WASHENZI WA SHEIN WANAENDELEA KUWASHIKILI WAKOMBOZI WA ZANZIBAR DIKTETA SHEIN ASEMA ATAWASHUGHULIKIA WALE WOTE WANAOJARIBU KUITOWA ZANZIBAR KATIKA MAKUCHA YA TANGANYIKA
Hii ndio hali inayoikabili Zanzibar kwa sasa — mpaka jana nipo msikitini kwa
sala ya Ijumaa walikuwa jamaa hawa wa vikosi vya SMZ wanaimba na kuisulubu
UAMSHO na viongozi wake huku wakiwataja kwa majina na kusema kuwa ‘tumewanyoa
ndevu’ n.k pamoja na kugha jengine za kejeli na matusi, na idhalali.
Zanzibar tumefika hapa, angali kwa makini:
1. Tunapachua bendera za UAMSHO
[
zilizoandikwa lailah ila-llah] chini ya mtutu wa bunduki, badala yake
zinapachikwa bendera za CCM.HONGERA SHEIN
2. Wamenyolewa ndevu masheikh wetu, viongozi wetu mamiri wetu wakombozi wetu viongozi wa dini (alama muhumi
katika uislamu na sunna kubwa kuweka ndevu); lakini tumeridhia sana na kuwaacha
vijana na kufuga nywele ‘rasta’. Tumefika hapa.HONGERA SHEIN
3. Tumezuia kusali hadharani [uwanjani kama zilivyo sunna] na baadhi ya
misikiti kuzuiliwa kusali,HONGERA SHEIN na tumeruhusu msikiti kama ule pale Mwembeshauri,
masjid mushawar wa serikali – kusali, na kutumika kama platform ya kuwatukana na
kuwakashif na kuwahukumu viongozi wa UAMSHO ndani ya msikiti, mbele ya viongozi
wote wa SMZ, na wa dini – akiwa Fadhil Soraga amesimama juu ya mimbar ya msikiti
akitukana na kutoa hukumu dhidi ya akina Farid na wenzake.
4. Jamani eee ….. kesi hii iko mahakamani bado, lakini leo tunaona wazi wazi
– Shein (MTUMWA WA WATANGANYIKA,anae jifanya anajua utawala wa sheria) anatoa hukumu dhidi ya
viongozi wa UAMSHO, kwakutumia platform ya baraza la Eid, tunashuhudia Mohammed
Aboud anatoa statement za kuwahujumu watuhumiwa, tunamuona Soraga anatoa hukumu
dhidi ya watuhumiwa, tunamuona na kumsikia Mussa Ali Mussa, kamishna wa polisi
firauni anatoa hukumu dhidi ya suspects kabla ya hata mahakama kutoa hukumu. CCM
Kisiwandui kama kawaida, pia wanatoa hukumu dhidi ya akina Farid na wenzake
kabla ya mahakama kuamua. Kisheria tunasema hakuna aliye juu ya sheria…..na
huwezi kuamuliwa wewe ni muhalifu au laa, before the court. Hapa ibara ya habari
hii ni kubwa. Lakini viongozi wetu, kama ninavyosema siku zote, kuwa wanaishi
katika impunity – hawajali kufanya makosa, na wanajisifu kwa fakhari kubwa.
Kweli akina Farid na wenzake wa UAMSHO ni ‘watu wabaya sana..?’, SMZ viongozi
wake, na DPP office, na Mahakama – wazuri kiasi gani ikiwa wameuwa mtoto bububu miaka 14.
Angalia — DPP Office chini ya Ibrahim Mzee (huyu mzalendo mnayemchekea sana
humu ukumbini eti anaitetea Zanzibar kupitia makongamano ya BLW, na ule uchepe
unaofanywa na akina Hamza, Asha Bakari na wenzake) – leo kesi kama hii
inayowakabili akina Farid and others iko wazi kabisa kuwa BAILABLE/yaani
inadhaminika; leo DPP inaingiliwa na mifumo ya siasa chafu za Zanzibar na
kuwanyima dhamana watuhumiwa hawa.
* DPP office inakubali kupinda ethics na taratibu zake za kazi pengine kwa
kuwaridhia ‘mabwana’ wakubwa. Yuko wapi Abubakar Khamis Bakari mnafiki, Waziri wa Sheria
under GNU. Kweli haki hii..?
Lakini yote ya nini haya: chanzo ya switilfahamu hii ni kuelekea kupata
katiba mpya. Awali, nilisema kuwa Katiba MPYA ndio chanzo cha fitna, na ndio
source ya kuimaliza Zanzibar. Sasa, tusubiri SERIKALI MOJA NDIO LILILOBAKIA NA SHEIN NDIO ALIYECHANGULIWA KUTUMALIZA.
Kumbuka kuwa Mjini Magharibi ndio wataofuata kutoa maoni, na mmemuona na
kumsikia jaji Warioba alivyokuja hapa kutisha watu – na wajumbe wa BLW. Na
bado………..mtaona kibano.
* Nyie pigeni kofi kwa GNU, Katiba Mpya, na mambo kama hayo. Hivi sasa, SMZ
inachagua vijana ‘makini’ na kwa siri kubwa “wao kwa wao” kuingia katika tume ya
kubadilisha katiba mpya — kwenda kufanya kazi maalum huko. Yatafuteni
mtayapata.
* Hawa wanaingizwa kwenda ‘kuchakachua’ na kuandika vile wanavyotaka wao, sio
walivyosema wananchi au wanavyotaka wananchi wa Zanzibar. never be……Tume ya
Warioba wakaridhia watachosema au watachotaka Wazanzibari. Hii ninasema wazi na
kujiamini kuwa NEVER BE! Hii wiki hii tu, kuna vijana, the so called lawyers —
wanakwenda DAR na tayari wamepangiwa kila kitu huko kwa ajili ya kufanya kazi
hiyo.
* Unajua system ya TZ ni ‘nzuri’ sana: kuiba mali ya Umma is OK, kuuza unga
(cocaine) is OK…..na uharamia unaoujua wewe fanya, lakini usipinge muungano tu;mzee karume kasema muungano n koti kenda na maji jumbe halkathalika seif sharrif kapewa funzo sasa yuko pamoja nao
hili ndio kosa la UAMSHO!! Uamsho ilikuwa wasimame katika viriri na kusema
“Muungano Oyeeeeee’, JK Oyeee, Mwalimu Nyerere oyeeeee…………hapo ungeliona mambo
yao yangalikuwa super.
Sympathy ziende kwa viongozi wa UAMSHO. Ni Wazanzibari pekee wanaoitetea
Zanzibar lilah taaala, bila kulipwa katika vikao vya kamati kuu au vya kiwizara,
wala hawana posho au mshahara. Ni viongozi pekee genuine, with a genuine heart
kwa ajili ya Zanzibar.
La mwisho, zanzibar broadcasting Corporation (ZBC) imetoa barua kutaka vyombo
vyooote vya habari Zanzibar visiandike au kuchapicha au kutangaza habari za
UAMSHO. Mimi nafikiri kisheria hawana mandate hii, wenye mandate hii ni Idara ya
habari maelezo. Mnaona tunavyotoa maamuzi kishabik shabik hivyo? Ukwereketwa
mbele. Naam….! UAMSHO CHINI, VIKOSI VYA SMZ JUU. DAIMAAAAA!