Monday, October 8, 2012

HII NDIO TEKENOLIGIA YA MAPINDUZI DAIMA NA MAENDELEO YAKE

SCHOOL IN PEMBA, TANZANIA
MSHAHARA WA RAISI ZANZIBAR KWA MWEZI NI KIASI GANI..?
AKIAMUWA MWEZI MOJA ASICHUKUWE MSHAHARA JE HAWA WATOTO KWELI WATAKA CHINI..? TUNAWABUNGE WANGAPI KATIKA NCHI YETU YA ZANZIBAR..?
MSHAHARA YAO NA MAPOCHOPOCHO YAO WAKIAMUWA WASICHUKUWE KWA MWEZI MOJA KWELI HAWA WATOTO WATAKA CHINI..? BARAZA LA WAWAKILISHA TUNAWAWAKILISHI WANGAPI...? WAKIAMUWA MISHAHARA YAO YA MWENZI MOJA WASICHUKUWE KWELI WATOTO HAWA WATAKA CHINI..? NCHI DOGO VIONGOZI KIBAO MISHAHARA MINONO NCHI INANUKA NA UMASIKINI UNAZIDI HONGERA MAPINDUZI DAIMA HIZI NDIO FAIDA ZA MAPINDUZI DAIMA.

No comments:

Post a Comment