Tuesday, January 21, 2020

MADUDU-YA-VITAMBULISHO-VIDEO-Q-SERIKALI FEKI YA BABUALI KIBARAKA WA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA YAOGOPA KUTOWA VITABULISHO MAANA WANAJUWA WAMEKWISHA ZAO UCHAGUZI HUU 2020

Figisufigisu za 2020 zaanza Zanzibar

SOTE TUNAJUWA KUWA TUME YA UCHAGUZI NI YA WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA PAMOJA NA HAO WOTE WANAO SHUGHULIKA NA UGAWAJI WA VITAMBULISHO JESHI LA POLISI NA JESHI NA VIKOSI VYA SMZ VYOTE VIMEWEKWA KULINDA VIBARAKA WACHACHE WA WAMKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KUENDELEA KUITAWALA NCHI YA ZANZIBAR SOTE HILO TUNALIJUWA. WAZANZIBARI TUWE MAKINI NA KUENEZWA SUMU ATI ZANZIBAR NI YA WATU WEUSI NA WAZANZIBARI WEUSI WANAJARIBU KUTURUDISHA KULE WAKATI SOTE NI WAZANZIBARI. TUNAJUWA HAWA WAKOLONI WEUSI WANAKIKUNDI CHAO KIDOGO HAPA NCHINI ZANZIBAR WANACHO WAPA MADARAKA KISHA WAO WATUTAWALE SISI TULIO WENGI NA WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA KUENDELEZA UKOLONI WAO HAPA NCHINI ZANZIBAR. TUWE MAKINI SANA NA HICHI KIKUNDI KIDOGO KILICHO HADAIKA NA MADARAKA NA KIPO TAYARI KUFANYA JAMBO LOLOTE ILI WAENDELE KUWEPO MADARAKANI NA KUWAFURAHISHA WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA.

No comments:

Post a Comment