JIONI VIHOJA VYA NCHI YETU YA ZANZIBAR HAO TUNAO WAITA VIONGOZI KUMBE WAO WENYEWE HAWAIJUWI KATIBA HHAHAHHAHAHA ATI WANAJIDAI KUANZISHA SEMINA YA KUELIMISHA WATU WA ZANZIBAR KUHUSU KATIBA KUMBE NDIO WA WENYEWE WAMEWEKWA DARASANI KUFUNDISHWA KATIBA NI NINI NA ZANZIBAR NI NINI NA NI NINI HAKI ZA ZANZIBAR AMAKWELI SEREKALI HII IMEJA MAPUMBA NA MAKUMBI MATUPU DUUUUUUUUUUUUH
MIAKA 50 YA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA NCHI YA ZANIBAR MAJI 20% UMEME 20% ELIMU 0% HOSPITALI 1% MADAWA 0% MLO MOJA KWA SIKU TAFAKARI SANA.CCM MNASHANGA LOWASSA KUPANDA DALADALA HAMSHANGAI TWIGA KUPANDA NDEGE.VIONGOZI WA CUF WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI 2015 WAKIONYESHA SHAHADA ZAO ZA USHINDI ZILIZO SAINIWA NA KUPIGWAMUHURI NA ZEC CCM HAYA HAMUNA,AIBU HAMUINI,FEDHEHA HAMUHISI,UBINADAMU UMEWATUKA,M.MUNGU HAMUMUOGOPI HEBU JIULIZENI NYINYI VIUMBE WA AINA GANI...?????
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment