MIAKA 50 YA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA NCHI YA ZANIBAR MAJI 20% UMEME 20% ELIMU 0% HOSPITALI 1% MADAWA 0% MLO MOJA KWA SIKU TAFAKARI SANA.CCM MNASHANGA LOWASSA KUPANDA DALADALA HAMSHANGAI TWIGA KUPANDA NDEGE.VIONGOZI WA CUF WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI 2015 WAKIONYESHA SHAHADA ZAO ZA USHINDI ZILIZO SAINIWA NA KUPIGWAMUHURI NA ZEC CCM HAYA HAMUNA,AIBU HAMUINI,FEDHEHA HAMUHISI,UBINADAMU UMEWATUKA,M.MUNGU HAMUMUOGOPI HEBU JIULIZENI NYINYI VIUMBE WA AINA GANI...?????
Tuesday, November 13, 2012
MPAKA LINI WATOTO NA RAI WA AFRIKA WATAKUWA MASINI...? NA VIONGOZI HATA HAWAJALI
MARAISI,MAKAMU WA RAISI,WABUNGE,MAWAZIRI,WAMESHINDWA KUWAPA WATOTO NA RAI WA AFRIKA MAISHA MAZURI JAPOKUWA AFRIKA NI TAJIRI WA KILA KITU LAKINI BADO WATOTO NA RAI KWA UJUMLA WANAKUFA KWA NJAA,MARADHI,HATA PAHALI PA KULALA PIA HAKUNA.NA KILA KIONGOZI KUANZIA RAISI MPAKA MAWAZIRI KILA MOJA ANA NYUMBA KUMI HALI YAKUWA RAI NA WATOTO WA AFRIKA HIVI NDIVYO WANAVYO ISHI MAISHA YAO TOKA UTOTONI MPAKA WANAKUFA UZEENI.
MTOTO WA NCHI ZA ULAYA
HAWA NI BAATHI YA MARAISI WASTAFU WA AFRIKA IYANGALIYE ILIVYO TUNA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment