DAFTARI LA WAPIGA KURA ZANZIBAR LAANZA MICHEWENI HATA MUANZIE WAPI CCM HAINA LAKE CCM IMEKWISH MUNATAPATAPA WAFAMAJI NYIE KWANZA HEBU MALIZENI KUWAPA WATU VITAMBULISHO VYAO NDIO MUANZE KUANDIKISHA BUKU MWANDIKISHA WATU WAKATI WATU HAWANA VITAMBULISHO HAO NI CCM WENU NDIO MNAO ANDIKISHA WAWAPIGIE KURA PEKE YAO MAANA WAO MSHAWAPA VITAMBULISHO NANI ASIYE JUWA.
MIAKA 50 YA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA NCHI YA ZANIBAR MAJI 20% UMEME 20% ELIMU 0% HOSPITALI 1% MADAWA 0% MLO MOJA KWA SIKU TAFAKARI SANA.CCM MNASHANGA LOWASSA KUPANDA DALADALA HAMSHANGAI TWIGA KUPANDA NDEGE.VIONGOZI WA CUF WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI 2015 WAKIONYESHA SHAHADA ZAO ZA USHINDI ZILIZO SAINIWA NA KUPIGWAMUHURI NA ZEC CCM HAYA HAMUNA,AIBU HAMUINI,FEDHEHA HAMUHISI,UBINADAMU UMEWATUKA,M.MUNGU HAMUMUOGOPI HEBU JIULIZENI NYINYI VIUMBE WA AINA GANI...?????
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment