Saturday, November 3, 2012

ZANZIBAR INALIA WAZANZIBARI WANALIA Z,BAR INAUMIA WAZANZIBARI WANAUMIA.

SEREKALI IMEUWA WATU KWENYE MELI SEREKALI  IMEUWA WATU KWENYE UCHANGUZI SEREKALI INAUWA WATU KATIKA ELIMU SEREKALI INAUWA WATU  KWA NJAA YA CHAKULA ILIO INGIA KATIKA NCHI SEREKALI INATULETE VITAMBULISHO VYA KITANZANIA KUVIZIKA VITAMBULISHO VYETU VYA UZANZIBARI SEREKALI IMEWAFUNGA VIONGOZI WATETEZI WA WAZANZIBARI MAMIRI SEREKALI ISHAUWA VIJANA WATATU BILA YA SABABU YOYOTE SEREKALI INAENDELE KUTESA WATU WAKE BILA YA KOSA LOLOTE SEREKALI IMENAJISI MISIKITI,WANAWAKE WA KISLAMU KWA KUWAPIGA NA KUWAVUWA HIJABU NA NIKABU ZAO NA KUWATHALILISHA SEREKALI INAWANYOWA NDUVU MAMIRI NA RAI WOTE WENYE NDUVU KWA KUTUMIA VISU SEREKALI INASHEREHEKEA NA KUWAPONGEZA VIKOSI VYAO VYA POLISI NA VYA KIJESHI KWA MAUWAJI YA RAI WASIO NA HATIA NA KWAKUWADHALILISHA RAI SEREKALI IMEUWA HOSPITALI ZOTE  SEREKALI INAFURAHIA  NA KUTISHA WATU ZAIDI KATIKA MIKUTANO YAO ILI RAI WAKIMBIYE NA KUTOKA KATIKA NCHI YAO WANAYO IPENDA Z,BAR SEREKALI IMEKIGEUZA KITAMBULISHO CHA UZANZIBARI KUWA KITAMBULISHO CHA MKAZI NA SIO CHA MZANZIBARI KISHA WANALETA CHA UTANZANIA KUWA NDIO KITAMBULISHO CHA MZANZIBARI AMKAA ZINDUKA NCHI YAKO INAFUTWA ZANZIBAR INA LIIA WAZANZIBARI WANALIA 

No comments:

Post a Comment