MIAKA 50 YA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA NCHI YA ZANIBAR MAJI 20% UMEME 20% ELIMU 0% HOSPITALI 1% MADAWA 0% MLO MOJA KWA SIKU TAFAKARI SANA.CCM MNASHANGA LOWASSA KUPANDA DALADALA HAMSHANGAI TWIGA KUPANDA NDEGE.VIONGOZI WA CUF WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI 2015 WAKIONYESHA SHAHADA ZAO ZA USHINDI ZILIZO SAINIWA NA KUPIGWAMUHURI NA ZEC CCM HAYA HAMUNA,AIBU HAMUINI,FEDHEHA HAMUHISI,UBINADAMU UMEWATUKA,M.MUNGU HAMUMUOGOPI HEBU JIULIZENI NYINYI VIUMBE WA AINA GANI...?????
Friday, October 19, 2012
MUSA ALI LAZIMA UJIUZULU KWA KUDANGANYA TAIFA LA ZANZIBAR KUWA HUJUWI SHEIKH FARID ALIPO
HILI FIRAUNI SILIMESEMA KUWA POLISI HAWAJUWI ALIPO NA HAWAJA MCHUKUWA KUMBE WAO POLISI NDIO WALIO MCHUKUWA NA KUMFICHA KATIKA NYUMBA NA KUMHOJI NA HUKU WAMEFUNGA KITAMBA CHA MACHO ILA SHEIKH FARID AMEWASIKILIZA WALIPOKUWA WAKIMHOJI AKAGUNDUWA WENGI WAO WALIKUWA NI POLISI WA KIBARA NA WAWILI NDIO WALIKUWA WA KIZANZIBARI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment