Kwa mamlaka aliyopewa Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein amefanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri ambapo Ramadhan Abdallah Shaaban amekuwa Waziri Ardhi, Maakazi, Maji na Nishati, Ali Juma Shamhuna amehamishiwa wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, Suleman Othman Nyanga amepeleka Wizara ya Kilimo na Maliasili na Mansoor Yussuf Himid amekuwa Waziri asiye na wizara maalumu, na Abdillahi Jihad Hassan amehamishiwa wizara ya Mifugo na Uvuvi na Said Ali Mbarouk amehamishiwa wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii Michezo na pia Rais amemteuwa Sheha Mohammed Sheha kuwa mshauri wake Kisiwani Pemba
1)MASHEHA NINI WANACHOKIFANYA CHA MUHIMU..?
2)ALI JUMA SHAMHUNA NI MSALITI WA ZNZ KWA KUIUZA BAHARI SASA MUNAMPAWIZARA YA ELIMU AKAFELISHE WATOTO WETU SIO..?
ZANZIBAR BADO KABISA BADO KABISA MAMBO NI YALE YALE HUYU NI MTOTO WA FULANI APEWE UWAZIRI NA HUYU BABA YAKE ALIKIFATHILI CHAMA CHA ASP NA HUYU ANATUPINGIA DEBE WAKATI WA UCHANGUZI APEWE UWAZIRI UPUUZI MTUPU INGELIKUWA NCHI ZA ULAYA ZIKO HIVI WASINGELIFIKIA MAENDELEO WALIO NAYO NA TUNAONA KWENYE TV JINSI NCHI ZAO ZALIVYO NA SISI KAMA TUNATAKA MAENDELEO KWANZA TUFUTE KABISA MAMBO YA HUYU NI FULANI NA MTOTO WA FULANI LA SIVYO ZANZIBAR ITAENDELEA KUNUKA NA UMASIKINI UTAZIDI ZAIDI NA ZAIDI HONGERA MANDELA WA ZANZIBAR HAHAHAHAH
No comments:
Post a Comment