Friday, October 19, 2012

MTANGANYIKA AFUNGUKA ASEMA WAZANZIBARI RUDINI KWENU


hata aliyewahi kuwa raisi wa zanzibar na kuwa makamu wa raisi wa muungano, mzee aboud jumbe, alihamia tanganyika bara. kwanini hakubaki nyumbani kwake zanzibar?

pia wazanzibari wengi, si wapemba tu bali wa unguja pia, wana tabia ya kututukana na kutudharau sana watanganyika wakati wanaishi katika nchi yetu ya tanganyika. ondokeni, rudi pemba. rudi zanzibar. rudi nyumbani kwenu. mnataka nini nchini kwetu ikiwa hamuutaki muugano? rudi kwenu. halafu jitangazieni uhuru mnaosema tuliwanyang'anya na ambao mnasema tunaendelea kuwanyima.

muungano hauna faida yoyote kwa watanganyika. kiuchumi, wazanzibari hawana chochote. ni mzigo kwetu. ndiyo maana wengi wao wamehamia tanganyika, tanzania bara. rudi nyumbani kwenu visiwani. utakuwa ndio mwisho wa muungano. hatuutaki pia. ni gharama kubwa sana kwetu. hatupati chochote kutoka zanzibar. wazanzibari hawana chochote. nchi yetu ya tanganyika ina raslimali za kila aina. ukilinganisha na nchi yetu ya tanganyika, zanzibar hawana chochote. vunja muungano leo. mnangojea nini?

mna nini visiwani? kwa mawazo yenu, mnaona utengano sio udhaifu. mnaona utengano ni mandeleo. sawa! watanganyika hatuna tatizo na wazo hilo. pia tunajua hamtutaki visiwani. hakuna tatizo. hatuwataki pia tanganyika. ondokeni. rudi nyumbani kwenu visiwani. tutawasaidia kufunga mizigo. utakuwa ndio mwisho wa muungano. mking'ang'ania kubaki tanganyika, tutawafukuza. rudi nyumbani kwenu. tanganyika sio nchi yenu. ni nchi yetu sisi watanganyika. zanzibar ni yenu, tanganyika ni yetu. kwaheri muungano.

No comments:

Post a Comment