askari kanzu na mgambo wakiwapa WAISLAMU nchini tanganyika
hili ni jeshi kazi yake ni kulinda nchi isivamiwe na nchi jirana ila tanganyika jeshi ni la kuwa rai wake Nna WAISLAMU tanganyika oyeeeeeeeee
hili ni jeshi la tanganyika likiwa nchini tanganyika sio malawi hapa wala uganda ni tanganyika kariakoo kidumu chama cha mapinduzi mpaka kidumike

vipi tena mbona majeshi mpaka kwenye jiji..?
je tanganyika imehabariwa kuwa inataka kuvamiwa kijeshi na nchi jirani nini ndio wakaona wamwange majeshi kulinda jiji..? hahhahahahahahaa
hakuwa mjerumani wala mrusi walikuwa wakitisha ulimwengu na leo wahoi itakuwa kijitanganyika thulma inawasumbuwa na hamutaishi kwa amani mpaka muache kudhulumu.
oyeee oeyee nyinyi majeshi mbona mnakobeyana...?duuuuuuuh moja kaka chini kachoka kukobewa hahahahahahaha
kama majeshi kweli mbona vita vya uganda hamukishinda mpaka mkaja kuwachunguwa kaka zetu jeshi la nyuki zanzibar kwenda kuliulisha uganda ndio tukashinda na nyinyi mukajidai kuwa ndio mulio pigana na kushinda mpaka leo tuna vilema na hamuja walipa kazi kuone rai ikija vita kweli nyote munakimbia makambini majoga makumbwa kazi kunywa chibuku na kutesa rai.
jeshi la nini kariakooo..?

sio kampala hapa ni kariakoo
sio lilongwe hapa ni kariakooo
nyerere kawaulisha wazanzibar vita vya uganda mkapa kawauwa wazanzibar siku za chaguzi sasa majeshi yanataka kuwauwa watanganyika waislamu huu ndio mwanzo.

vipi tena nchi ya tanganyika imevamiwa na malawi..?

shiibe mbaya sana hii ndio dalili ya shiibe washashiba hawana lakufanya wameka tu makambini sasa wafanye nini kama sio kunyanyasa wananchi.
UWENI WATU TESENI WATU JIFANYENI NYINYI NDIO NYINYI MAANA MUNA SILAHA NA NDIO NYINYI NDIO WENYE NCHI LAKINI MUJUWE NA NYINYI PIA IKO SIKU MWISHO WENU NI HAPA NYERERE BABA YENU YUKO WAPI NA JEURI ZAKE NA KEJELI ZA KUWATHULUMU WAISLAMU NA KUWATESA WAZANZIBARI YUKO WAPI YUKO WAPI BASI NA NYINYI PIA MUTAKWENDA TU.
No comments:
Post a Comment