HUU NDIO USHENZI WA SHEINI WAZARI ASIKUWA NA WIZARA MAALUM
ALIPO WATUMA WASHEZI WENZAKE KWENDA KUWAPINGA MABOMU WAUMINI
WA KISLAMU NDANI YA MSIKITI WA MBUYUNI. RAMADHAN YA KWANZA WAKTI WAISLAMU WALIKUWA WAKIWAOMBEA DUWA WATU WALIOPATWA NA AJALI YA MV.SKAGIT MUDA SI MREFU WALIVAMIWA NA WASHENZI NA KUPINGWA MABOMU NA KUKAMATA WATU NA KUWAPIWA NA PIA WASHENZI HAO WALIWATAFUNISHA MBWA WATU WALIOWAKAMATA PIA WASHENZI WALIANZA KUIBA BADHI YA VYOMBO VYA RAI HAO WEMA IKIWA NI KAMA NGAWIRA KWAO.MPAKA SASA WAZIRI ASIYEKUWA NA WIZARA MAALUM SHEINI HAJA SEMA CHOCHOTE KUHUSIANA NA TUKIYO HILO LA WASHENZI WAKE KUVAMI MSKITI NA KUPINGA MABOMU INATUPELEKEA SISI KUWA WAZIRI HUYU ASIYEKUWA NA WIZARA MAALUM SHEINI AMEFURAHISHWA NA TUKIO HILO.
No comments:
Post a Comment