HII NDIO NCHI YA TANGANYIKA NA NCHI YA ZANZIBAR MUUNGANO OYEEE
Serikali ya Tanganyika imeanza kutafuta washirika wapya wa kibiashara nje ya Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kujitokeza msuguano kati yake na baadhi ya nchi wanachama wa jumuiya hiyo. Duru za habari zinaripoti kuwa, maafisa wa ngazi za juu wa nchi ya Tanganyika wameanzisha mazungumzo na serikali za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Msumbiji kwa madhumuni ya kubuni ushirikiano wa kibiashara katika siku za usoni.
Pia ujumbe wa nchi ya Tanganyika umekutana na maafisa wa nchi ya Burundi kwa mazungumzo kama hayo. Hii ni katika hali ambayo, Waziri wa nchi ya Tanganyika anayehusika na masuala ya nchi za Afrika Mashariki kwa upande wa nchi ya Tanganyika, Samuel Sitta ameliambia bunge la nchi yake ya Tanganyika kuwa, Dar es Salaam haina budi ila kuangalia mipango mbadala katika masuala ya ushirikiano wa kiuchumi baada ya kuibuka dhoruba kali ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Hatua ya Tanganyika ya kutafuta washirika wapya nje ya EAC inatokana na kutengwa na kuekwa ubao na nchi hizo na mataifa ya Rwanda, Uganda na Kenya kwenye mradi mkubwa wa kupanua miundombinu miongoni mwa nchi hizo za Afrika Mashariki.
Free Zanzibar People From Mkoloni Mweusi Tanganyika tumengunduwa kuwa Congo ndio ndugu zao kweli kweli na nchi ya Tanganyika wanaweza kushirikiana kwani mwenye nguvu achukue chake migodi yote ya nchi ya Congo wana control wenye bkuvaa uniform za jeshi hawana sharia wala kanunu chukua chako mapema kama kilivyo chama cha Serekali ya Tanganyika CCM Chukuwa Chako Mapema,basi ndivyo ilivyo nchi ya Congo wakuu ndio wanao kula wanyonge kufeni na njaa.
Rushwa hali ya juu hata askari wakawaida akishavaa magwanda na kalashinkov mkono basi yeye raisi anawezankukusimamisha akachukua anachotaka mila zao katika nchi ya Congo na nchi ya Tanganyika sawawa bora waunde community yao. Leo nchi ya Rwanda inasifika kwa kua haina corruption nchi ya Tanganyika no1 kwa corruption wataweza kusikilizana...??? Watanganyika hawajijui nini wanachofanya isipokua wanachokijuwa wao ni WIZI NA KUUWA WATU.
No comments:
Post a Comment