MIAKA 50 YA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA NCHI YA ZANIBAR MAJI 20% UMEME 20% ELIMU 0% HOSPITALI 1% MADAWA 0% MLO MOJA KWA SIKU TAFAKARI SANA.CCM MNASHANGA LOWASSA KUPANDA DALADALA HAMSHANGAI TWIGA KUPANDA NDEGE.VIONGOZI WA CUF WALIOSHINDA KATIKA UCHAGUZI 2015 WAKIONYESHA SHAHADA ZAO ZA USHINDI ZILIZO SAINIWA NA KUPIGWAMUHURI NA ZEC CCM HAYA HAMUNA,AIBU HAMUINI,FEDHEHA HAMUHISI,UBINADAMU UMEWATUKA,M.MUNGU HAMUMUOGOPI HEBU JIULIZENI NYINYI VIUMBE WA AINA GANI...?????
Thursday, October 25, 2012
KISHEIN,MAALIM SEIF NA KILEMBWE CHA FIRAUNI SEIF IDDI WAHAKIKISHA MAAMIRI WETU WALA IDDI HAJI NDANI YA JELA
MARAISI WATATU NA WOTE WAISLAMU SIJUWI NA WOTE WANAJIFANYA NI WAUMINI WA KISLAMU SIJUWI NA WOTE WANAJIFANYA 5 SWALAWATI ILA TUNAVYO JUWA SISI UKISWALI BASI SWALA ANAKUFANYA UWACHANE NA MAMBO MABAYA. VIPI LEO MARAISI HAWA KWANZA SHEIKH KATEKWA NYARA NA WASHENZI WAO WANAO WAITA ASKARI ILA SISI TUNAJUWA NI WASHENZI.KISHA BAADA YA KUACHIWA WANAWABAMBIKIA KESI KISHA BAADA YA HAPO WAMESHINDWA KUWAHUKUMU MAANA HAKUNA MAKOSA WAMEAMUWA KUBADILISHA MAHAKAMA NA BAADA YA HAPO PIA HAIKUSAIDI WAMEAMUWA KUWAWEKA JELA NA IDDI YOTE HII. SEIF SHARIFU WEWE HAYA YALIKUFIKA NA WALIO KUFANYI HAYA WANGALIE LEO WAKO WAPI..? HUU NI MTIHANI KWAKO NA HICHI KISHEN HILI IDDI WOTE TUNALIJUWA KUWA ASTAFIRU ALLAH HATA SI THANA KAMA NI MUSLAMU KAMWEA. ILA NYINYI MOJUWE KUWA HAWA MAMIRI WAKILA IDDI JELA MUJUWE NA NYINYI MUMEKWISHA M/MUNGU ATAKUJA KUWATHALILISHA NYINYI MPAKA MUJUTE MAANA MUNAJUWA WAZI KAMA HAWA HAWANA MAKOSA ILA NI UPUMBAVU WENU WAKUTAKA KUFURAHISHA MABWANA ZENU WATANGANYIKA BASI SAWA NYINYI FURAHISHENI MABWANA ZENU WANYEKA NA HUKU MUNAWADHULUMU WATU WASISHEREHEKE IDDI NA FAMILIA ZAO KISHA MUTAONA BAKORA YA M/MUNGU ITAKAVYO WAJIA.PIA TUNAZO HABARI KUWA WAMENYOLEWA NDEVU MAAMIRI WOTE MUJUWE KAMA KWELI NA NYINYI PIA MUNA BEBA THAMBI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment