((ONYO KWA WANAOTOA KAULI ZA KEJELI NA KUTISHA WENZAO)) BABUALI
NYINYI NDIO MNATISHA WATU NA MAJESHI YENU YA WAKOLONI WEUSI
TANGANYIKA NANI ASIYEYAJUWA
UNAIKUMBUKA HII 2015 UKASHINDWA UKAFUTA UCHAGUZI NA KUMWAGA MAJESHI YAKO YA WAKOLONI WEUSI WAKULINDE ILI UENDELE KUITAWALA NCHI YA ZANZIBAR UKIWA KIBARAKA WA WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA MPAKA SASA USHAMALIZA MUDA WAKO ULIDHANI UTAKA MADARAKANI MILELE
HATA WAVAE JAZI GANI WOTE NI WANZIBARI NA HAWAITAKI TENA CCM CHAMA CHA WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA NA VIBARAKA WAO
AMSHA AMSHA YA WAZANZIBARI
HICHI NDICHO KINACHO WAUMIZA CCM NA WAKOLONI WEUSI WA TANGANYIKA
No comments:
Post a Comment