Mgombea Urais kupitia Chama cha AFP Taifa Mhe:Said Soud Saidi akizungumza na wananchi wa shehia ya Furaha jimbo la Wawi kisiwani Pemba, baada ya kumtambulisha mgombea Ubunge jimbo hilo kwa wananchi wakati wa ufunguzi wa kampeni za Ubunge.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha AFP,Mhe:Said Soud Said akimtambulisha Mgombea Ubunge Jimbo la Wawi kupitia Chama cha AFP Bi. Khairat Said Soud kwa wananchi wa Shehia ya Furaha Kisiwani Pemba
Mgombea Ubunge Jimbo la Wawi kisiwani Pemba kupitia chama cha AFP Taifa Khairat Said Soud, akinadi sera zake wakati wa ufunguzi wa kampenzi za Ubunge katika jimbo hilo, huko katika shehia ya Furaha jimbo la Wawi
Baadhi ya Vijana wakiwa na Bendera ya Chama cha AFP wakimsikiliza mgombea Ubunge wa Jimbo la Wawi Kisiwani Pemba, Khairat Said Soud wakati wa Ufunguzi wa kampeni za Ubunge katika jimbo hilo huko katika shehia ya Furaha
Wilaya ya Chake Chake Pemba.
KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
No comments:
Post a Comment