SUSUMILA-SIASA DUNI
G-Solo "muda wa vitendo"
wandishi wa habari na watu binafsi wakirikodi kwa kutumia camera au simu za kisasa smart phone mkutano huwo hapa nchini zanzibar.
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa nchi ya Tanganyika Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu wa nchi ya Zanzibar Mhe. Amani Abeid Karume kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa nchi ya Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015.
Sehemu ya mamia ya watu kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja nchini Zanzibar wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa nchi ya Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Rais Kikwete wa nchi ya Tanganyika akimlaki Mgombea Urais wa nchi ya Zanzibar kwa tiketi ya chama cha CCM ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Shein akiwasili katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja nchini Zanzibar na kumwaga vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa nchi ya Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Mamia ya watu kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja nchini Zanzibar wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa nchi ya Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Utenzi ukisomwa kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja nchini Zanzibar wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Rais Kikwete wa nchi ya Tanganyika, mgombea Urais wa nchi ya Zanzibar kwa tiketi ya chama cha CCM ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Shein na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana wakiwa na furaha katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja na kumwaga vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa nchi ya Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Kada mashuhuri wa chama cha CCM Visiwani nchini Zanzibar Mzee Borafia akiongea katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja nchini Zanzibar na kumwaga vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa nchi ya Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
CCM OYEEEEEE....anasema kada huyu katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja nchini Zanzibar na kumwaga vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa nchi ya Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015
Rais Mstaafu wa nchi ya Zanzibar Mhe. Amani Abeid Karume akihutubia kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja nchini Zanzibar wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa nchi ya Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015.
Viongozi wakiwa jukwaa kuu
Msanii Diamond na kundi lake la Wasafi wakitumbuiza kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja nchini Zanzibar wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015.
Balozi Seif Ali Iddi ambaye ni Balozi Mdogo wa nchi ya Tanganyika hapa nchini Zanzibar akihutubia kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja nchini Zanzibar wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa nchi ya Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015.
Naibu Katibu Mkuu wa chama cha CCM nchini Zanzibar Ndg. Vuai Ali Vuai akisoma ratiba ya mkutano kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja nchini Zanzibar wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa nchi ya Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015.
Rais Mstaafu wa nchi ya Tanganyika wa Awamu ya Pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi akiwa kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja nchini Zanzibar wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa nchi ya Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015.
Rais wa nchi ya Tanganyika Kikwete akihutubia kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja nchini Zanzibar wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa nchi ya Zanzibar Jumapili Septemba 13, 2015.
KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
No comments:
Post a Comment