Thursday, April 23, 2015

VIDEO-MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI TANGANYIKA ANZA KUCHANGANYIKIWA HATA UCHAGUZI BADO

Polisi watumia risasi za moto kufuatia vurugu Dumila..hivi ndio polisi wanavyo linda mali za rai..??
MSAJILI WA VYAMA AKIWA NA JAMBAZI KUU LINALO WAIBIA WAZANZIBARI KUMBE NYINYI MARAFIKI DUUUUUUUUUUUH!!!!!!
WEWE MSAJILI WA VYA USHA VUTA NINI AU USHAPATA HEBU ANGALIA VIDEO HIZI MBILI KISHA TUAMBIYE HIVI NDIVYO POLISI WANAVYO LINDA MALI ZA RAI AU WANAWALINDIA NYINYI MPUNGA WENU MUSHAONA UNAWATOKA WANANCHI HAWAWATAKI TENA NA UWONGOZI WENU WA WIZI WATUPU 
Nchini Tanganyika jijini Dar es Salaam. Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanganyika, Jaji Francis Mutungi ati na yeye anaanza kufunguwa mdomo wake na kusema amevitaka vyama kurekebisha katiba zao kwenye kipengele kinachoruhusu kuanzishwa kwa vikosi vya ulinzi na usalama. (swali wewe ni msajili wa vyama au mrekebishaji wa katiba za vyama...?) Vyama vyenye vikosi cha ulinzi na usalama ni Chadema chenye Red Brigade, CCM (Green Guard), CUF (Blue Guard) na sasa ACT-Wazalendo (ACT Amani). Mutungi alisema uanzishwaji wa vikundi hivyo unakwenda kinyume na Katiba ya nchi. (swali katiba ya nchi ipi ya Zanzibar au ya Tanganyika.....?? swali la pili kwani Tanganyika bado ipo inayo katiba....??) inayolipa jeshi la polisi mamlaka ya kulinda usalama wa raia na mali zao.


Polisi washambuliawaandishiwa habari hivi ndivyo polisi wanavyo linda rai na mali zao sio...?


Akizungumza baada ya mkutano wake na vyama hivyo jana, Jaji Mutungi alisema katiba za vyama vingi vilivyosajiliwa kabla hajaingia ofisini vilikuwa na kifungu kinachoruhusu kuanzishwa kwa vikosi vya ulinzi na usalama wa mali za chama au viongozi wao wawapo katika mikutano. “Haturuhusu kifungu hicho kuwapo kwenye katiba za vyama vinavyosajiliwa sasa (hakugusia ACT - Wazalendo). Hatuvifundishi vyama vya siasa namna ya kuandaa katiba zao lakini tunasimamia kifungu hiki kwa vile kinapingana na sheria.” Jaji Mutungi alisisitiza kuwa vyama vya siasa nchini havina uelewa wa sheria ya vyama vya siasa ambayo ndiyo inayovisimamia, ndiyo maana vinashindwa kuendesha shughuli zao kwa mujibu wa sheria hiyo.
Nae Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanganyika (IGP), Ernest Mangu alisema atii watapambana na vikundi vya ulinzi na usalama ndani ya vyama vya siasa wakati wa Uchaguzi Mkuu endapo vitaingilia majukumu ya jeshi la polisi.(( mbona unajishuku na kuanza kuropoka kuhusu uchanguzi mushazoe kusaidia kuiba kura ili CCM ishinde mara mumechelewa na mukijaribu ndio mwisho wenu wakuwa polisi bora muungane na wananchi muiwache CCM izame peke yake baharini)) 
Alisema uanzishwaji wa vikundi hivyo ni kinyume cha sheria inayolipa Jeshi la Polisi dhamana ya kulinda usalama wa raia na mali zao. ((hamuna lolote wezi wakubwa majambazi yameja yanauwa watu kila siku watu wanaibiwa kila siku nyinyi kazi yenu kuuwa rai wasi na hatia wanapo dai haki zao mbona hamukuwashika wale wezi wa EPA,ESCROW kwa kuwa munaiba pamoja sio...?)) Alisema vikundi hivi vilianzishwa kama chipukizi au halaiki lakini baadaye vilikuwa na kubadili malengo na kuanza kuingilia majukumu ya polisi na kuhatarisha amani.((nyinyi ndio wamwanzo mnao vija amani na wala polisi hamjuwi kazi yenu zaidi ya kuuwa rai wasio na hatia.))
Hata hivyo, kauli za Msajili na Mangu zilipokewa kwa hisia tofauti na viongozi wa vyama hivyo na baadhi vikiweka wazi kuwa havipo tayari kuachana na vikundi hivyo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM – Zanzibar, Vuai Ali Vuai alisema vijana wa Green Guard hawaandaliwi kijeshi na kuwa tishio kama vyama vingine, bali kuwafanya wawe vijana bora, wakakamavu na kuwajengea uzalendo ndani ya nchi yao.((au sio kisha kazi yao ni kupiga mawe watu wakirudi mikutanoni na kupiga kura mara kumi kumi siku za uchanguzi mkuu kuuwa watu kisiri siku za changuzi na kubaka wanawake wasio ipenda CCM au sio vuai...??))
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alisema chama chake hakipo tayari kuivunja Red Brigade huku akiilaumu CCM kuwa kikundi chake cha Green Guard kimepata mafunzo ya kijeshi kikifundishwa na askari tofauti na wao ambao wanafundishwa na raia.
Akihutubia mkutano wa hadhara mjini Nzega jana, Mbowe alisema suluhisho la tatizo hilo haliwezi kuwa sheria bali kuhakikisha haki inatendeka na inaonekana kutendeka kwa kila chama, akitolea mfano jinsi viongozi wa chama hicho walivyopigwa na Green guard bila polisi kuchukua hatua.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

No comments:

Post a Comment