Wednesday, April 15, 2015

VIDEO-WAMEIBAA WEEEEE MPAKA SASA WANAUZA MPAKA PICHA DUUUUUUUH NCHI WASHAIMALIZA


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Ndg Borafya Simali akizungumza wakati wa hafla ya Chakula cha Hisani Kuchangia Mfuko wa Maendeleo wa Mkoa wa Mjini Unguja, iliofanyika katika ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar jumla ya shilingi milioni 400, zimechangiwa usiku huo, Fedha taslim shilingi milioni 91.2 zimechangwa usiku huo na ahadi iliotolewa ni shilingi milioni 316.  

Nchini Zanzibar ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, na Viongozi wengine wakiwa katika ukumbi wa Salama wakifuatilia hafla hiyo ya kuchangia Mfuko wa Maendeleo wa Mkoa wa Mjini Unguja. anaefuata ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM nchini Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai, Balozi mdogo wa nchi ya Tanganyika nchini Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe Shamsi Vuai Nahodha.  
MTAUZA MPAKA SUTI ZENU KISHA MWENDE DISCO MALAPA

Nchini Zanzibar ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi picha ya Mzee Abeid Amani Karume Mfanyabiashara Tofiq Salim Turky baada ya kuinunua katika mnada huo iliuzwa shilingi milioni 5, ikiwa ni kuchangia Mfuko wa Maendeleo ya Mkoa wa Mjini Unguja Zanzibar. hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Salama Bwawani Hoteli.

Nchini Zanzibar ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Picha ya Kuchanganya mchanga kuashiria kuunganisha Zanzibar na Tanganyika na kupatikana Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Baada ya kubarikia picha hiyo Mtoto wa Mzee Nyerere Ndg Makongoro Nyerere aliyoinunua kwa shilingi milioni 2.5, katika mnada huo wa kuchangia mfuko wa maendeleo.

Baadhi ya washiriki wa Chakula cha Hisani Kuchangia Mfuko wa Maendeleo wa Mkoa wa Mjini Unguja wakifuatilia hafla hiyo iliofanyika ukumbi wa Salama Bwawani Hoteli Zanzibar.
HII KITU INAWAFANYA MUUZE KILA KITU
Nchini Zanzibar ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein, akiangali moja ya picha iliopingwa mnada ikimuonesha wakati akiwa hapa nchini Zanzibar kama Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akikaguwa gwaride rasmin katika uwanja wa Amaan Zanzibar. 

Nchini Zanzibar ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Picha Mhe Mohammed Raza baada ya kuinunua katika mnada huo kwa shilingi milioni 5,  

Wananchi na Viongozi wa Vyama vya Siasa wakiwa katika ukumbi wa Salama Bwawani wakifuatilia hafla ya kuchangia mfuko wa Maendeleo ya Mkoa wa Mijini Unguja Zanzibar.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

No comments:

Post a Comment