Tuesday, April 3, 2012

HUU NI MJADALA WA KATIBA ULIOANDALIWA NA TASISI YA KISLAMU NA WANANCHI WA ZANZIBAR NDANI YA NCHI YETU HAPA ZANZIBAR


MOJA KATI YA VIONGOZI WENYE KUPINGANIA UHURU WA JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR AKIHUTUBIA WANANCHI WA ZANZIBAR

MOJA KATI YA VIONGOZI WENYE KUPINGANIA UHURU WA JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR AKIHUTUBIA WANANCHI WA ZANZIBAR
MOJA KATI YA VIONGOZI WENYE KUPINGANIA UHURU WA JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR AKIHUTUBIA WANANCHI WA ZANZIBAR
WANANCHI WA ZANZIBAR WALIOHUTHURIA KTK MKUTANO NA KUWASIKILIZA VIONGOZI WAO KWA MAKINI KABISA
UMATI ULIO FURIKA KUSINGILIZA MKUTANO WA MJADALA WA KATIBA IKIENDELEA
WANANCHI WA ZANZIBAR WAKIFURAHI KABISA MANENO MAZURI WANAYO AMBIWA NA VIONGOZI WA NA JINSI YA KUITOWA ZANZIBAR KTK MAKUCHA YA JINAMIZI MKOLONI MWEUSI.
WAKINA MAMA NA WAKINA DADA NA HATA VITOTO VICHANGA PIA WAKISIKILIZA KUHUSI NINI NA VIPI NCHI YAO YA ZANZIBAR ITAJITOWA KATIKA MAKUCHA YA WAKOLONI TANGANYIKA
WANANCHI WA ZANZIBAR WAKISHANGILIA MANENO MAZURI WANAYO YASIKIA KUTOKA KWA VIONGOZI WANAO ITAKIA ZANZIBAR AMANI,MAIENDELEO,UHURU.NK
WANANCHI AMBAO HAWAKUWEZA KUZIZUWIA FURAHA ZAO NA KUSIMAMA NA KUSHANGILIA KWA THATI KABISA ZANZIBAR NI NCHI YETU NA SISI SOTE NI WAZANZIBAR NA INAWEZEKANA KUJITAWALA YENYEWE MAANA ILIKUWA HIVYO TUSHIKAMANENI NA KAMBA YA MWENYIZI MUNGU NA WALATUSIFARIKIANE NCHI YETU YA ZANZIBAR ITARUDI KWA UWEZO WA MOLA TISIBABAISHWE NA KATIBA WALA MUUNGANO WALA UKWAJU ZANZIBAR NI NCHI NA LAZIMA IRUDI KUWA NCHI NA YENYE MIPAKA YAKE NA KILA KITU CHAKE SIO KUAMRISHWA NA DODOMA SISI DODOMA HAITUHUSU KITU NI YA WATANGANYIKA SIO YA WAZANZIBAR WAZANZIBAR MULIO NJE SHIKAMANENI NA KAMBAYA YA MWENYEZI MUNGU NA WALA MUSIFARIKIANE NA TUTAFIKA TUNAPOPATAKA KWA UWEZO WA MOLA
AWEE MWENYEZI MUNGU ILINDE NCHI YETU NA WATU WAKE WOTE TULIONDANI YA NCHI HII NA WALIO NJE YA NCHI HII IBARIKI NCHI HII NA UWAFETHEHESHE WOTE WANAOITAKIA MABAYA NCHI HII YETU YA JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR AMIIN

No comments:

Post a Comment