Hakuna asie fahamu kuwa kiti chetu cha umoja wa mataifa ndicho kinachotumiwa na jina la ((tanzania)),watanganyika kwa sababu zanzibar ndio iliyo jiunga na U.N.hapo awali sio TANGANYIKA na ushahidi upo na kila kitu TANGANYIKA haijawahi kujiunga na U.N. wala U.N.hawaitambuwi nchi inayoitwa TANGANYIKA ndio walipo amuwa kufanya muungano FEKI wa tangnyika na zanzibar wakapata tanzania yao FEKI ndipo walipotambulika kwa hiyo hawa jama wametutumia muamvuli wa zanzibar kimataifa kujitajirisha wao,kiuchumi ,kijamii,kibinafsi,yote haya ni kutawala zanzibar na kuipoteza katika ramani ya dunia.Kisu cha kutawaliwa ni chetu wenyewe,kisu hichi kitatuuwa wazanzibari wote ni vyema tukakidai kisu hichi kabla hakijatutuoa machango,maana kisu hichi tumempa chizi hasikii haoni,wakati umefika sasa kukichukua wenyewe,ili tuweze kupunguza jeuri hawa watwana watanganyika.Ndio maana wanafanya vile wanavyotaka wao wenyewe,imefika wakati tudai kiti chetu cha U.N,tufanye siku tukakenshe nje ya baraza la wakilishi kusisitiza azimio hilo katika serekali yetu ya GNU tuone kama itatusikia sisi wananchi wake au itakuwa kama ile ya SMZ inayosubiri amri kutoka kwa mabwana zao DODOMA.
Tunawaomba viongozi wetu,waache kubembejea serikali ya muungano suala la mipaka ya bahari ya zanzibar,wakati hawa watanganyika hawaheshimu maamuzi ya baraza la wakilishi na katiba yetu,mangapi tuliwaeleza watanganyika wayaondoe kama ni kero za muungano kama ushuru mara mbili kwa wazanzibari,suala la mafuta na mipaka ya zanzibar,yote haya hawayataki kuyaheshimu na ndio kwanza yanashika kasi kila kukicha.Tuache kujidanganya kuwa tutawaandikia barua serikali ya muungano maana kwanza hakuna huo muungano kuna ubabe na unywanywasazi wa rai wa kizanzibar katika nchi yao wenyewe na hawa wanyika kuwanyanyasa wazanzbar haikuanza leo na haita ishaa leo wa kesho mpaka muungano huu FEKI ufe tuwe na jeshi letu polisi wetu yani vijana wa zanzibar ndio yatakwish.la sivyo tutakuwa tukidanganyana tu.na wala tusifikiri kuwa watasimamisha zoezi hilo,hata siku moja hawatafanya kosa,wakati huu tufunge firago vyetu tuende huko huko umoja wa mataifa kulimaliza tatizo hili kwa sheria za kimataifa na mkataba wa muungano na katia yetu.Azimio la kuenda umoja wa mataifa.Kuzuiya mipango ya uwombaji eneo la bahari.Kudai kiti chetu cha umoja wa mataifa.Kudai mkataba ambao uliruhusu kuondolewa zanzibar katika U.N,na kama haupo mkataba huo ulio sainiwa na sehemu mbili ya muungano,tanganyika itatulipa fidia zetu.Mkataba wa muungao pia tunauhitaji ulio unda jamuhuri ya muungano FEKI kama hakuna siku hiyo hiyo zanzibar ijitangaze kuwa ni nchi kamili na kuomba hifadhi ya kijeshi U.N mpaka itakapokuwa na jeshi lake la kuliamini yani vijana wa zanzibar sio wakuryaa na watwana na machongo waliojazwa katika makambi hawana wanalofanya zaidi ya kulewa na kula bure nakutia dada zetu mimba kisha siku za changuzi wanatuuwa na kutupinga na kutunyanyasa ndani ya nchi yetu wenyewe.
Mungu ibariki zanzibar na watu,tupe moyo na nguvu amiin
No comments:
Post a Comment