

MAJAMABAZI WA MAMILLIONI YA MAPESA YA WANANCHI. YANGETUMIKA KWA KUINUWA HALI ZA MAISHA YA WANANCHI ILA LAA WAO WANAIBA WAKITUMIA WAO KATIKA MAISHA YAO NA MAENDELEO YAO BINAAFSI
KESI ZA KUSINGIZIWA NA KUKANDAMIZWA ILI WASISEME UKWELI KUHUSU NCHI




KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.
No comments:
Post a Comment