Saturday, June 2, 2012

SHEIKH AZZAN KHALID HAMDAN ATUWA ZANZIBAR


KIONGOZI Mkuu wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Azzan Khalid Hamdan amewasili jana jioni katika kiwanja cha ndege cha Zanzibar kutoka nchini Oman alipokwenda kwa ajili ya matibabu. Sheikh Azzan ni miongoni mwa viongoni waliokuwa wakisakwa na polisi akihusishwa na vurugu zilizotokea wiki iliyopita ikiwa pamoja na kufanya matembezi bila kibali.siku hizi ukitaka kutembea zanzibar uwe na kibali ahahhaha.wakati yalikuwa sio maandamano yalikuwa ni matembezi tu ya wananchi wa zanzibar waliamuwa kutembea kwa furaha ktk nchi yao ya zanzibar.
Baada ya kuwasili katika kiwanja cha ndege, Sheikh Azzan alikwenda moja kwa moja Kituo cha Polisi cha Mfenesini kutoa taarifa kuhusu kuvunjwa kwa milango ya nyumba yake wakati akiwa safarini.milango hiyo inasemekana ilivunjwa na askari wa kikuria wa kutoka nchi jirani ya tanganyika makaburu weusi wa afrika mashariki. Sheikh Azzan alisema hakutoa taarifa za ujio wake huo kutokana na kuogopa mkusanyiko usio rasmi ambao ungeweza kusababisha kutokea vurugu nyingine visiwani humo.
“Unajua hamasa za watu ni kubwa hasa vijana wangekuwa wamepata taarifa za kuja kwangu basi wangejaa hapa uwanja wa ndege na jambo hilo lingeweza kuhatarisha shughuli za uwanja huu ndio maana nikaamua kuja kimya kimya,” alisema Sheikh Azzan muda mfupi baada ya kushuka katika ndege ya Shirika la ndege la Oman Air. Wakati Sheikh huyo akiwa safarini Oman, Zanzibar kulitokea matembezi ambayo yaliandaliwa na viongozi wa jumuiya yake yalioanzia Viwanja vya Shule ya Lumumba kupitia barabara ya Kinazini, Michenzani, Biziredi na kuishia katika viwanja hivyo vya Lumumba, kisha kufanyika mhadhara mkubwa kabisa.
Hata hivyo,matembezi hayo yalikuwa ya aina yake na wazanzibar kwa mara ya kwanza toka 1963 walijisikia kweli wako nyumbani na wako ktk nchi yao na wako huru kabisa na pia yalikuwa ni matembezi ya amani yalikwisha salama na watembezi hao wakarudi majumbani kwa salama kabisa hakukuvunjwa kitu wala kuibiwa kitu wala kuchomwa kitu, lakini baada ya muda, kulizuka ghasia muda mfupi baada ya kiongozi na mhadhiri wa Jumuiya ya Uamsho, Sheikh Mussa Juma kutekwa nyara na watu wasiojulikana walio kuja kumchukuwa kwa nguvu na kumtia ndani ya gari aina ya noah watu wakajaribu kufuatilia ndipo walipogunduwa walikuwa ni polisi wa kikuria kutoka tanganyika ndio walio mteka nyara kiongozi huyo.hii tayari ni kosa kubwa polisi huruhusiwi kuteka watu nyara huu ni ujambazi lakini leo nchini kwetu zanzibar polisi ndio wamekuwa wateka nyara je majambazi wakituteka nyara tutamuarifu nani ikiwa polisi pia wanateka nyara watu...? Kiongozi huyo alipelekwa katika Kituo cha Polisi Madema Mjini Zanzibar na kusababisha mamia ya vijana kufika katika kituo hicho wakitaka aachiwe, na kujaribu kusema na polisi nini alichofanya mpaka wakamteka nyara..?pia vijana hao walijaribu kusema na polisi wamuachiye kwa thamana lakini polisi hao walikata na kuanza kuwapiga vijana hao mabomu ya machozi na virugu ndipo walipokasirika nakusema hatutaondoka mpaka mumtowe tutabaki kituoni hapa hadi asubuhi, kitendo ambacho kili wakera polisi hao wa kikuria kutoka tanganyika nchi jirani inayo ishikilia nchi ya zanzibar na kuitawala kwa mabavu ya guvu za jeshi na polisi.kama walivyo zoea mambo yao kama wakati wa changuzi kuwa wazanzibar na kuwapiga na kuwanyanyasa ndivyo walivyo zoea ndipo polisi hao wakaanza kurusha mabomu ya machozi usiku kucha na vurugu hizo kuendelea hadi siku ya pili.
Jeshi la polisi bado linasema litaendelea kuwatafuta viongozi wengine wa jumuiya hiyo walioandaa matembezi ya amani je sindio udikteta huo rai wasitembe nchini kwao..? hayo akiwamo Katibu wa Jumuiya hiyo, Sheikh Abdallah Said Madawa, Sheikh Fikirini Majaaliwa Fikirini, Sheikh Suleiman Juma, na Sheikh Sadifa Haji Sadifa.
Katika vurugu hizo makanisa matatu yalichomwa moto naimebainika kuwa kuchomwa kwa makanisa hayo ni moja ya binu za polisi kuchoma makanisa ili waseme ni jumuiya ya uamsho imefanya haya ili wawakamate viongozi na kuyazima mambo ya wananchi wa zanzibar kudai nchi yao.pia wamepiga mabomu na kuvunja misikiti ili walete utatanisha baina ya waislamu na wakiristo na inasikitisha hakuna hata muandishi moja au tv ilio onyesha miskiti hii iliyo vunjwa na kupingwa mabomu na polisi hawa wa kikuria kutoka nchi jirani tanganyika na hii ni plani malumu ya polisi wakikuri kutoka nchi jirani ya tanganyika inafanya haya kwa makusudi ili kuvuru amani iliyokuwepo na kujaribu kuwauwa tena wazanzibar maana uchanguzi uliopita hawakupata nafasi ya kuuwa wazanzibar.

No comments:

Post a Comment