Monday, September 14, 2015

NCHINI ZANZIBAR MKUTANO WA KAMPENI WA CHAMA CHA CUF JIMBO LA MAHONDA


Mgombea Urais wa nchi ya Zanzibar kwa Tiketi ya chama cha CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na vijana katika barza mbali mbali za CUF Mkoa wa Kaskazini Unguja kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Mwanakombo, jimbo la Mahonda nchini Zanzibar.

 Mgombea Urais wa nchi ya Zanzibar kwa Tiketi ya chama cha CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mwanakombo Jimbo La Mahonda jana Umati ulio furika katika jimbo la mahonda katika mkutano wa CUF mamia walijitokeza katika mkutano uliofanyika viwanja vya Mwanakombo, wakimsikiliza Maalim Seif Shariff Hamad


KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment