![](https://fbcdn-sphotos-g-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xft1/v/t1.0-9/5863_951157298293609_2325677499904632958_n.jpg?oh=1cbbb4eea2ddb4ea2f4994e5a6075496&oe=5709B3CC&__gda__=1460500751_cb770707ec0a77c59aab1849b7f97e2f)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhaM7IDRiKv48YSGArcDrfij7H6RoFyF7w37kTyGXZbw1op0kw7it98AqAWtB_OpeH-rDiF1mYIpJ2mNbEnjNF-gojgoK90c8-KlKFHZIt3t2n6IsiV6iEXH4Rn3IqBCsVEhZlNlqhA6_MA/s640/9d38830b-ab53-4915-aebb-766571974852.jpg)
![](https://fbcdn-sphotos-f-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xft1/v/t1.0-9/941019_951157311626941_2075831380601372879_n.jpg?oh=81ae28b2a4ddfb5b429a6ca9725b572e&oe=5706A3CD&__gda__=1456717938_7352a31a96ba19d4354918890156da83)
![](https://fbcdn-sphotos-c-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xpt1/v/t1.0-9/12313909_937135656362440_5236226201457668067_n.jpg?oh=bd87532808fef9e010f28cc4e8a85e82&oe=5713AB3D&__gda__=1460202809_608da1e483ba5bdc6e8481afa73c9fbe)
Kabla ya 1963. Wakitoka Karume , Shamte , Ali Muhsin , Hasnu Makame na hata Babu…. Wote kiguu na njia kwenda Lancester UK kudai “Uhuru” wa nchi yetu ya Zanzibar kutoka Uingereza. Muda walipoteza mpaka wakafanikiwa……Zanzibar ikafurahi sasa wapo Huru. Yakaja Mapinduzi na Muungano Feki sasa tanga 64 tunapigishwa safari za Dodoma na Dar kwa Mkoloni Mweusi Tanganyika. Alianza Karume mwenyewe kwenda kuramba miguu Akauliwa wakatuwekea Jumbe. Nae japo ni Gavana lakini ni Muislam na kaoa huku yule akawa anataka kupata maslahi ya wajukuu zake akaambiwa 1+1 = 3. Akawekwa kifungoni Kigamboni tuli mpaka Kazeekeya Kigamboni.
Wakaja kina Seif nao yakawafika ya kuwafika, Salmin naye alijaribu kutikisa kibiriti ..kikamuwakia mwenyewe Akaja Bilal kafanya zogo akaambiwa nyamaza wakampeleka Dodoma mpaka kazeekea huko kimya Akaja Karumu mdogo naye yalomkuta kuzomewa na kuchorwa na wabara wa Kisonge katika ubao wa kisonge na mengine mengi, Walikuja kina shamsi vuai na wengine wakaambiwa hapa tutampa Shein..Amri ya Dodoma kwisha wakaufyata. Sasa haya Juzi tena Seif Kashinda tena kwa kishindo kikubwa amri haijatoka nani apewe kwani Shein imani yake inamsuta kukubali kuijitangaza kakataa sasa Jecha akaambiwa koma kumtangaza Seif …unawajua Dodoma wewe...? Kalikoroga sasa ajificha kila kona laana kwake..
Sasa cha kusikitisha safari zimeanza tena ..lakini hizi si za Lacenster kudai kwa Muingereza hizi za Dodoma na Dar kwa Mkoloni Mweusi Tanganyika kuomba kwa mabwana zetu wapya Makaburu Weusi hawa Tanganyika…Kaanza seif iddi...Akafata seif sharif...Sasa zamu ya shein.
Hii si bure …tuna utandu wa ubongo unazuia kufikiri kama watu huru..tupo muflis….dhambi kuu mara nyingi laana huja kwa wote…na ndo yatupatayo hivi sasa,
CCM mutakoma mukilazimisha kurejewa kwa uchaguzi, itakuwa ni historia yenye kukumbukwa kwa muda mrefu. Na wewe mkoloni Tanganyika tosheka na kwako Mungu kawapeni ardhi na raslimali za kutosha kama lazima mutuchukulie nchi yetu ya Zanzibar jitayarisheni na hiyo Tanganyika kukunyanganyeni shwain
ReplyDelete