Wednesday, October 31, 2012

WAZANZIBARI MJUWENI JOHN OKELLO MPYA ANAE WAUWA WAZANZIBARI


JOHN OKELLO WA 1964 ALIYE WAUWA WAZANZIBARI NA KUWAPIGISHA MIKWAJU NA KUWA TESA MPAKA KUFIKIA KUKIMBIA NCHINI KWAO

JOHN OKELLO MPYA WA 2012
HUYU NDIE JOHN OKELLO WA SASA ZANZIBAR ANAYE WAUWA WAZANZIBARI NDANI YA NCHI YAO NA KUWATISHA VIBAYA SANA NA KUWAPIGISHA MIKWAJU YALE YALE ALIYO FANYA JOHN OKELLO 1964 KATIKA NCHI HII YA ZANZIBAR BAADA YA MAKA TAKRIBAN 50 KUKARIBIA AMEZUKA JOH OKELLO MPYA ASIYE NA HURUMA KABISA NA WAZANZIBARI WALA ASIYEJALI UTU MPAKA SASA ASHAWAULISHA VIJANA WATATU BURE BILA YA SABABU NA ASHAWANYOLESHA WATU NDEVU NA NYWELE KWA VISU NA WANAWKE KUVULIWA HIJABU NA NIKAB NA MENGINE MAGI TU AMBAYO HATUYAJUWI ANAYOWAFANYIA WAZANZIBARI KATIKA WANTANAMO YAKE YA MADEMA WAZANZIBARI MJUWENI JOHN OKELLO MPYAA.KAMISHA JOHN OKELLO UKUMBUKE KUNA WALIOKUJA KABLA YAKO WAKAWA NA KIBRI NA TEKEBURI NA JEURI NA KUWAZULIA UWONGO RAI WEMA ZAIDI YAKO. LEO WAKO WAPI..? SISEMI KUWA WAMEKUFA TU, BALI WAMEDHALILIKA KULIKO IDHALALI WALIO WADHALILISHA WAZANZIBARI WAKATI WALIPOKUWA MADARAKANI.WAMEDHALILIKA KULIKO IDHILALI UNAVYOIJUWA WEWE. YUKO WAPI HASSANA MANDERA,(BAMKWE)..?UNAJUWA ALIKUFAJE..? YUKO WAPI ABDALLA RASHID (MAMBA) UNAJUWA ALIKUFAJE..? LABDA NIACHIYE HAPO USIJE UKASEMA  NAKUTISHA SANA KWA KUKUVUTISHA RUWAZA ZA KIFO. NIKUKUMBUSHE KIDOGO KWA ALIYEKUWEPO HAI JE UNAMJUWA GEORGE KIZUGUTU..? UNAYAJUWA YALIYOMFIKA HATA AKAONDOKA HAPA ZANZIBAR. KAMUULIZE!!!!!!

No comments:

Post a Comment