaguzi wa marudio ili wapate viongozi wa kuwaletea maendeleo. wapumbavu wakubwa hatuna haja ya maendeleo bandia endeleani nyinyi huko kwenu kwa Wakoloni Weusi Tanganyika sisi wazanzibari tuwacheni hivi hivi bila ya maendeleo.
Ujumbe wa wapumbavu saba wa umoja huo ukiongozwa na John Shibuda wa Ada Tadea, ulitoa kauli hiyo jana ulipokutana kwa mazungumzo na Balozi mdogo wa nchi yao ya Tanganyika aliope hapa nchini Zanzibar, Balozi Mkazi Seif Ali Iddi ofisini kwake Vuga Nchini Zanzibar.Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Balozi huyo mdogo wa nchi ya Tanganyika, ilisema ujumbe huo ni kutoka vyama visivyokuwa na wabunge ambavyo ni UPDP, Sau, UDP na Ada-Tadea.
Msimamo wa vyama hivyo unakinzana na ule wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) uliotoa tamko la kususia uchaguzi huo wa marudio.Kwa upande wake John Cheyo alisema upigaji kura ndiyo njia pekee itakayotoa mwanga kwa wananchi wa Zanzibar kuamua wapi wanataka kuelekea katika mustakabali wa maisha yao ya baadaye.
Wakati huohuo, vyama 12 visivyo na uwakilishi bungeni vimetoa tamko la kushiriki uchaguzi huo vikisema hoja za kugomea uchaguzi huo hazina mashiko.Vyama vilivyotoa tamko hilo ni CCK, Sau, Ada-Tadea, TLP, AFP, UPDP, Demokrasia Makini, NRA, UMD, Chausta, DP na ADC ambacho mgombea urais Zanzibar ni Hamad Rashid aliyejiengua CUF miaka miwili iliyopita.
No comments:
Post a Comment