![Meli ya MV MAPINDUZI II yatia nanga Bandari kuu ya Zanzibar ikitokea Korea Kusini. Picha na Miza Othman-Maelezo Zanzibar](https://zanzibariyetu.files.wordpress.com/2015/12/dsc_0364.jpg?w=584&h=391)
Meli ya MV MAPINDUZI II yatia nanga Bandari kuu ya nchi ya Zanzibar ikitokea Korea Kusini.
![Meli mpya ya MV. MAPINDUZI II ikiwa nje kidogo ya Bandari ya Zanzibar kabla ya kufunga gati bandarini hapo](https://zanzibariyetu.files.wordpress.com/2015/12/dsc_0237.jpg?w=584&h=391)
Meli mpya ya MV. MAPINDUZI II ikiwa nje kidogo ya Bandari ya nchi ya Zanzibar kabla ya kufunga gati bandarini hapo.
![Sehemu ya ndani ya Meli ya MV. MAPINDUZI II itakayotumika kwa ajili ya mapumziko kwa abiria watakao safari](https://zanzibariyetu.files.wordpress.com/2015/12/dsc_0269.jpg?w=584&h=391)
Sehemu ya ndani ya Meli ya MV. MAPINDUZI II itakayotumika kwa ajili ya mapumziko kwa abiria watakao safari na meli hiyo.
No comments:
Post a Comment