Wednesday, April 4, 2012

WAZANZIBAR WANAOITETEA NCHI YETU YA ZANZIBAR KUWA HURU

Wananchi mbali mbali walioshiriki katika Mhadhara wa Kiislamu uliofanyika leo uwanja wa Ijitimai huko Mwanakwerekwe, Mhadhara huo umetayarishwa na Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) juu ya kuwahamasisha wazanzibari kutetea nchi yao wakati wa mchakato wa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania utakapoanza, Mhadhara kama huo utafanyika kesho hapo hapo jioni, Na asubuhi kutakuwa na mkutano uliotayarishwa na Baraza la Katiba likiwa na lengo la kutoa elimu kwa raia juu ya katiba mpya hapo Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA) Ally Saleh ataongoza na huko Wete Pemba Professa Abdul Shareef atakuwepo Chuo Cha Benjamini Mkapa Wete karibuni kwa wingi kwenda kusikiliza na kutoa maoni yenu juu ya katiba mpya itakayoanza hivi karibuni kama sisi sote ni wazanzibar na tuna uchungu na nchi yetu basi natujumuike sote na tushikamane na kamba ya mwenyezi mungu ili tuwashinde maaduwi zetu na wanafiki.kama unavyo una mpaka vyuo vinapewa jina la kafiri huyu aliye wauwa dunguzetu tena kwenye mahali ambapo haswa kawauwa na jina lake lipo ili watu kila wakika wanamkumbuka jinsi alivyo wauwa je wazanzibar mupoo wazanzibar mupoo wazanzibar mupoo je tunataka nchi yetu irudi kama ilivyo kuwa je tunataka uhuru wa nchi yetu je tunataka tuwe tunaendesha nchi yetu wenyewe je tunataka majina ya barabara na vyuo vibadilishe na kuekwa majina yanayo stahili...??? huu ndio wakati huu ndio wakati  wazanzibar mulio hapa zanzibar na mulio nje ya zanzibar mushikamane mushikamane jamaa kuikombowa nchi sio kazi rahisi ili ikishakuwa huru utamuwake unashinda asali tushikamane jamaa kwa sote.





DUNGU ZETU MULIO NJE MUSITUANGUSHE SHEKAMANENI NA KAMBA YA M/MUNGU NA WALA MUSIFARIKIANE TUWE PAMOJA MPAKA NCHI YETU YA ZANZIBAR IWE HURU.

No comments:

Post a Comment