TUNAVUTANA NA WENYE VITAMBI NA MASHAVU VIONGOZI MAFISADI
WAZANZIBARI SIO WATUMWA WA CCM MZANZIBARI UNADAGANYWA NA JAZI,MPIRA,KANGA,VITEGE, MPAKA LINI

WAZANZIBARI TUMECHO HAKI WAPI TUTAIPATA IKIWA CCM BADO ANATULA MAISHA YANAPANDA MISHAHARA HAIPANDI


MUDA WA VITENDO SIO DOMO TUPU MIAKA 50 NCHI INANUKA

MUKIFA HAMTAZIKWA NAZO HIZO PESA KAZI KUTUZIMIA UMEME


TUMECHOSHWA NA RUSHWA ZA POLISI NA VIONGOZI WOTE KWA UJUMLA

MAYATIMA WAMEJA NYINYI HATA HABARI HAMUNA
SEREKALI WEZI,MAFISADI,WAUWAJI,WAKADIMIZAJI WA RAI WAKE


JUKUMU NI LAKO WEWE MWANANCHI KUCHAGUWA HAWA WAROHO AU VIONGOZI WA KWELI

PART 1 PART 2 YA NYIMBO HII IKO CHINI HAPO UJUWE UWONG WA VIONGOZI WETU MAFISADI

PART 2 NDIO HII MWANANCHI ZIDUKA HAWA SIO VIONGOZI

UHAMIAJI MBONA MATATIZO PASPOTI NI HAKI YA KILA RAI SIO IGEUKE KUWA ALMASI
MZANZIBARI ZIDUKA ZANZIBAR KWANZA CCM SIO SIO KABISA

WAUGUZI MNATUTHALILISHA

HODI HODI MGANGA

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO
No comments:
Post a Comment