IKIWA WAKUU WA MIKOA TAKRIBANI WOTE NI MAJESHI SEREKALI ILIYO MADARAKANI ITAITWA SEREKALI YA KIJESHI AU SERIKALI YA KIDEMOKRASIA...???
KUNA TAFAUTI GANI WAKATI HUO NA SASA HAPA ZANZIBAR...??
KUMBUKUMBU ZA MZEE AMAN THANI AKIELEZEA ALICHOKIONA NA YALIOMFIKA
KUMBAKA GADDAFI,IDDI AMINI,HUSSINI MUBAROUK WALIKUWA MAJESHI NA KUTUMIA GUVU ZA KIJESHI LEO WAKO WAPI......???
SIO MUUNGANO HOYEEE NI UKOLONI HOYEEE SIO KAZI TUU BALI NI UKOLONI TUU
Jumuia za kimatafa ziko wapi....? U.N. MPO A.U. MPO E.U. MPO au mpaka watuee hawa wakamba ndio muje kusaidiaa kuokota maiti. Maana hivi sasa imekua kama vile kuna vita. Jee hii ndio ridhaa ya wazanzibari ya Muungano....?? wa Hakuna faida na kuwa na Muungano wa kijeshi. Hatutaki wazanzibari kutumiwa maguvu tumechoka tumechoka jamani wala hatuwezi kusalimu amri tukauza utu wetu Dini yetu na nchi yetu inatosha jamani inatosha hilaki hii. Hii inanikumbusha kipindi cha komandoo salmin Amour alipeleka askari pemba kutembeza mkong’oto kama hivi sasa na watu wa pemba wakawaita askari hawa kuwa ni melody maana wamekuja kutumbuiza, si kwamba hawaumii lakini wapemba tumo katika shida zaidi ya miaka hamsini hivyo hujifariji na shida tunayoipata. Mfano enzi za Rashid Abdalla Mamba akipiga watu hadharani wakaja na msemo pia ni salama kupigwa usifungwe. Sasa katika kipindi cha komando aliahidi tutakula zabibu lakini tukala vigongo kama pweza, sasa wakati melody walipoletwa pemba kutufunza kuupenda mwani, basi kulikuwa na rafiki yangu mmoja alikuwa ni ccm walipotokea melody kwa kipindi hichi MAZOMBI Yule rafiki yangu walipotokea akajinadi ya kuwa yeye ni ccm, lakini wapi na yeye alichezea vigongo huku wakimwambia Ccm wa pemba bora Cuf wa unguja. Kwahiyo ndugu zangu wala musijinadi mukajiona ni ccm wakati muko pemba lengo lao ni kupiga wapemba ili kutia chuki baina ya wapemba na waunguja, hii inafanywa kwa makusudi kutugawa tuone wa unguja wanatuchukia. Nimeona baadhi ya wachangiaji wameweza kunaswa na mtego huu. Tujihadhari adui yetu hawapendi waunguja wala wapemba isipokuwa anajaribu kufanya tabaka ni mfano wa wafungwa. Askari huachagua baadhi ya wafungwa wakawa kama wasimamizi wa wenzao ambao hujulikana kwa jina la “Kofia nyeusi” japo wenyewe hujiona lakini wote ni wafungwa. Kwahiyo wazanzibar sote ni wafungwa na tuko jela moja.
Yarabii simama utuokowe na mazalimu hawa .
KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU
No comments:
Post a Comment