MADUDU YA UANDIKISHAJI PEMBA YAZIDI KUANIKWA SMZ MUMEISHIWA
ONENI MNAVYO UBUKA KABLA HATA UCHAGUZI HAUJANZA MIDUDU YENU
HIYOOOOO KISHA MNASEMA DOLA HAICHEZEWI WAKATI NYINYI WENYEWE
MUNAICHEZEA NA KUVURUGA AMANI YA NCHI
MIAKA 50 YA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA NCHI YA ZANIBAR MAJI 20% UMEME 20% ELIMU 0% HOSPITALI 1% MADAWA 0% MLO MOJA KWA SIKU TAFAKARI SANA.CCM MNASHANGA LOWASSA KUPANDA DALADALA HAMSHANGAI TWIGA KUPANDA NDEGE.VIONGOZI WA CUF WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI 2015 WAKIONYESHA SHAHADA ZAO ZA USHINDI ZILIZO SAINIWA NA KUPIGWAMUHURI NA ZEC CCM HAYA HAMUNA,AIBU HAMUINI,FEDHEHA HAMUHISI,UBINADAMU UMEWATUKA,M.MUNGU HAMUMUOGOPI HEBU JIULIZENI NYINYI VIUMBE WA AINA GANI...?????
No comments:
Post a Comment