Wednesday, June 1, 2016

VIDEO-BAADA YA MSHAURI WA SHEIN KUFUMANIWA AKIMLA AU AKITAKA KUMLA URODA,KUMCHOKORA MTOTO WA MKE WAKE MENGINE YAANZA KUIBUKA

Hivi karibuni, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Kaskazini Pemba, Dadi Faki Dadi ambae sasa ndio Mshauri Mkuu wa Shein katika serikali yao feki inayo lindwa na Jeshi la Mkoloni Mweusi Tanganyika au Makaburu Weusi Tanganyika, alietiwa nguvuni na baadaye kuachiwa na jeshi la poliCCM kwa tuhuma za kukutwa kwenye chumba cha nyumba ya wageni akiwa na binti wa mke wake wakiwa nusu uchi. Licha ya kuwa jeshi poliCCM limemuachia na baadaye kumtetea kuwa hakutenda makosa, sasa makaburi yameanza kufunuka kutoka kwa watu wanaomtuhumu kiongozi huyo kuwadhalilisha kingono haya Mkadamu Wewe sisipolisiCCM tena umekuwa wakili wa Wabakaji au wakili wake haya huu hapa ushahidi Mwengine Mtete tena basi Pumbavu wabakaji wakubwa nyie M.Mungu atawadhalilisha moja moja Mpaka mtaiyona Zanzibar chungu kama shubili Angalia vidio hii.
KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KATUPINDUWA TENA WAZANZIBARI NA KUWEKA VIONGOZI WAWATAKAO WAO WAKINA BT TUNAENDELEA TENA KUKA CHINI YA SERIKALI YA KIKOLONI YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA MPAKA MIAKA MITANO IMALIZIKE KISHA TUTIWE TENA KATIKA SHENGESHA LA UCHAGUZI NA KUPIGA KURA KISHA WAZANZIBARI WAPIGE KURA NA KUCHAGUWA VIONGOZI WAWATAKAO MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA ATAKUJA NA STYLE MPYA YA KUZIPIGA KURA ZA WAZANZIBARI CHINI NA KUTUEKEA VIONGOZI WAWATAKAO KISHA TUTAKA TENA CHINI NA KUSUBIRI UCHAGUZI WA 2025 MAMBO YATAKUWA HIVYO HIVYO KISHA TUTAKA CHINA NA KUSUBIRI UCHAGU WA WA 2030 TUKIWA HAI KAMA HATUKO TENA WATAKAO BAKI WATAFANYIWA TENA HIVYO HIVYO NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KISHA WATAKA CHINI WASUBIRI......>>> MPAKA KIYAMA KISIMAME BASI NI BORA TU TUKUBALI KUWA NDIO TUMEKUBALI KUWA CHINI YA MKONI MWEUSI TANGANYIKA KULIKO UPUMBAVU HUU WA UCHAGUZI AMBAO KILA MOJA WETU HAPA ZANZIBAR KAMA UCHAGUZI WA MARA HII HAUJAWASOMESHA WALA HATUTA SOMA TENA MILELE. 

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment