Saturday, October 20, 2012

MAHOJIANO YA SHEIKH FARID NA DADA SALMA BAADA SHEIKH FARID KUACHIWA HURU BAADA YA KUTEKWA NYARA NA POLISI WASIO JUWA SHERIA WASHENZI WA SHEIN


HAPA ALIPOACHIWA NA MAPOLISI WALIO MTEKA NYARA NA KUMUHOJI KWA SIKU 4 FULULIZO NA HUKU WAMEMZIBA KITAMBA CHA MACHO NA HATA KUMTISHA KWA KUPIGA RISASI.

HAPA AKIHOJIWA NA WANDISHI WA HABARI

NYUMBANI KWAKE NA JAMAA WOTE WA ZENJI WAKIPIGA DUWA YA KUMSHUKURU ALLAH KWA KUMRUDISHA SALAMA SALMINI ALAHAMDULILAHI
SHEIKH FARID ASEMA ALICHUKULIWA NA GARI NA POLISI WANNE WAWILI WAKIWA NA MASHINGANI NA DEREVA NA MOJA ALIYEJITAMBULISHA KUWA NI ASKARI.WAKAMCHUKUWA NA KUMFUNGA KITAMBA CHA USO ANAENDELEA KUHADISIA KUWA SAFARI ILIKUWA DEFU KIDONGO MPAKA NDANI YA NYUMBA AMBAYO WALINIWEKA MPAKA MUDA HUU NDIO WAMENIACHI BAADA YA KUZIMWA UMEME.KIPINDI HICHA CHA SAA MBILI NA KIDOGO.ANAENDELE KUSEMA KUWA MUDA WALIO NICHUKUWA ITAKUWA NI SIKU TATU MPAKA NNE MAANA TOKA JUMAA NNE WALIPONICHUKUWA

.MARA ILE WALIPO KUCHUKUWA WALIKUFUNGA KITAMBA PIA NA KUKUPIGA JE MARA HII..? YAA MARA HII PIA WAMEFANYA KAMA MARA ILE ILA MARA HII HAWAJA NIPINGA ALAHAMDULILAHI.LAKINI WALITAKA KUJUWA MAMBO MENGI HASWA KUHUSU HIZI HARAKATI TUNAZO FANYA SAFARI ZANGU ZA OMANI NA ARABUNI NILIZO KWENDA MASWALI MINGI PASI NA SABABU NA WAMEICHUKUWA SIMU YANGU NA HAWAJANIRUDISHIA.PIA WAMENIHOJI SANA KUHUSU NAMBA ZOTE ZILIZOKUWEMO NDANI YA SIMU YANGU.NA MESIGI NA KILA KILICHO KUWEMO WAMEONA BORA WATIE HASARA KAMA ZILIVYO TOKE ILA WAJUWE KILA KITU KUTOKA KWANGU

.WALIKUWA WANGAPI..?WALIKUWA WANNE NA MUDA WOTE WALIKUWA WAMENIFUNGA MACHO.HAO WATU WALIO KUCHUKUWA UNAWEZA KUWATAMBUWA UKIWAONA..? SIWEZI KUWATAMBUWA MAANA WOTE WAMEVA SOKSI HATA WALIOKUWA WAKINILINDA PIA WAMEVA SOKSI WAMEBAKISHA MACHO TU.LAFTHI ZAO NI VIPI..? LAFTHI ZAO NI NUSU BIN NUSU LAKINI WENGI INAONYESHA NI WABARA WAHAPA LABDA WAWILI WENGI WALIKUWA NI WABARA. LAFTHI ZAKITANGANYIKA. MAMBO GANI WALIKUWA WAKITA KUJUWA ZAIDI.?  YOTE KUHUSU HARAKATI NA MAHUSIANO YANGU MIMI NA SEREKALI PIA MAHUSIANO YANGU MIMI NA SHEIN,MAHUSIANO YANGU MIMI NA SEIF YANI KILA KITU KIUFIPI WALITAKA KUJUWA KILA KITU.

NAILIKUWA VITISHO MPAKA IKAFIKIA KUPIGA RISASI.CHINI YA MIGUU ALMURADI WALIFIKIYE LIGO LAO WALILOKUWA WAKILITAKA.POLISI WAMESEMA HAWAJA KUTEKA LAKINI TULIAMBIWA NA DEREVA WAKO KUA ULIPIGIWA SIMU JE UNAFAHAMU ALIYE KUPIGIA NA KWANINI ULIPO AMBIWA NJOO NA WEWE UKENDA..?MIMI SIMU YANGU INAPINGWA NA WATU WENGI SANA WENGI SANA KWA SIKU HATASIJUWI NI SEME NI WATU WANGAPI WANANIPIAGIA NA WATU WENGI WANANITA NA SISI KAMA VIONGOZI HUWA TUNAKWENDA KUONANA NAO WENGINE NI WANDISHA WA HABARI,WENGINE NI RAI WAKAWAIDA,WENGINE NI IKLASI,WENGINE NI WAFANYA KAZI KATIKA SEREKALI,WENGINE NIWAHUSIKA KATIKA SEHEMU TAFAUTI KATIKA SEREKALI.KWA HIYO MIMI NAITWA NA WATU WENGI MARA HII MTU ALIYE NITAA ALIJINASABISHA KUWA YEYE NI MOJA KATIKA WANAFUNZI WANGU WA MAHADA ALI MAHAFUDHI LAKINI MIMI SIKUWEZA KUMJUWA YOYOTE WALA SIKUWEZA KUJUWA SURA ZAO NA SIKUWEZA KUJUWA CHOCHOTE ZAIDI YA KUHOJIWA.NA HAKUNA JENGINE ZAIDI YA VITISHO.

HABU TUELEZE KIDOGO ULIPOTOKA KATIKA GARI YAKO NAKUINGIA KATIKA GARI NYENGINE HALI ILIKUWAJE.?MIMI NILIFIKA PALE NA PALIKUWA HAKUNA MTU BASI KUNA MSIKITI MDOGO NIKAMUAMBIA KIJANA WANGU AKANUNUWE UMEME NA NILIKUWA NAWEZA KUMUONA KABISA BASI MIMI NIKAINGIA KUSWALI NATOKA TU GARI HIYO NASIKIA MAALIM NDIO NIKASOGEA NIKAONA WAKO WAWILI WENYE MASHENGANI NA MOJA AKAJITAMBULISHA NI ASKARI BASI MIMI NIKAONA NISIFANYE FUJO WALA KUKIMBIA NIKAINGIA KWENYE GARI SASA TULIPOTOKA KWA UPANDE ULE TUKAPINDA KUSHOTO NIKAJUWA WANANIPELEKA MOMBASA HATUWEZI KUJA MJINI NAKAHISI TUNAELEKEA  LAKINI TULIIPOFIKA RAUNDI ABOUTI YA MOMBASA WAKAZUNGUKA MARA KADHA ILI WANIPOTEZE NISIJUWE WANANIPELEKA WAPI. JE ULIPOFIKA KATIKA NYUMBA KULIKUWA NA MAZINGIRA GANI.  SIKUONA MAZINGIRA YOYOTE MAANA MUDA WOTE NIMEFUNIKWA KITAMBA. JE ULIWEZA KUJIFUNGUWA .? HAPA SIKUWEZA KUJIFUNGUWA MIMI.

KWA HIYO UMEFUNI MPAKA ASUBUHI HUJALA HUJAFANYA CHOCHOTE..? MIMI SIJALA NA WALA SIWAMINA HATA WAKINILETEA CHAKULA SILI NA MUDA WOTE HUU NIMEKA NAO MIMI SIJALA.MIMI ILIKUWA NIKIENDE MSALANI NIKINYWA MAJI KATIKA MFEREJI BASI HICHO NDIO NILICHO NIKIPONEA MIMI.LAKINI NILIKUWA SILI CHAKULA CHAO KABISA KABISA. UNATUAMBIA KWA MUDA WA SIKU TATU HUJA GUSA KITU CHOCHOTE..? MIMI SIJALA KITU. VIPI MAZINGIRA KATIKA NYUMBA LABDA VITISHO AU KUPINGWA..? WALAHI WAKATI WA KUHOJIANA NDIO KUBWA WAKATI WA KUHOJI YANA.ANAWEZA AKAJA NA LUGHA YA BUSARA NA AKAKUTIZA NA WEWE UTAMJIBU VIPI WANAWEZA WAKATUMIA VITISHO WANATAFAUTIANA WALE WATU WALIOKUWA WAKIHUTHURIA PALE NDANI.

HATA WALIPOKUWA WAKIKULIZA WALIKUWA WAMEKUFUNIKA..? WAMENIFUNIKA HAWANIFUNUWI KABISA KABISA. WAMEKUFUNUWA WAKATI NGANI..? WAKATI WAMWISHO KABISA WALIPOKUJA KUNILETA WALIPOKUWA WANANIREDESHA KABLA HAWAJA NISHUSHA WAKANIFUNGUWA PINGU NA KUNIVUWA KITAMBA WAKANISUKUMA WAKANIAMBIA SHUKA NIKASHUKA. WAMEKUSHUSHA WAPI..? WAMENISHUSHA PALE PALE WALIPONICHUKUWA PALE PALE WALIPONICHUKUWA NDIPO WALIPO NIREJESHA. WAKATI NGANI TAKRIBAN ULE ULE WKATI ULE ULE MAJIRA YALE YALE MAJIRA KAMAHHH KARIBU SAA MBILI NA KIDOGO HIVI SIKUWEZA KUJUWA HASWA TIMU NI VIPI LAKINI NI MAJIRA HAYO HAYO.SWALI LANGU LA MWISHO WEWE ULIKUWA UNAFAHAMU KAMA KUNAKITU KIMETOKEA KATIKA NCHI NA MAMBO MAMBO AU WAMEWAHI KUKUNGUSIA AU VIPI..?

MIMI HAWAJA NIGUSIA CHOCHOTE WALA NILIKUWA SIJUWI VIPI LAKINI BAADA YA KUTOKA TU KILA NINAE KUTANA NAE ALIKUWA ANANIPAHA HALI TAFAUTI KUWA HALI ILIKUWA MBAYA KUNA WATU WAMEPOTEZA MAISHA KUNA HIVI NA HIVI NIMESIKIA MENGI TU ILIKUWA NI MUDA MFUPI LAKINI NISHAONANA NA WATU WENGI SANA SANA KAMA MWENYEO UNAVYO SHUHUDIA HAPA.  SASA NI NINI MAONI YAKO KWA SEREKALI YAKO..? KWAKWELI TUNAIYOMBA SEREKALI ITUMIYE HAKIMA NA UWADILIFU KINYUME CHA HIVYO WATAKUWA WANAIMBA TU AMANI LAKINI HAIWEZI KUPATIKANA.NAIWE SHERIA YA KIVITENDO HAYO NDIO UGOVI WENYEWE KWASABABU MIMI MWENYEWE NILIDHANI WALINIKAMATA KWASABABU MIMI NILIZUNGUMZA KATIKA MSIKITI WA MWANAKWEREKWE NA NILIZUNGUMZA KWA HASIRA SANA.KWAKUZINGATIA HAYO HAYO NA NILIMTUHUMU SHEIN NAKUMTUHUMU MAALIM SEIF NA WENGINE WOTE VIONGOZI WA JU KWA NYINYI VIONGOZI MUPO LAKINI KIUKWELI HAMTENDI SHERIA.

WALA HAMUTETEI SHERIAHAYO NDIO NILIKUWA NIKIYAZUNGUMZA MIMI NA NILIYAZUNGUMZA MAKALI KAMA MTAZIRUDIA KWENYE DVD MTAZIONA NYINYI WENYEWE NIMEZUNGUMZA MANENO MAKALI MAKALI KWELI KWASABABU INAUTHI KATIKA NCHI KUWA WATU WANAZUNGUMZA KUWA WANATAKA SHERIA LAKINI KIVITENDO HAWATAKI SHERIA YANI MFANO SUALA LA VITAMBULISHO VYA MTANZANIA WAKATI HUO HUO MTU ANATAKA KITAMBULISHO CHA MZANZIBARI KISHERIA NA HAPEWI NA HAPIWE MTU WALA HAKINADISHI WALA HAKITETEWI HATA KIKITETEWA NI MARA MOJA TU KISHA KIMYA SEREKALI IMEKUWA KAMA SI SEREKALI RAISI AMEKUWA SI RAISI AMAKUWA KAMA MFALME KATIKA NCHI ANAFANYA ANAVYO TAKA YEYE HENDI KAMA KATIBA INVYO MUELEZA SIO MFALME YEYE WANANCHI NDIO WENYE MAMLAKA KWAHIYO YEYE ALIKUWA AFUTE WANANCHI WANAVYO TAKA NA INGELIKUWA WATU WAO WANAFUATA SHERIA YASINGELITOKEA HAYA YOTE YOTE YASINGELITOKEA NA HIZI VURUGU ZOTE NI ASKARI POLISI HAKUNA MWENGINA ANAE ANZISHA

NA USHAHIDI WA YOTE HAYO KAMA MUNAKUMBUKA TUMEANZISHA MIHADHARA TOKA MWANZOWA MWEZI WA KWANZA MPAKA MWEZI WA TANO NAA MWISHO WA MWEZI WA TANO NDIO ZIKANZA VURUGU TENA WALIANZISHA WAO SIO SISI.  SASA NI NINI MAONI YAKO KWA WANANCHI..? NAWAOMBA WANANCHI WATU NAAA WASIFANYE VURUGU ZA AINA YOYOTE NA NCHI YETU TUNAIPENDA LAKINI WANATAKIWA WAWE IMARA KATIKA KUTETEA HAKI ZAO KWA SABABU HIZI NI AWAMU ZA SHERIA NA AWAMU ZA UWAZI NA WATU WA DUNIA NZIMA NDIVYO INAVYO KWENDA HIVI NA VIONGOZI WOTE WAJUWE KUWA ASIYEKUBALI MABADILIKO WAKATI UTAMBADILISHA KWA NGUVU AKITAKA ASITAKE. SHEIKH FARID SWALI LANGU LA MWISHO POLISI AY WATU WA USALAMA WANAWEZA KUSEMA KUWA WALIKUCHUKUWA WANATAKA KUKULIZA AU KUKUHOJI AU KUKUTIA HOFU LICHA YA MASWALI YOTE NA VITISHO VYOTE NINI MSIMAMO WAKO KATIKA SUALA LA KUTETEA ZANZIBAR.

 MIMI KATIKA MSIMAMO WANGU NA KUITETEA ZANIBAR LIPO PALE PALE  TENA LIMEZIDI HASWA ZANZIBAR TUTAITETEA MPAKA TONE LA DAMU LA MWISHO KABISA MADAMU TUNACHOKIFANYA NI KATIKA SHERIA NA KATIKA TARATIBU ZA NCHI KAMA ZILIVYO HATUJA KIUKA KABISA SHERIA NA TUNAKWENDA KATIKA MIPANGILIO YA SHERIA KWAHIYO TUTAENDELE KUITETEA MPAKA DAKIKA ZA MWISHO NA KUITETEA NA KUTETEA ZANZIBAR YETU MPAKA IREJE NI DOLA HURU KAMA ILIVYO KUWA 63 NCHI KAMILI YANYE MAMLAKA KAMILI HAIULIZWI NA MTU INAJIHOJI WENYE MAMBO YAKE YOTE INATAMBULIKA KITAIFA NA KIMATAIFA INAJULIKANA NA HISHMA YAKE KAMILI HILO NDIO TUNALOLITAKA HATUTAKI JENGINE HATUTAKI KITU KWA DUNGU ZETU WA KITANGANYIKA SISI HATUTAKI JENGINE WAKITUFANYIA HILO TUTAWAPENDA ZAIDI WATAKUWA WAMETUTENDEA UWANDILIFU SASA WATU WAMEFURAHI SAN HAPO NJE.. NAAM NA WAPO JE WATAENDELE KUKA MPAKA ASUBUHI...? SIWEZI KUJUWA HILO KAWAULIZI WAO UKISHUKA HUKO CHINI WATAKA MPAKA ... AH WEWE SASA UTAWAMBIA NINI..?
MIMI NITAKA MPAKA NTAACHOKA NIKICHOKA NITAWAMBIYA JAAMAA MIMI NIMECHOKA NATAKA KWENDA KUPUMZIMA MAANA SASA HIVI TAYARI SAA SITA KWENDA JUU ASANTE SANA SALAMU ALEIKUM.

No comments:

Post a Comment