Monday, October 29, 2012

MAJINA YA WATU WALIO PINGWA VIBAYA NA WASHENZI WA SHEIN NA MZEE ALIYE ULIWA MWANAE IDDI MOSI-HONGERA SHEIN


Baba wa Marehemu Hamadi Ali Kaimu aliyeuliwa na vipigo vya jeshi la polisi siku ya Idi mosi

Walioathirika na vipigo vya uvamizi wa washenzi wa shein mpaka siku ya Jumapili ya tarehe 28/10/2012 ni wakiwemo hawa wafuatao:
Baadhi ya waliovamiwa na kupigwa vibaya na washenzi wa shein
 JINAPAHALA ALIPOPIGWA
1.Juma AbdiDukani Bububu
2.Khamis (Mshona viatu)Dukani Bububu
3.Asma na watoto wakeNdani ya nyumba yao Bububu
4.Juma na mke wakeDukani Bububu
5.Kocha TaibuDukani Bububu
6.Muuza magazetiBarabarani kazini kwake Bububu
7.Ali  Yussuf ChokiDukani Bububu
8.Ubwa na wateja wakeGareji Bububu
9.Shamis AmiriDukani Bububu
10.Mtoto mdogo wa miaka mitatu (3) wa Bi Salma FakiNyumbani kwao Bububu
11.Zahor KhalfanBububu
12.AhmedBububu
13.Mashavu MbaroukBububu
14.Khalfan Moh’dBububu
15.Suleiman Ali AlawiBububu
16.Ali SuleimanBububu
17.Said SuleimanBububu
18.Salma AbdallaBububu
19.Raya Moh’d (Robo)Bububu
20Ali Abdalla SalehBububu
21Salum RazaBububu
22.Khalfan Abdalla AliBububu
22.Nayadi Moh’dKikwajuni
23.MirajiJang’ombe

No comments:

Post a Comment