Monday, September 3, 2012

MAFUMANIZI NCHINI TANGANYIKA-SIKU HIZI NI FASHION KUFUMANIWA NCHINI TANGANYIKA


  HUYU NI MWANAMKE ALIYE MFUMANIA JIRANI YAKE NA MUMEWE AKIMTWANGA JIRANI YAKE ILI AWACHE KUMUIBIA MUMEWE MAMBO HAYOO  KUFUMANIWA TANGANYIKA NI FASHIONPOLISI SIENDI MPAKA MWALABU WANGU AENDE NA MIMI HUYU NI MWALABU WANGU

ANAJIFANYA KUKAMATIA WANAWAKE WENZAKE KUMBE YEYE MWENYEWE HUYU MUME SI WAKE YEYE PIA ANAMUIBIA MWANMKE WA WATU MWIZI NI MWIZI TU.


MAMA MTU MZIMA AFUMANIWA NA MUME WA MTU TANGANYIKA MWISHO

MWANAMKE AKIMKOJOLEYA MWANAMKE MWENZAKE ALIYE MFUMANIA NA MUMEWE TANGANYIKA OYEEE KWA KUFUMANIWA TU NI BALAA                           

KUFUMANIWA SIKU HIZI NI FASHION TANGANYIKA

No comments:

Post a Comment